wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania CCM kutoka kuwa Chama Cha Wakulima na Wafanyakazi hadi Chama Cha matajiri

    Nasikitika kusema kwamba CCM kwa mara nyingine imepoteza Mwelekeo. Kwa sasa CCM inawaheshimu zaidi Matajiri kuliko walengwa wa Chama ambao ndio walikuwa shabaha kubwa ya waasisi kuanziaha Chama. Kinachotoea sasa na Kinachoendelea ni udhalilishaji Hawa walengwa yaani Wakulima na Wafanyakazi...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna kijiji kinaandaliwa huko Japan kwa ajili ya wafanyakazi wahamiaji kutoka Tanzania

    Nchi inakosa nguvu kazi kwa baadhi ya mambo hadi kupelekea kutayarishia wahamiaji mazingira
  3. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi ni daraja la mafanikio ya wafanyabiasha

    Je, unaweza kutoa ufafanuzi wa msemo huu? "WAFANYAKAZI (WAAJIRIWA) NI DARAJA LA MAFANIKIO YA WAFANYABIASHARA"
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shinyanga: Kuna Wafanyakazi wa Idara ya Ardhi wanatengeneza mazingira ya rushwa waziwazi

    Wafanyakazi wa Idara ya Ardhi Mkoa wa Shinyanga na wale wa Manispaa ya Shinyanga wanafanya kazi zao kwa mazoea sana huku wakitengeneza mazingira ya kupokea rushwa kutoka kwa wananchi. Kama week mbili zilizopita kulikuwa na zoezi la urasimishaji wa ardhi katika kata ya Kizumbi, kijiji cha...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hakuna Nchi yenye Wafanyakazi wa Serikali wasio wazalendo kama Tanzania

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema mpumbavu sio tusi hivyo uzi huu sio matusi bali ni ukweli ulio halisi Baada ya kusikiliza press ya Polepole alivyosema kuhusu mfumo wetu wa utambuzi wa uraia umekuwa compromised kwa faida ya majinga ma CCM hitimisho langu kuu ni kwamba Hakuna Nchi yenye Watumishi...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Serikali Kuweka Mikakati Madhubuti dhidi ya Unyanyasaji wa Wafanyakazi – Sektar Binafsi*

    Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha malalamiko na ushauri kuhusu hali halisi ya wafanyakazi wengi hususan katika sekta binafsi hapa nchini. Wapo Watanzania wengi wanaofanya kazi mashuleni, viwandani, hotelini, mashirika ya kimataifa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shirika la Uwakala Wa Meli Tanzania (TASAC) kutangaza ajira mpya bila ya kuwarudisha baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wake sio sawa

    Wasalaam , Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ifuatilie baadhi ya shule binafsi mapato yake kila Mwaka na mishahara ya Wafanyakazi wake haviendani, waajiriwa wananyonywa

    Mfano Shule ya Wavulana iliyopo Mitaa ya Kawe (jina kapuni), mwajiriwa mwenye Shahada analipwa mpaka 530k baada ya makato inabaki 360k ingali ada kwa Kila Mwanafunzi kwa mwaka ni Sh 12m, hii haina usawa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania TikTok inakabiliwa na mgomo kwasababu ya AI

    TikTok inakabiliwa na mgomo mkubwa wa wafanyakazi nchini Ujerumani hasa katika ofisi yake ya Berlin Kufuatia uamuzi wa kampuni hiyo wa kuwafuta kazi takriban wafanyakazi 150 kutoka idara ya "Trust and Safety" na "Live". Wafanyakazi hawa walikuwa wakihusika na usimamizi wa maudhui na usalama wa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Exim Bank Tanzania, JKCI Zashirikiana Kuimarisha Afya ya Wafanyakazi

    Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Stanley Kafu (kushoto), Afisa Masoko Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Irene Mbonde, na Mkurugenzi wa hospitali ya JKCI-Dar Group, Dk. Tulizo Shem wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa zoezi la kufanya vipimo vya moyo na...
  11. Kiranja wa Kijiweni

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Unamiliki duka au supermarket? Usihangaike tena na daftari, stock kupotea au wafanyakazi kuiba

    SHARED DUKA ENTERPRISES PORTAL – Ni Mfumo wa Kisasa wa Mauzo na Manunuzi kwa Biashara za Rejareja na Jumla. MUHTASARI WA MFUMO: Mfumo wa Shared Duka Enterprises Portal ni suluhisho la kidijitali linalorahisisha usimamizi wa biashara yako. Ukiwa na mfumo huu, unaweza kuuza, kununua, kutunza...
  12. Kiranja wa Kijiweni

    JamiiForums Tanzania Unamiliki duka au supermarket? Usihangaike tena na daftari, stock kupotea au wafanyakakazi kuiba

    Mfumo wa SHARED DUKA ENTERPRISES PORTAL ni suluhisho kamili la biashara yako: 1. Mauzo & Manunuzi 2. Hisa & Uhamisho 3. Ripoti & Risiti 4. Wateja & Wasambazaji 5. Watumiaji na Ruhusa 6. Web-based (Popote ulipo) 7. Mfumo umekuwa integrated na SMS, MAILS 8. Mfumo unaweza kuwa integrated na MPESA...
  13. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Mlima Kilimanjaro: Jiungeni Sasa Kudai Haki Zenu Kisheria Kupitia Mountain Workers Advocacy Union (MWAU)

    Kwa muda mrefu, wapagazi, waongozaji na wapishi wa Mlima Kilimanjaro wamekuwa wakifanya kazi katika mazingira hatarishi, bila mikataba, bila bima ya afya, na wakikosa kinga ya kisheria – hali inayokiuka haki zao za msingi kazini. Kwa mujibu wa Employment and Labour Relations Act, 2004, Kifungu...
  14. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hospitali ya JKCI-Dar Group mnaihujumu Serikali kwa Kukiuka makubaliano ya Serikali na wafanyakazi mliowakuta

    Takriban mwaka miaka 3 tangu Serikali JMT kutangaza kuchukua umiliki wa hospitali ya Dar Group kupitia Waziri wa afya wa wakati huo Ummy Mwalimu siku ya makabidhiano na kuiweka chini ya umiliki wa Taasisi ya moyo JKCI , pia ilichukua rasilimali zote ikiwemo majengo, vifaa tiba , pesa na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha umasikini wa wafanyakazi wa serikali ni hiki hapa

    1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue. 2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji PRELUDE...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa EROLINK upande wa Call Center ya TANESCO hatuingiziwi stahiki zetu za NSSF

    Mimi na Wafanyakazi wenzangu wa EROLINK hasa ambao tupo upande wa Call Center ya TANESCO hatuwekewi stahiki zetu za malipo ya NSSF zetu licha ya kwamba tumekuwa tukikatwa kila mwezi. Ahadi zimekua nyingi lakini hakuna kinachofanyika, tumekwisha kuongea na Afisa Uhusiano anaeshugulika na mafao...
  17. Think2

    JamiiForums Tanzania Serikali ikiamua kufatilia swali la vyeti naona kuna taasisi zitakosa wafanyakazi

    Swala la vyeti tanzania bado ni tatizo wengi wanavyeti ya kuungaunga tu janjajanja tu mjini Katika hili swla la waandishi wetu wa habari tena maarufu kukosa sifa ni taswira tosha ya elimu yetu hii kunawatu wanakosa sifa ila ni janjajanja tu mjini, mtu akijua kuongea kwenye mic tayari anakuwa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO ZSSF iamke usingizini, Kampuni nyingi Zanzibar zinawakata Wafanyakazi lakini fedha hazifiki

    Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) haifuatilii michango ya wanayokatwa Wafanyakazi kwenye kampuni, wanafanya kazi kwa mazoea au wanaziogopa baadhi ya taasisi. Hali hiyo inatukuta Wafanyakazi wa Kampuni ya IRIS inayohusika na masuala ya ujenzi wa barabara mbalimbali Zanzibar na...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ujio wa DP World mbona haujatupunguzia kero ndogondogo Wafanyakazi wa Bandarini?

    Huku Bandarini tangu DP World wamekuja mambo yamekuwa magumu kwa Wafanyakazi, hatuna over time. Pia wafanyakazi wengi wamehamishwa, yaani tafrani tupu, kubwa zaidi ni kuwa hatulipwi kwa wakati, mfano sasa hivi tulipaswa kupewa pesa zetu za rent tangu June mpaka leo tunaitafuta August 2025 bado...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Fun fact: Ubishi wa wafanyakazi wa Huawei kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe Libya

    Wakati vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini Libya inaanza, kampuni ya mitambo ya simu ya Huawei haikutaka kuachia biashara hata kidogo. Walichofanya ni wafanyakazi wa Huawei nchini Libya kujigawa makundi mawili. Moja likihakikisha upande huu wa vita mawasiliano yanaendelea na lingine...
Back
Top Bottom