wagonjwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID-19 ni salama kwa wagonjwa wa Saratani

    Je, hupaswi kupata chanjo ya COVID-19 ikiwa kwa sasa unapokea matibabu ya saratani? Jibu: Baada ya kukagua kwa uangalifu chanjo hizi, wataalam wa matibabu wa MD Anderson katika Chuo Kikuu cha Texas wameamua kuwa chanjo za COVID-19 ni salama na zinapendekezwa kwa wagonjwa wa saratani. Wataalam...
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania 16 - 22 Oktoba: Dar yarekodi Wagonjwa wengi wa #COVID19 Kimkoa. Waliougua nchini wafikia 26,154

    Taarifa ya mwendelezo wa mwenendo wa #COVID19 iliyotolewa na Wizara ya Afya inaonesha kuwa kwa wiki ya kuanzia Oktoba 16 - Oktoba 22, 2021 hakuna kifo kilichoripotiwa nchini Taarifa hiyo inaonesha kuwa mikoa 10 kati ya 26 imerekodi jumla ya wagonjwa 39 huku mkoa wa Dar ukiwa na wagonjwa wapya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nzega, Tabora: Bashe akabidhi zahanati, Gari ya wagonjwa na Pikipiki

    BASHE AKABIDHI ZAHANATI, GARI YA KISASA YA WAGONJWA NA PIKIPIKI KATIKA KIJIJI CHA IDUDUMO Nzega Mjini, TABORA. Mbunge wa jimbo la Nzega Mjini na Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amefanikiwa kukabidhi zahanati, Gari ya kisasa ya wagonjwa (ambulance) pamoja na usafiri aina ya pikipiki...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Elimu ya kulea wagonjwa na wazee ifundishwe VETA uhitaji unaingezeka

    Mara nyingi nimeona mabandiko humu jukwaani la ajira ya kumhudumia mgonjwa au mzee majumbani. Huku mtaani hitaji hili linaongezeka. Magojwa kama kiharusi huwapata watu wengi na kuna wanao athirika na kuhitaji msaada wa karibu katika kuendesha maisha yao ya kila siku. Kutokana na uhaba wa...
  5. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa wadaiwa kusafirishwa kwa Machela za Miti Njombe

    Katika kijiji cha Kitewele Wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe hali sio hali, kwani hakuna huduma ya za afya karibu, Wananchi wanalazimika kutembea zaidi ya km 30 kufuata huduma katika kituo cha afya. Pamoja na kukosekana huduma ya kitutua cha afya barabara katika kijiji hicho hazipitiki iwe kwa...
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wananchi wa Ludewa wanasafirisha wagonjwa kwenye machela. CCM inatia aibu.

    Wakazi wa kijiji cha Kitewele chenye jamii za wafugaji,wavuvi na wakulima wilayani Ludewa mkoani Njombe wanadai kulazimika kusafirisha wagonjwa kwa machela za miti na mhanzi zaidi ya km 32 kunusuru maisha ya ndugu zao kutokana na barabara ambayo vyombo vya moto haviwezi kupita...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha biashara ya diapers na sanitary pads

    Waungwana habari ya leo....? Bila shaka wengi wetu tu wazima na Mungu katupatia neema ya kuiona siku ya leo na walio wagonjwa Mungu aendelee kuwapigania. Nakuja kwenu kuomba msaada wa kujua ni wapi naweza kupata hizi bidhaa/ product (diapers and sanitary pads) kwa makampuni mbali mbali kama...
  8. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanaopata COVID-19

    Naomba niwasalimie kwa jina Yesu aliye hai. Naomba kushare na nyie naamini itawasaidia Watanzania wenzangu. Mimi ni moja wapo wa watumishi wa afya na nimekuwa nikuwahudumia watu mbali mbali pamoja na wenye matatizo ya upumuaji, ninachofurahia na kupendeza zaidi sina ubaguzi katika kumsaidia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Apona ghafla tu baada ya Gari ya Wagonjwa iliyokuwa ikimkimbiza Hospitali kupata Ajali na Kuua Muuguzi na Dereva

    MGONJWA aliyekuwa akiwahishwa katika Hospitali ya Wilaya Same, Ester Paresetwi (35) na gari likapinduka na kuua muuguzi na dereva amepona mara tu baada ya ajali. Katika ajali hiyo ya gari la wagonjwa, muuguzi wa zahanati ya Kisiwani wilayani humo, Joshua Jacob (29) na dereva, Jumanne Makumbe...
  10. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili kubwa sana za wagonjwa wengi wa Corona hapa Ifakara kata ya viwanja sitini kitongoji cha Minarani

    Hatua za haraka zichukuliwe na viongozi na mamlaka zinazohusika na afya. Kuna idadi kubwa ya watu wenye mafua makali na vikohozi vikali. Wengine wakidai kusikia maumivu maeneo ya koo. Hiyo hali mimi nilikutana nayo. Kichwa kuuma, maumivu kwenye koo ukimeza mate au chakula, mafua makali na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Marekani: Robo tatu ya wagonjwa wa COVID 19 wanaolazwa wana chanjo ya COVID- 19

    Kituo kituo kikubwa kabisa kinachoshughulika na magonjwa ya kuambukiza cha marekani (CDC) kimelazimika kutoa matokeo yanayoonesha kuwa chanjo haimkingi kabisa aliyechanjwa kuambukizwa corona!! ROBO TATU ya maambukizi mapya yanawapata waliochanjwa chanjo ya corona. Asilimia 80 ya wanaoelemewa na...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Hatujazidiwa na idadi ya wagonjwa - uongozi wa Dodoma

    Wakati wakazi wa Dodoma nchini Tanzania wakitakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19, uongozi wa mkoa huo umesema hospitali zake hazijazidiwa na idadi ya wagonjwa. Aidha, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma imeanza kufua hewa ya oksijeni ambapo kwa siku wana uwezo wa kuzalisha...
  13. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: KCMC yazidiwa wagonjwa wanaohitaji Oksijeni

    Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC imezidiwa na idadi ya wagonjwa wanaohitaji hewa ya Oksijeni ukilinganisha na mitungi 400 inayozalishwa kwa siku huku mgonjwa mmoja akitumia mitungi 8 hadi 10 kwa siku.Hayo yamesemwa leo Ijumaa Julai 23 na Mkurugenzi Mtendaji Hospitali hiyo...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania KCMC yakumbwa na uhaba wa oksijeni kwa wagonjwa wa COVID-19

    Mkurugenzi Mtendaji wa KCMC, Profesa Gilleard Masenga amesema mgonjwa mmoja wa #COVID19 anatumia hadi mitungi 10 kwa siku. Hospitali ya Rufaa ya KCMC inzalisha mitungi 400 na idadi ya wagonjwa inazidi kuongezeka hali inayofanya hospitali kuzidiwa. ---- Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Myanmar: Madaktari wajificha huku wagonjwa wa COVID-19 wakiongezeka

    Wagonjwa wa COVID19 wamezidi kuongezeka huku wengi wakiishia kutibiwa majumbani kutokana na hospitali kukosa wafanyakazi na vifaa tiba. Wananchi wameonekana kwa misururu ya foleni wakiwa wananunua gesi ya oksijeni ili kuwanusuru ndugu zao wanaowatibia nyumbani. Wanaharakati wamelaumu jeshi...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tuna wagonjwa wachache COVID-19, tuendelee kuwaombea

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watanzania waendelee kuchukua hatua dhidi ya COVID-19. Amesema hadi sasa kuna wagonjwa wachache ambao wanatakiwa kuendelewa kuombewa ili kupona. Amesema hayo katika baraza la eid el-adha baada ya swala ya Eid iliyofanyika Msikiti wa Mtoro, Dar es Salaam.
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya nane

    Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya nane baada ya ripoti za vifo na wagonjwa wa corona kuongezeka. Watu wametakiwa kutotoka nje ya nyumba zao kuanzia Jumamosi tarehe 17 mpaka tarehe 26 Julai, ili kuzuia maambukizi ya virusi...
  18. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya: Kuna wagonjwa 26 wa COVID-19 mkoani Dodoma

    Waziri wa Afya nchini Tanzania Dk Dorothy Gwajima, amesema mkoa wa Dodoma hadi sasa una wagonjwa 26 wa COVID-19 na kati ya hao wagonjwa 22 wanapumulia gesi. Dk. Gwajima amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya wimbi la tatu la ugonjwa wa COVID 19.
  19. Shadow7

    JamiiForums Tanzania RC Sengati: Kiongozi wa CHADEMA aliyesema Shinyanga imeelemewa na wagonjwa wa corona achukuliwe hatua kali za kisheria

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dk, Philemon Sengati, kulia akizungumza na wagonjwa wa Corona alipowatembelea katika Hospitali ya Rufaa mkoani humo, ambapo alikuta hakuna idadi ya wagonjwa wengi kama ilivyoenezwa kwenye mitandao ya kijamii. Na Marco Maduhu, Shinyanga. SERIKALI mkoani Shinyanga...
  20. Kijogoodi

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni nani hadi atangaze vifo vya wagonjwa wa Corona?

    Nimekutana na video ya Freeman Mbowe mitandaoni akitangaza msiba wa kaka yake Charles Mbowe kuwa amefariki kwa ugonjwa wa Corona! Swali Mbowe amekuwa nani wa kutangaza magonjwa ya Corona? Agizo lilipo mpaka sasa ni kwamba ugonjwa wa Corona utaongelewa na kutangazwa na 1. Waziri mkuu 2. Rais...
Back
Top Bottom