Minjingu: Gari yenye namba bandia za serikali yakamatwa ikiwa na wahamiaji haramu

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
754
3,097
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara ACP Lukas Mwakatundu amesema kuwa Jana tarehe 7 katika kizuizi cha Minjingu kuna gari lilitupita pale likagoma kusimama likagonga kizuizi ndipo Polisi wakapata wasiwasi kwamba kwanini amegoma kusimama, tukaanza kumfuatulia mpaka eneo la Kiongozi ambako Dereva alishuka na kulitelekeza gari likiwa na Wahamiaji hao 17 wote kutoka Ethiopia, namba halisi za gari hili ni T723 BSF na lipo Polisi linashikiliwa”

Kaimu Kamanda Mwakatundu amesisitiza kuwa gari hilo pamoja na namba hizo za STL 1964 havihusiani na Serikali na wala sio mali ya Serikali

Pia soma > Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

STL.jpg
 
Walianza na gari lenye bendera ya chama
Wamekuja na gari lenye namba za serikali
Watakuja na gari lenye namba za jeshi au PT
Ipo siku watakuja sa gari lenye namba E5, STL 123A
 
Yanayoendea na kutokea, Nina wasi wasi Serikali haipo. Ni maoni yangu binafsi
 
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara ACP Lukas Mwakatundu amesema kuwa Jana tarehe 7 katika kizuizi cha Minjingu kuna gari lilitupita pale likagoma kusimama likagonga kizuizi ndipo Polisi wakapata wasiwasi kwamba kwanini amegoma kusimama, tukaanza kumfuatulia mpaka eneo la Kiongozi ambako Dereva alishuka na kulitelekeza gari likiwa na Wahamiaji hao 17 wote kutoka Ethiopia, namba halisi za gari hili ni T723 BSF na lipo Polisi linashikiliwa”

Kaimu Kamanda Mwakatundu amesisitiza kuwa gari hilo pamoja na namba hizo za STL 1964 havihusiani na Serikali na wala sio mali ya Serikali

Pia soma > Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

Siamini mamlaka ni mchezo kutupotezea ionekane pia lile Gari la CCM sumu ya Nyigu alilipua hadharani ni bandia.

Cc King Kong III
 
Walianza na gari lenye bendera ya chama
Wamekuja na gari lenye namba za serikali
Watakuja na gari lenye namba za jeshi au PT
Ipo siku watakuja sa gari lenye namba E5, STL 123A
Mmiliki wa gari ile yenye bendera ya chama ni nani ??

Ova
 
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara ACP Lukas Mwakatundu amesema kuwa Jana tarehe 7 katika kizuizi cha Minjingu kuna gari lilitupita pale likagoma kusimama likagonga kizuizi ndipo Polisi wakapata wasiwasi kwamba kwanini amegoma kusimama, tukaanza kumfuatulia mpaka eneo la Kiongozi ambako Dereva alishuka na kulitelekeza gari likiwa na Wahamiaji hao 17 wote kutoka Ethiopia, namba halisi za gari hili ni T723 BSF na lipo Polisi linashikiliwa”

Kaimu Kamanda Mwakatundu amesisitiza kuwa gari hilo pamoja na namba hizo za STL 1964 havihusiani na Serikali na wala sio mali ya Serikali

Pia soma > Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

Dah V8 imeenda hiyo. Hii biashara inaonekana inalipa mpaka mtu anaamua Ku risk gari la Milioni 100+
 
Back
Top Bottom