Inadaiwa watu hao wanaweza kuwa wamefariki baada ya kupata ajali katika Pwani ya Libya, Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) limeeleza ni watu saba pekee ndio waliofanikiwa kujiokoa katika tukio hilo lakini hali zao za kiafya ni mbaya.
Vikosi vya Msalaba Mwekundu na Polisi vimefanikiwa...
Miili hiyo inayoaminika kuwa ni ya Wahamiaji wenye umri kati ya miaka 20 hadi 38 kutoka Ethiopia imekutwa kando ya barabara ya Ngwerere, Kaskazini mwa Mji Mkuu wa Lusaka.
Inaaminika walifariki Dunia kwa kukosa hewa wakiwa njiani kusafirishwa. Zambia imekuwa ikitumika kama njia panda ya...
Double standard kwenye kuripoti matukio!
Waharifu wengine wanaanikwa picha zao hata kama uchunguzi unaendelea inakuwaje hawa picha hazijawekwa wazi?
Wakiwa wanaripoti Waharifu wengine huwaonesha kwa mbwembwe wakiwa wanawapigapiga mabegani watuhumiwa kuonesha msisitizo!
Lakini wakikosea wao...
Mkuu wa mkoa wa Tanga, Omari Mgumba ametoa kilio cha mlundikano wa wahamiaji haramu katika magereza yaliyopo katika mkoa huo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan hii leo.
Akizungumza mbele ya Rais Samia ambaye yupo mkoani humo kwa ziara ya siku mbili, mkuu huyo wa mkoa amesema kwamba mkoa huo una...
Wahamiaji 14 wamefariki Dunia baada ya boti waliyokuwa wakiitumia kushika moto katika Jimbo la Kasamance Nchini Senegal.
Safari yao ilikuwa ni kuelekea Ulaya kupitia Visiwa vya Kanari vya Hispania.
Meya wa Mji wa Kafountine jimboni hapo, David Diatta amesema wamefanikiwa kupata mili 14 baada...
Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan
Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi
Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania
---
Kamishna Jenerali wa Jeshi la...
Polisi Dodoma wanamshikilia Joachim Joseph wa Arusha kwa kusafirisha Wahamiaji 16 Waethiopia wasio na vibali kutoka Kilimanjaro akiwapeleka Mbeya kisha Afrika Kusini huku akitumia namba feki za SU kwenye Land Cruiser hii ili asisimamishwe, namba zake ni T752 BVL.
=====
Polisi Dodoma...
Tangu mwanzo niliwahi sema na ninarudia kusema kwa kuishauri serikali, wahamiaji haramu hasa kutoka nchi mbalimbali na wengine hawa kutoka Ethiopia na Somalia wamejaa katika Magereza yetu.
Nilipokuwa Mahabusu Gereza la Iringa 2018 April, kulikuwepo na Wahamiaji wengi kutoka Somalia, wengine...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia wahamiaji haramu kumi na moja [11] raia wa nchini Rwanda na Burundi kwa kosa la kuingia nchini bila kuwa na kibali.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ameeleza kuwa wahamiaji hao walikamatwa mnamo Februari 7, 2022 majira ya saa 12:00 jioni...
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ametangaza kuwa polisi wamemkamata raia mmoja wa Tanzania akihusishwa na usafirishaji wa wahamiaji haramu 16 wa Ethiopia, na kuongeza kuwa mtuhumiwa huyo ni Yohana Adam, mkazi wa Kasumulu katika wilaya ya Kyela mkoani Mbeya.
Matei amesema kuwa...
Utawala wa Rais Joe Biden umesema utaongeza muda wa Sera ya "Title 42" iliyokuwepo katika Utawala wa Donald Trump, ambayo inaruhusu Marekani kufukuza wahamiaji wasio na Hati.
Uamuzi huo unakuja wakati Wahamiaji wakiendelea kumiminika katika Mpaka wa Marekani ikielezwa 210,000 waliripotiwa mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.