wagonjwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Iraq: 82 wafariki baada ya mitungi ya oksijeni kulipuka katika hospitali inayohudumia wagonjwa wa covid-19

    Watu 82 wamefariki wengine zaidi ya 100 wamejeruhiwa baada ya mitungi ya oksijeni kulipuka katika hospitali ya Ibn Khatibu ambay ina wagnjwa wa COVID19, Jumamosi Usiku. Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al-Kadhimi amemsimamisha kazi Waziri wa Afya ili kupisha uchunguzi wa tukio hilo. === At least...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili/ wanasheria wa Tanzania sikilize questioning ya Pulmonologist by prosection kuhusu kesi ya George Floyd, kuna knowledge kubwa ya kujifunza

    Kuna live prosecution, very interesting kuna maarifa makubwa mtayapata katika kesi za mauaji. Jebra, Lisu, na wengine fuatilia.
  3. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

    Mh. Lusinde amesema Ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa. Awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya Kinana,Maalim Seif na Slaa basi padri ataishia hospitalini kwa afya mgogoro. Spika nae akachagiza kuomba VIP marathon ili watu wasiofiti kiafya wajulikane. Chanzo...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tanzania inakadiriwa kuwa na wagonjwa sugu wa figo kati ya 4,800 hadi 5,200 ambao wanahitaji huduma ya kusafisha damu au kupandikizwa figo

    Serikali imelenga kuziwezesha Hospitali zote za Rufaa za Mikoa (26) nchini ili kuweza kuanzisha huduma za matibabu ya ugonjwa sugu wa figo ikiwemo usafishaji damu ifikapo mwaka 2025. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge David Mathayo agawa magari ya wagonjwa kwa kila kata jimboni kwake

    Mbunge wa Same Magharibi Mh David Mathayo amekabidhi magari ya wagonjwa kwa kila kata katika jimbo lake. Mathayo amesema magari hayo imara sana ameyanunua yeye mwenyewe ili kuwasaidia wapiga kura wake na hasa akina mama ukizingatia Same ni eneo lenye milima. Chanzo: Upendo TV Maendeleo hayana...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila ajibu madai ya Hospitali za Mbeya kujaa wagonjwa

    RC Mbeya, Albert Chalamila akiwa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Konde kwenye Uzinduzi wa Ofisi Kuu ya Dayosisi na Kanisa Kuu amenena haya kuhusu hospitali mkoani humo kujaa wagonjwa “Wapo Watu wanatishia Watu wanasema Mahospitalini huko kumejaa sana wagonjwa, Serikali ijenge Vituo vya Afya kwa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waagiza takwimu za wagonjwa wa korona na chanjo vitolewe

    Ambassador to Tanzania. I want to talk to you about COVID-19, and how we can work together to prevent its spread and help all of us stay safe. Since the start of the Covid-19 pandemic, almost two and a half million people have died of the disease. The loss is staggering, and no country has...
  8. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF) wakanusha kuondoa malipo ya Oksijeni na dawa kwa wagonjwa wenye shida ya upumuaji

  9. Cannabis

    JamiiForums Tanzania K/Mkuu Wizara ya Afya, awaasa wananchi kuacha kuzusha maneno kuwa hospitali zimejaa wagonjwa na kusababisha watu kuogopa kwenda kupata Huduma za Afya

    Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Prof. Mabula Mchembe amewaasa Wananchi kuacha kuzusha maneno ya kuwa hospitali zimejaa na kusababisha wagonjwa kutofika ili kupatiwa matibabu Profesa Mabula amesema hayo leo FebruarI 12, 2021 mkoani Arusha.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili mnatuchosha

    Naomba kueleza matatizo tunayoyapata sisi tuliopeleka wagonjwa wetu muhimbili kutibiwa. Ni shida tena mateso kuja kumuona mgonjwa wako wodini walinzi na wahusika wamefanya dili kutengeneza pesa ukitaka kumuona mgonjwa wako utaruhusiwa ila utatoa chochote na wengine hawaruhusiwi kabisa, watakaa...
Back
Top Bottom