wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ombeni mvua wakati wa masika

    "Mwombeni BWANA mvua wakati wa masika, naam, BWANA afanyaye umeme, naye atawapa manyunyu ya mvua, kila mtu atapewa nyasi kondeni", Zek 10:1 SUV. Maelezo ya kina kuhusu andiko hili tunayapata zaidi kwenye kitabu cha Hosea, tutaweza kufahamu zaidi kile ambacho nabii Zekaria alikiimaanisha hapa...
  2. JamiiForums Tanzania Ni Style gani bila kuifanya wakati wa tendo unahisi halijakamilika?

    Habari za Jioni wadau, JF never bored. Nimekaa nipo upweke upweke baada ya kutoka job nikaona niingiee humu nishee swali la kipuuzii lakini linamhusu kila mmoja wetu humu 18+ Kwa maana ya tendo la kujamiiana nalo lina nafasi kubwa katika maisha sababu kila mtu anaishi kwa hisia na hakuna kati...
  3. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kwa Tanzania kuanzishwa kwa "Tanzania mortgage bank" kama nchi nyingine

    It's advantage mikopo yake hutolewa haraka sana baada ya bank kujirizisha na thamani ya asset iliyopo na actually value it has, It's loan are very fast even good for businessmen.
  4. JamiiForums Tanzania Ili kuondoa matumizi mabaya ya pesa za umma huu ndio wakati wa taifa letu kuwa na katiba itakayowapa wananchi madaraka ya kutawala taifa lao

    Katiba ya sasa ipo wazi kabisa kuwa ni wananchi ndio wana mamlaka kutawala taifa lao la Tanzania na hii ni kwa mujibu wa ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT. Sasa mbona hawana mamlaka hayo na wanabaki wanalialia hovyo? Mbona wanalalamika juu ya tozo za ajabuajabu? Mbona wanalalamika kuwa pesa zao...
  5. JamiiForums Tanzania Je, kwa haya Mauaji yanayotokea Mikoa mingine huu siyo wakati wa kutuomba Radhi wana Mkoa wa Mara kwa kutuchafua tokea zamani?

    Siku hizi kila ukisikia tu Mauwaji pamoja na Ukatili mbalimbali utasikia tu ni Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Iringa, Mbeya, Mtwara, Morogoro, Singida, Dodoma, Shinyanga, Mwanza, Ruvuma na Kagera tofauti na ilivyozoeleka na Kukaririwa kuwa Mkoa Kinara wa Kutukuka kwa Vitendo hivi ni Mkoa wangu...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa Fedha hizi ambazo Simba SC amezikusanya sioni sababu ya Yanga SC Kuushangilia Ubingwa wakati Pesa waipatayo ni Kiduchu tu

    Pesa za Yanga SC Mambwiga ( Washamba ) wa Kudumu FC.... Tsh Milioni 500 za Azam Tsh Milioni 100 za NBC Jumla Tsh Milioni 600 ( na hapa bado Mama Samia hajakomba Kodi yake na akiikomba watabakiwa na Tsh Milioni 74 tu na sijui watagawanaje ) vinginevyo watapigana mno Bakora kama Kawaida yao...
  7. JamiiForums Tanzania Wakati Ulaya wakikusanya kodi ya miaka 20 iliyopita, Tanzania Samia anauliza miaka iliyopita mlikuwa wapi, msikusanye

    Wakati mwingine unajiuliza kama kiongozi wetu anaelewa anachokifanya ama haelewi chochote kabisa. Juzi rais akiwa Kagera akasema kodi inayopaswa kukusanywa ni ya mwaka mmoja nyuma tu, miaka ya nyuma mamlaka zilikua wapi. Hapo ndio palinifanya kujiuliza kama rais wetu ana ufahamu hata wa sawa na...
  8. JamiiForums Tanzania Nilijitoa kufanya naye maisha ila ameniachia wakati mgumu nikiwa na mimba yake

    NAANDIKA KWA NIABA YA DADA YANGU MMOJA MUHANGA ANAYEPITIA HILI,NIMEONA NISHEE ILI KUPATA USHAURI WA PAMOJA JINSI YA KUMSAIDIA. Tulikutana Facebook na ni Mwaka wa nne sasa tangu tufahamiane,alikua akisoma chuo Songea ila kwao ni Dar. Tukaanza urafiki na kuwa wapenzi, akamaliza chuo wakati huo...
  9. JamiiForums Tanzania Elimu High School Bure; Je, tunawapa watu mashuka wakati wa joto na kuwanyima wakati wa Baridi?

    Nimeona wamesema Elimu High school itakuwa bure, ni vema na Haki, Lakini hii kuwasaidia watu elfu 70 ambazo wazazi wanaweza kujichanga na kuomba omba wakapata na kule ambapo wanadaiwa mamilioni ya Pesa na kukosa hata mikopo (Kwenye Vyuo) Hawapewi kweli kuna tija? Kwa kila mzazi kutoa elfu...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kigezo kipi kimetumika kurudisha kodi ya kichwa wakati tayari ilihamishiwa kwenye bidhaa?

    Wazazi walinihadithia kwamba hapo zamani, wazazi wao wa kiume(babu zangu) walikuwa wanatabia ya kukimbia na kujificha maporini pale ambapo walikuwa hawajalipa kodi ya kichwa, maana familia ilikuwa ni kubwa, na hapakuwa na pesa ya ziada ya kwenda kulipa kodi ya kichwa, hivyo kuna kipindi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kupunguza uzito wakati unapochaji?

    Katika Kituo cha reli cha Brussels Kusini nchini Ubelgiji, abiria wanatumia baiskeli za kuchaji vifaa vya elektroniki vya mkononi kama vile simu za mkononi, kompyuta za mkononi au kompyuta ndogo
  12. JamiiForums Tanzania Nchi inapitia wakati mgumu kuwahi kutokea. Gunia la mahindi limefika Tsh 180,000

    Ni kosa kubwa sana chawa wa Samia wanalifanya kwa kutokumwambia ukweli kuwa nchi inapitia wakati mgumu sana lkakini walivyo wanajikuta wanamsingizia Hayati Magufuli kila kitu lakini ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi kumfikia Hayati Magufuli hata kwa asilimia moja.
  13. JamiiForums Tanzania Huruma za kibinadamu wakati mwingine zinaponza

    Unapotaka kumsaidi mtu inahitaji wewe unakwenda kutoa msaada uwe makini. Ninaposema umakini namaanisha uwe na uhakika kweli ninaekwenda kumsaidi ni mhitaji na kweli ana shida. Nitatoa story kwa ufupi kuhusu huyu Bi dada ambae ni rafiki yangu kipindi cha nyuma. Tulifahamiana vipi.. Nilimfahamu...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini mgogoro wa Loliondo haukuibuka wakati Magufuli yupo hai? Hawa OBC ni akina nani? Kwanini Loliondo Gate? Mbona wanasiasa wa Oman?

    Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi? Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati Magufuli haya masuala hayakuibuka? Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema. Mkuu wa nchi anashiriki...
  15. JamiiForums Tanzania Gari kuzima relini

    Naomba kujuzwa Je, ni nini kinasababisha gari kukwama wakati wa kuvuka reli pindi treni inapokaribia?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa wilaya kujazia mafuta bodaboda ili wakampokee mkuu wa nchi ni kumhadaa kuwa anakubalika wakati si kweli

    Hii ni janja au akili mbovu? Yaani mnawapa boda boda lita tatu za mafuta kila anapopita rais Samia na kuwaambia boda wabebe raia ili kuonekana kuna nyomi linalomkubali mama? Ukweli ni kuwa hii ni hadaa ya kufa mtu. Boda boda wanajipatia mafuya ya bure tu. Hii imetokea kila mahala. Msilete...
  17. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kwa Serikali kuzuia uuzwaji wa mazao ya chakula nje ya nchi

    Tuache siasa za kujipendekeza kwa mataifa mengine, na kuwatesa wananchi wanyonge. Serikali izuie uuzaji wa mazao ya chakula nje ya nchi. Hali inazidi kuwa mbaya. Mikoa iliyopo mpakani mazao yanasafirishwa kwa wingi kwenda nje ya nchi. Serikali iingilie kati, ama sivyo ijiandae kutoa msaada...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini NHIF huwa haiendi na wakati linapokuja suala la gharama za matibabu?

    Gharama za matibabu huwa zinabadirika mara kwa mara kulingana na gharama za maisha zinavyobadiriki na Kinachopandisha gharama za maisha ni bidhaa muhimu kupanda gharama hususani mafuta ya dizeli na petroli. Mfano ni hii ya sasa kabla ya 2021 lita ya mafuta ya petrol haikuzidi 2300-2600. Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Meya Jackob akumbuka CCM ilivyowafadhili yeye na viongozi wa CHADEMA, akiwemo Mbowe, iliwahifadhi katika Ofisi zao wakati wa mauaji ya Akwilina

    Ni mwendelezo wa mahaba ya wanachadema kwa uungwana na urahimu wa CCM. Meya Boniphace katika ukurasa wake wa twitter ameonekana "kukunwa" na uungwana wa Wana CCM baada ya kupewa hifadhi wakati wanakimbia kipondo kikali na Cha haja kutoka kwa Polisi. Meya Boniphace Jackob na Mbowe pamoja na...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Rais Kagame nimpendae kutokana na IQ yake Kubwa

    "It is unacceptable that Ukraine a Country of 44 Milion people will feed Africa a Continent of 1.4 billion people. I promise all Rwandans that Rwanda will attain Food self sufficiency before 2025. I have authorized 1 billion dollars worth of Farming Materials, and all Logistics involved in...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…