Nahitaji mwenye NMB wakala machine ambayo anataka kuiacha

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
1,303
2,000
Habari,

Nina kijana wangu aliomba hii kitu na kukamilisha taratibu zote ila mwaka wa pili sasa hawajampatia
Mwenye nayo please anijulishe
Yupo Arusha
 
Amehlo

JF-Expert Member
May 8, 2019
2,454
2,000
Habari

Kupata mashine ya NMB labda uhonge vinginevyo deal na selcom tu, au ndo kama hivyo upate mtu akuuzie au nenda mkoa ambao bado mawakala sio wengi ndo waweza bahatika labda
 
Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
1,303
2,000
Kupata mashine ya NMB labda uhonge vinginevyo deal na selcom tu, au ndo kama hivyo upate mtu akuuzie au nenda mkoa ambao bado mawakala sio wengi ndo waweza bahatika labda
Hii ni hatari sana kiongozi;
dogo kasubiria kwa karibia miaka miwili ana ambiwa eti hakuna mashine zilizo letwa. Nafikiri kuna kitu wnatakiwa waki address na kukipatia suluhisho na sio kuacha kutoa machine
 
promethus

JF-Expert Member
Feb 22, 2016
468
1,000
Kupata mashine ya NMB labda uhonge vinginevyo deal na selcom tu, au ndo kama hivyo upate mtu akuuzie au nenda mkoa ambao bado mawakala sio wengi ndo waweza bahatika labda
Natakiwa kuwa na mtaji kias Gani Ili nipate machine ya NMB au CRDB?
 
Amehlo

JF-Expert Member
May 8, 2019
2,454
2,000
Hii ni hatari sana kiongozi;
dogo kasubiria kwa karibia miaka miwili ana ambiwa eti hakuna mashine zilizo letwa. Nafikiri kuna kitu wnatakiwa waki address na kukipatia suluhisho na sio kuacha kutoa machine

Yeah, na mashine zinazokuja wanapewa wale mawakala wakongwe ambao mashine zao ziliharibika kwahiyo kama ni wakala mpya njia ni selcom ukagawane na muhindi commission
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom