Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma anashikiliwa na Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kusafirisha kinyume na sheria Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia.
Akiongea Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Manyara ACP Lucas Mwakatundu amesema tukio hilo limetokea March 23 2024 ambapo gari hilo...
Kila mtu anataka kuzamia Marekani, hata Wachina wambao tunaambiwa jinsi uchumi wao umeboreka.....
Chinese migrants flock to U.S.-Mexico border on economic pressures
Their encounters with American authorities jumped 10-fold in 2023
People from China and elsewhere who are suspected of illegally...
idadi ya wa iran iliyopo kitakwimu 5000 na ikadiliwa kuongeza south afrika. nacho jiuliza wameipendea nini south africa.
Unamkumbuka huyu mama anayetishiwa na waisraeli .kumbuka miliki nyingi za South Afrika asilimia kubwa ni Waisraeli.
Mzuka wanajamvi.
Poland yadai na kujigamba kuwa hamna ubakaji, wizi na uhalifu ukilinganisha na mataifa jirani na mengine ulaya wenye waislam wengi wahamiaji.
Wanajisifu na kujigamba kwa kuzuia wimbi la wahamiaji hasa waislam ambao wenyewe wanadaiwa ni waalifu sana na kupeleka nchi yao uhalifu...
Chama cha CDU cha nchini Ujerumani kinataka hatua za haraka zichukuliwe ili kudhibiti wahamiaji wanaoishi nchini humo wanaotaka utamaduni wao na imani zao za kidini ndizo ziwe juu ya zile za mwenyeji wao yaani Ujerumani.
Pia wanataka wahamiaji hao watambue haki ya kuwepo kwa taifa la Israel...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia wahamiaji haramu 16 raia wa nchini Ethiopia, wote wanaume, umri kati ya miaka 18 - 53 kwa kosa la kuingia nchini bila kibali.
Watuhumiwa walikamatwa Novemba 09, 2023 majira ya 2:00 asubuhi huko kijiji cha Kasumulu, Wilaya ya Kyela, wakati Askari wa...
Leo USA, UK, France, etc wanataabika kwa kuongezeka kwa matokeo ya ismamic extremism na jihadist movements ambayo yanafanywa na watu waliofungulia milango kwa ajili ya hifadhi na kutafuta maisha bora.
US na wenzake hawatambui kuwa wanajijengea bomu ambalo litakuja kulipuka muda sio mrefu...
Ujerumani inampango wa kuanza kuwarudisha kwao wahamiaji waliotoka nchi za kiislamu nchini kwao
haya yamejili baada ya channellor wa ujerumani kutembelea nchi ya Israel na kushuhudia mauji ya raia wa Israel waliouliwa na magaidi wa kundi la HAMAS linalopewa support na Palestina pamoja na...
Upo uvumi kwamba Mrithi wa Sophia Mjema huenda akawa miongoni mwa wale Wabunge wasio na Chama ambao waliapishwa na Ndugai kwenye Gereji ya Bunge.
Halima Mdee na Nusrat Hanje wanatajwa kujaza nafasi hiyo (tetesi).
Hutakiwi kupuuza jambo hili , kwa vile ni dhahiri kwamba CCM imeishiwa watu, ndio...
Katika pitapita zangu nimekutana na hii article kuhusu Afrika Kusini na Chuki dhidi ya wahamiaji, wazawa hawa wakijiaminisha kwamba matatizo yao yanasababishwa na wahamiaji.
---
Inside South Africa's Operation Dudula: 'Why we hate foreigners'
South African anti-migrant group Operation Dudula...
Nimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine.
Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania.
Kwa nini Rais wa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema nchi imeandika historia mpya kwa kuwakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319 ambao wameishi nchini kwa zaidi ya miaka 50 wakiwa na asili ya mataifa jirani ya Burundi, Comoro...
Kumetokea moto katika jiji la Johannesburg kwenye jengo linalotumika na wakaazi na idadi kubwa ya wahamiaji, na kuua watu 74 ambapo kuna uwezekano wa ndugu zetu wa Tanzania.
Pia huwa wanajibanza haya majengo ni maarufu kwa wahamiaji kwa sababu, wengi huwa hawalipi kodi kuishi au kulipa kodi...
Shirika la kutetea haki za binadamu – Human Rights Watch, limewashutumu walinzi wa mpakani wa Saudi Arabia kwa kuua mamia ya wahamiaji wa kiuchumi wa Ethiopia.
Wahamiaji hao walikuwa wakijaribu kuvuka mapakani kutoka kwenye taifa lililokumbwa na vita la Yemen.
HRW imesema takriban watu 655...
Waokoaji wa Uhispania wanaendelea na msako wa mashua hiyo karibu na Visiwa vya Canary ambapo inadaiwa haijulikani ilipo tangu ilipoanza safari zaidi ya wiki moja iliyopita.
Kundi la misaada la Walking Borders linasema boti hiyo ya wavuvi ilisafiri kutoka Mji wa Kafountine, Kusini mwa Senegal...
Wahamiaji kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara wameshambuliwa katika Mji wa Sfax huku zaidi ya 10 wakiripotiwa kujeruhiwa wakiwemo Wanawake na Watoto.
Machafuko hayo ya kulipiza kisasi yamechochewa na mauaji ya raia wa Tunisia yaliyotokea wakati wa makabiliano na Wahamiaji kadhaa, Julai 3, 2023...
Sijajua vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wa nchi vimejisahau au vimelala. Wakuu kumekua na wimbi kubwa sana la wahamiaji haramu hasa wamalawi, aisee jamaa wametapakaa mitaani sana
Nadhani kwa wadau ambao ni wakazi wa pembezoni mwa miji hasa goba watakubaliana na Mimi(sijajua katikati ya Jiji...
Inaaminika watu hao wanaweza kuwa wamepoteza maisha kutokana na ajali hizo ziliyotokea Pwani ya Tunisia wakati meli husika zikiwa njiani kuelekea Italia.
Meli ya kwanza ilikuwa na watu 37 na ya pili ilikuwa na watu 36, baadhi wameokolewa na wengine hawajulikani walipo.
Tangu Machi 2023 kuna...
Watu waandamana nje ya kituo cha wahamiaji cha Mexico baada ya moto kuzuka katika kituo hicho, Machi 28, 2023
Takriban watu 40 wamefariki na wengine 29 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka katika kituo cha wahamiaji cha Mexico kwenye mpaka na Marekani.
Kituo hicho katika Mji wa Mexico wa Ciudad...
Watoto 12 ni miongoni mwa waliopoteza maisha katika ajali hiyo huku watu wengine kadhaa wakiwa hawajulikani walipo ikiaminika ilibeba zaidi ya abiria 150.
Watu 80 wamesalimika na baadhi yao wanasema meli ilikuwa inakaribia Pwani ya Crotone eneo la Calabria.
Meli hiyo iliyotengenezwa kwa mbao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.