sisi wenye ID's ambazo hazina muda mrefu kuanzishwa sio kwamba tulikuwa na ID's za awali na wala sio kwamba ni wageni hummu jamvini.
kumekuwa na nyuzi kadhaa za unyanyapaa kuhusiana na ID's mpya kwa maneno ya kejeli kadhaa wa kadhaa.
inatokea mtu unaingia humu kama guest kwa miaka zaidi ya...