Aelknes
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 258
- 635
Nimekuja kugundua tatizo letu kubwa sisi kama taifa ni ujinga..
Wakati mataifa mengine yakijikuza kiteknolojia/maarifa/ujuzi kuendana na dunia ya sasa sisi tunafanya juhudi gani kama taifa? Ni kama kila siku tunazidi kurudi nyuma hatujui tunapoelekea
Vijana wanakesha mtandaoni hawana cha maana wanajadili zaidi ya ngono na umbea,kila siku media uchwara zinaongezeka habari hawafanyi cha maana ni udaku na umbea ambao hauna manufaa kabisa,ikitokea video za ngono za mtu zimevuja basi hiyo itakua habari kuu kwa wiki nzima,mtu maarufu anaita waandishi wa habari kisa akajibu ana VVU au hana na waandishi wanajaa
Uchawa unazidisha ongezeko kubwa ka mashoga nani anajali? Kizazi kinachozaliwa kinajifunza nini kwetu?
Yani tunaentertain vitu ambavyo havina manufaa kwetu, Kama hatutakuja kuamka basi tutazidi kuwa na taifa la ajabu sanaa