Chadema hawajui wanataka nini

Chadema hawajui wanataka nini

Uhumbwe

Member
Joined
Apr 22, 2024
Posts
44
Reaction score
68
1. Mara nyingi huwa najiuliza hivi kweli chadema wanajua wanataka nini? Mara nyingi wamekuwa wanachagua njia yenye miba sana kwa wafuasi wao ili wakijichoma wao wapige kelele

2. Kwanza lazima wakubali Nchi ina Uongozi kwahiyo kuheshimu mamlaka ni lazima sio hiyari..... maana mwisho wanaoteseka ni vifaranga wao...

3. Ukiangalia hoja za maandamano na kususia uchaguzi hazina mashiko kwa kipindi hiki ambacho kwao ni kama njia ya kufanya taifa lisiendelee je hiyo ni hoja?

4. Wanaharakati mtajibwao mkubwa ni watu wajinga na wengi wamewapata Ufipani. Lazima wabadilike kwa asilimia 200 vingine hakuna dalilo ya mwanga
 
LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NA KUFANYA MAUAJI.......

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari,

8. Anayezima Mtandao na kuzuia baadhi ya mitandao ya kijamii x, Twiter, Jf Jambo nk.

9. Anayewabambikizia kesi wapinzani zisizo na sababu zozote za Msingi na zilizojaa Upumbavu.

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA

HAKUNA ALIYE SALAMA.
 
Labda tukutoe UPUMBAVU.
Hakuna sehemu CHADEMA wamesema wataandamana.

Haya ni maandamano ya wanaharakati watanzania na watu wa mtandaoni.

Chadema walisema watatangaza siku yao Rasmi ya maandamano.

Usijifanye una akili kuliko Polepole,
Korimba
Magufuli.
Mangula
Warioba nk
 
1. Mara nyingi huwa najiuliza ivi kweli chadema wanajua wanataka nini? Mara nyingi wamekuwa wanachagua njia yenye miba sana kwa wafuasi wao ili wakijichoma wao wapige kelele
2. Kwanza lazima wakubali Nchi ina Uongozi kwahiyo kuheshimu mamlaka ni lazima sio hiyari..... maana mwisho wanaoteseka ni vifaranga wao...
3. Ukiangalia hoja za maandamano na kususia uchaguzi hazina mashiko kwa kipindi hiki ambacho kwao ni kama njia ya kufanya taifa lisiendelee je hiyo ni hoja?
4. Wanaharakati mtajibwao mkubwa ni watu wajinga na wengi wamewapata Ufipani. Lazima wabadilike kwa asilimia 200 vingine hakuna dalilo ya mwanga
uko sahihi 100% gentleman,

naunga mkono hoja 🤝
 
Sio kuhusu Chadema ni wananchi ipo wapi mili ya wapendwa ikazikwe kiheshima?
 
Wapumbavu ni wengi sana kwenye hii nchi mfano ni mleta Uzi
 
1. Mara nyingi huwa najiuliza hivi kweli chadema wanajua wanataka nini? Mara nyingi wamekuwa wanachagua njia yenye miba sana kwa wafuasi wao ili wakijichoma wao wapige kelele

2. Kwanza lazima wakubali Nchi ina Uongozi kwahiyo kuheshimu mamlaka ni lazima sio hiyari..... maana mwisho wanaoteseka ni vifaranga wao...

3. Ukiangalia hoja za maandamano na kususia uchaguzi hazina mashiko kwa kipindi hiki ambacho kwao ni kama njia ya kufanya taifa lisiendelee je hiyo ni hoja?

4. Wanaharakati mtajibwao mkubwa ni watu wajinga na wengi wamewapata Ufipani. Lazima wabadilike kwa asilimia 200 vingine hakuna dalilo ya mwanga
Unawajibia kama wewe ni mmoja wa hao CHADEMA au umekaa tu na kuanza kubuni habari kadiri ya unavyoamua?Ulitaka unachokiwaza wewe ndicho kiwe,kwani umewabebea vichwa vyao?
 
Screenshot_20251217-065939~2.png
 
1. Mara nyingi huwa najiuliza hivi kweli chadema wanajua wanataka nini? Mara nyingi wamekuwa wanachagua njia yenye miba sana kwa wafuasi wao ili wakijichoma wao wapige kelele

2. Kwanza lazima wakubali Nchi ina Uongozi kwahiyo kuheshimu mamlaka ni lazima sio hiyari..... maana mwisho wanaoteseka ni vifaranga wao...

3. Ukiangalia hoja za maandamano na kususia uchaguzi hazina mashiko kwa kipindi hiki ambacho kwao ni kama njia ya kufanya taifa lisiendelee je hiyo ni hoja?

4. Wanaharakati mtajibwao mkubwa ni watu wajinga na wengi wamewapata Ufipani. Lazima wabadilike kwa asilimia 200 vingine hakuna dalilo ya mwanga
Maneno ya shombo kama yale ya bibi yako!
 
Hakuna mtu asiyejua kwamba wanaotoa maneno ya shombo kama yako ni watu wanaonufaika na utawala uliopo,kwa akili zako za kawaida kabisa, unadhani ni sahihi watu kutekwa na kupotea? Unadhani ni sahihi kwa katiba iliyoruhusu mfumo wa vyama vingi kuzuia vyama vingine kufanya siasa? Kwa akili yako ya kawaida unadhani tume ya uchaguzi inatenda haki hata kwa vyama vya upinzani?
 
Shida yako Kila jambo kinyume na CCM unadai ni CHADEMA. Ndio maana mmebakia kupiga risasi watanganyika very stupid.
 
Si .lichagua maandamano kwanini hamkuamdamana ili mpate hiyo katiba na waliotekwa?
 
LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NA KUFANYA MAUAJI.......

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari,

8. Anayezima Mtandao na kuzuia baadhi ya mitandao ya kijamii x, Twiter, Jf Jambo nk.

9. Anayewabambikizia kesi wapinzani zisizo na sababu zozote za Msingi na zilizojaa Upumbavu.

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA

HAKUNA ALIYE SALAMA.
Kama mnawajua ni ccm kwanini msiwauwe na wao yaishe
 
Shida yako Kila jambo kinyume na CCM unadai ni CHADEMA. Ndio maana mmebakia kupiga risasi watanganyika very stupid.
Tanganyika ndio wapi? Ivi wewe kwa Akili zako nani ananufaika na Muungano
 
Back
Top Bottom