Édouard Mendy akielezea jinsi alivyoachwa na wakala wake

Chaos Master

JF-Expert Member
Jul 7, 2021
636
1,304
′′ Nilikuwa na umri wa miaka 22 na mkataba wangu na AS Cherbourg ulikwisha. Wakala wangu aliniambia kuwa nilikuwa na ofa ya kujiunga na vilabu vingine vidogo.

Baadaye, nilijaribu kuwasiliana naye lakini hakuwahi kunijibu tena" Nilimtafuta nikakata tamaa, hadi pale aliponitumia SMS ya kujiondoa kuwa wakala wangu na kunitakia kila la heri. baada ya kuonyesha msimamo wake huo ilinibidi nirudi nyumbani kukaa na wazazi wangu" Nilikuwa sina kazi.

Niliamua kuachana na soka, lakini kwa msaada wa wazazi wangu na familia yangu, niliamua kurudi tena kwenye mpira.

Nilijiunga na Le Havre na nilicheza nao kwa mwaka bila mshahara, baadae nilijiunga na Marseille kama golkipa namba 3 wa academy yao" Yote yamebaki kuwa historia baada ya hapo kilichoendlea tunakijua
 
Kitu ambacho tunakikosa Watanzania ni hiki hapa, hasa tunapokuwa kwenye international forum.

"Nilijiunga na Le Havre na nilicheza nao kwa mwaka bila mshahara..."
 
Back
Top Bottom