Kampuni za MM CONNECT na PENT OPTIMISM ambazo zina ubia wa kuendesha maduka ya Vodacom zinachkua vyeti vya kitaaluma vya wafanyakazi wake na kukaa navyo kama udhamini kinyume na utaratibu na kumbana zaid mfanyakazi kuombea Kaz kwingine
Anonymous
Thread
kampuni
kitaaluma
kuendesha
maduka
optimism
pent optimism
ubia
vodacom
vyeti
wafanyakazi
wake
Kumekuwa na tabia ya wafanyakazi kutotendewa haki katika hiki chuo, mara nyingi wafanyakazi wa hapa hudhulumiwa mishahara yao na wakati mwengine kutolipwa kabisa baadhi ya miezi.
Mwaka jana baada ya likizo kulikuwa na malalamiko mengi kwa wafanyakazi wakidai kutolipwa mwezi wa saba, wanane na...
Anonymous
Thread
business
cheka
chuo
college
health
kigamboni
science
uovu
wafanyakazi
Habari sisi ni wafanyakazi wa shirika la umeme tanesco wa mikataba ya S.T.E kwenye shirika la tanesco kuna mikataba ya aina tatu
1. Mkataba wa kudumu company namba
2. Mkataba temporary mwaka ni mmoja
3. Mkataba wa kazi maalumu maalumu. S.T.E mwezi mmoja.
Sisi S.T.E Tunafanya kazi kwa kubwa...
SHIRIKA LA UMEME TANESCO SISI WAFANYAKAZI WA S.T.E BORESHENI MIKATABA YETU AU TUPENI MIKATABA YA KUDUMU.
Habari sisi ni wafanyakazi wa shirika la umeme tanesco wa mikataba ya S.T.E kwenye shirika la tanesco kuna mikataba ya aina tatu:-
1. mkataba wa kudumu company namba
2. Mkataba temporary...
Anonymous (8b17)
Thread
boresheni
habari
jamii forums
kudumu
mikataba
shirika
shirika la umeme
tanesco
umeme
wafanyakaziwafanyakazi wa shirika
Wanaukumbi.
🇺🇸🇮🇷 Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya Jumatano - The Hill
Baada ya hapo wataanza kuwalipua.
IRGC imetishia makampuni makubwa ya kiteknolojia...
Mradi wa Mabasi ya Mwendo Kasi jijini Dar es Salaam, ulianza kwa mafanikio makubwa na mapato mengi. Hata hivyo, hali ilibadilika baada ya viongozi wa juu kuzidisha "michezo yao" kisha wanatumia Wafanyakazi wa vituoni kama "mbuzi wa kafara."
Hakuna mfanyakazi wa kituo anayeweza kuiba Sh 100,000...
Anonymous (b60c)
Thread
hali
mbaya
mshahara
nyongeza
nyongeza ya mshahara
tunahitaji
udart
uongozi
wafanyakazi
Kila nikiisoma Katiba ya nchi yetu kuwa misingi ya uchumi wa nchi yetu ni ya kijamaa na nchi hii mifumo yake inadhibitiwa na wakulima na wafanyakazi, huwa nashangazwa kabisa.
Hivi ni kweli kuwa nchi yetu inaendeshwa kijamaa na wakulima na wafanyakazi ndiyo wenye sauti na mamlaka ya mwisho...
Ndugu yangu Mtanzania,
Habari Ni kama inavyosomeka
===========
Wafanyakazi wa Gerwill Hotel, iliyopo nyumbani kwa marehemu William Lukuvi, eneo la Area D, Dodoma, wameangua vilio baada ya kupata fursa ya kuuaga mwili wa marehemu ulipofikishwa nyumbani jioni ya leo.
Soma Pia: Waziri William...
Mimi ni mhanga pia wa hao Manispaa ya Ubungo, ninaishi Kibamba, mwanzoni mwa Januari 2026 walipita wakikagua Leseni ya Biashara nikawaeleza week inayofuatia nitaenda ofisini, maana ilikuwa ni ya ku-renew na kweli nilienda tarehe 6 January nikahudumiwa na mdada mmoja baada ya kumaliza kunihudumia...
Anonymous (66bb)
Thread
hapo
manispaa
manispaa ya ubungo
mazingira
rushwa
ubungo
wafanyakazi
Ombi kwa Waziri wa Madini kuna kampuni ya uchimbaji dhahabu ipo Musoma Vijijini, Kijiji cha Kwitope inaitwa GDM, haitendi haki kwa sisi wafanyakazi, mshahara ni shida, mikataba ya ujanja, mtu hapewi stahiki zake kwa wakati akiondolewa kazini.
Pia kuna kauli mbovu kwa wafanyakazi, watumishi wa...
Anonymous
Thread
kampuni
madini
musoma
musoma vijijini
timu
utendaji
vijijini
wafanyakazi
waziri
waziri wa madini
Prayer for YOU!
Father God,
Tonight I lift up my Jf family to You. Every mother, every father, every business owner, every leader, every person carrying silent battles that nobody else sees.
Lord, Your Word says You give sweet sleep. So I declare sweet sleep over their homes tonight.
For the...
Sisi Wafanyakazi 160 tuliopo katika Mgodi mdogo ambao unapatikana Mkoani Mara, Wilaya ya Musoma, Kata ya Kigera, Kijiji cha Kwitope chini ya Kampuni ya IDERA au GDM tuna changamoto ambazo tunatamani jamii izisikie na ujumbe ufika kwa mamlaka husika ili utatuzi upatikane.
Tunacheleweshewa sana...
Kwa miaka mitatu na nusu, Amina Ally Sauko amesaidia kuratibu operesheni za treni za Shirika la Reli la Tanzania (TRC) kutoka kwenye Kituo chake cha Usimamizi wa Operesheni kilichoko jijini Dar es Salaam, ambako uhakika na kufanya kazi pamoja kama timu ni muhimu. Amina, ofisa usafiri wa TRC...
Mimi ni mwakilishi wa Watumishi kadhaa ambao naweza kusema ni wengi katika Hospitali ya Bugando (BMC), kuna malalamiko dhidi ya uongozi ambao tunaweza kusema kuna "unyonyaji na ukandamizaji" unaofanywa na baadhi ya viongozi wa taasisi yetu.
1. Mazingira ya Kazi na Ukandamizaji wa Muda
Moja ya...
Anonymous (a103)
Thread
bugando
changamoto
haki
haki za wafanyakazi
kilio
ukiukwaji
ukiukwaji wa haki
unyanyasaji
wafanyakazi
watumishi
Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya ulinzi inayoitwa G4S, Serikali ilitangaza kuwa kima cha chini ni 299k na ukijumulisha na overtime na sikukuu inatakiwa kiwe kuanzia 489k - 520k kwa normal guard lakini sasa tumeingiziwa mshahara wa mwezi Januari 2026 hata hatuelewi.
Tumewekewa chini ya 480k na...
Anonymous
Thread
kampuni
kampuni ya ulinzi
mambo
maslahi
maslahi ya wafanyakazi
sawa
ulinzi
uongozi
wafanyakazi
Naibu waziri wa wizara ya fedha, Mhandisi Mshambu Munde amejibu swali la Mbunge wa Kigamboni Haran Nyakisa Sanga kuhusu
Je, lini wafanyakazi wa Tanzania watapunguziwa riba za mkopo kufikia aslimia 7 au 8?
Kwa wafanyabiashara ambao hamjui vile mnaibiwa na wafanyakazi hata kama mmefunga camera.
Iko hivi, mteja akifika dukani atachagua vitu anataka, wakati wa kufanya malipo mfanyakazi asiyekuwa mwaminifu atamwambia gharama yake halisi mfano 200K kisha atamwambia anaweza kulipia 20K na risiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.