TECU imekuwa kama sehemu wa vigogo wa TANROADS kujinufaisha ndo maana miradi yote mipya wanafanya figisu ili isimamiwe na TECU ambayo inaleta conflict maana Client ndo huyo huyo Consultant.
Mameneja wa mikoa ndo wanaamua nani wampeleke mwenye miradi na wao ndo ma Project Manager wanalipwa ili...
TAARIFA KWA UMMA
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kutoa ufafanuzi kwa Umma kuhusu taarifa iliyochapishwa katika ukurasa wa Jamii Forums tarehe 12/5/2026 yenye kichwa cha habari: “Tumefanya Kazi JKCI–Dar Group Zaidi ya Miaka 30, Tunaondolewa Bila Kulipwa Kiinua Mgongo, Inauma Sana”...
Mkoa wa Geita wafanyakazi wa idara ya afya kupitia shirika lisilo la kiserikali ICAP wanacheleweshewa mshahara wao kila mwezi na wakiuliza kwa mratibu wa mkoa hatoi majibu mazuri na kutishia kama umeshindwa acha kazi ambacho sio jambo jema
Anonymous
Thread
afya
geita
idara
idara ya afya
kila mwezi
kiserikali
kupitia
mkoa
mkoa wa geita
mshahara
mwezi
shirika
wafanyakazi
wao
Imeelezwa kuwa Mikutano ya Mabaraza ya Wafanyakazi ni majukwaa muhimu ya kuwashirikisha watumishi moja kwa moja katika mipango ya Serikali ili kupata mawazo mapya na umiliki wa pamoja wa mipango hiyo kwa lengo la kutekelezwa kwa ufanisi na bila manung’uniko.
Hayo...
Kuna ndugu yangu anafanya kazi Kampuni ya HAINAN INTERNATIONAL LTD kwenye mradi wa ujenzi wa Bohari ya Dawa (MSD) mkoani Geita, Wilaya ya Chato pembezoni mwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato.
Mradi tangu wameanza ni takribani miezi minne, unaenda mitano sasa lakini hakuna kuingiziwa fedha za...
Anonymous
Thread
kampuni
katika
malipo
mradi
msd
nssf
wafanyakazi
wake
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemtaka Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, Evaline Munisi kusimamia kwa karibu masuala ya haki za wafanyakazi, ajira kwa vijana na kuimarisha mahusiano kazini.
Rais Samia amebainisha hayo Jumatano Mei 6...
ajira
ajira kwa vijana
amani
evaline munisi
haki
haki za wafanyakazi
karibu
kazini
kuimarisha
kusimamia
mahusiano
masuala
tulinde amani
vijana
wafanyakazi
waziri
Mimi ni Mtumishi katika halmashauri ya Kibondo.
Khero yangu kubwa ni Makato yanayokatwa na Chama cha wafanyakazi TALGWU, ambayo kwa kila mwezi ninakatwa 17,660/=
Ila ni miaka zaidi ya 2 imepita bila kusomewa Mapato na Matumizi katika Chama, je! Ukaguzi wa ndani na nje ya Halmashauri...
Kuna kiwanda cha kinaitwa Global Aluminium Ltd kipo Kibaha Zogowale, Wachina wanaamrisha mfanyakazi aende kazini kila siku hakuna sikukuu wala weekend.
Kama hutaenda unafukuzwa kazi, mikatabao ya uongo, NSSF wanakata, barua upewi, ukimaliza mkataba kiufupi ni manyanyaso.
Kuna mchina mmoja yupo...
SHIRIKA la Dawa Asili na Ulinzi wa Mazingira(TRAMEPRO) limesema linatambua na kuthamini mchango wao katika kukuza na kuendeleza sekta ya tiba asilia, ambayo imeendelea kuwa tegemeo muhimu kwa wananchi wengi katika huduma za afya.
TRAMEPRO imetoa kauli hiyo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha...
Kwanini Watumishi tunaungwa katika Vyama vya Wafanyakazi, Chama Cha Wafanyakazi Wa Serikali Na Afya Tanzania (TUGHE)na Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) bila kuchagua?
Kuna hivi vyama vya Wafanyakazi TUGHE na TALGWU wanakuunga kilazima bila mfanyakazi kujua, hawakupi...
Anonymous
Thread
afya
ajira
ajira mpya
bila
katika
kilimanjaro
kuchagua
mpya
mwanga
ridhaa
talgwu
tughe
vyama
vyama vya wafanyakaziwafanyakazi
watumishi
wilaya
Wafanyakazi hawana tena mtetezi wachangamoto zao,, sio vyama vyao vya kitaaluma wala sio chama chao cha wafanyakazi serikali.
Watumishi wa umma wana hali mbaya sana hasa kipindi hiki ambapo siasa za ulimwengu ziko kwenye hatari kubwa, hali ya maisha kupanda na mishahara yao kubakia vile vile...
📍NIRC Dodoma.
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde, amezindua Baraza la Sita la Wafanyakazi la Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), huku akitoa wito kwa watumishi wa Tume hiyo kudumisha umoja na kutokubali kukatishwa tamaa na sauti chache za watu wasiothamini kazi nzuri inayofanywa na...
Mbunge wa Viti Maalumu, Lucy Mwakyembe amesema kuwa Kujiunga na vyama vya wafanyakazi ni hiari, na ibara ya 20 ya katiba ya Tanzania inatoa haki hiyo na sheria ya ajira na mahusiano kazini inathibitisha haki hiyo.
Baadhi ya taasisi za kazi imekuwa ikiwalazimisha wafanyakazi kwenye vyama vya...
Wadau, hii ni noma! Kampuni ya Sama imetoa taarifa rasmi kwamba kuna mass redundancy inakuja kwa ofisi yao ya Nairobi . Sababu kubwa?
Mteja wao mkubwa Meta ameamua ku-terminate contract yao.
Kwa mujibu wa taarifa ya April 16, 2026, Sama walisema walijaribu ku-engage Meta ili kuokoa situation...
kumekuwepo na chapisho ambalo limechapishwa na baadhi ya watumiaji wa mitandao ya facebookk wakiwa na ujumbe unao nukuu kuwa bunge la iran limetangaza kuongeza mishahara baada ya vita
katika chapisho hilo ambalo lina nukuu inayosomeka "Baada ya Bunge kuidhinisha sheria mpya ya Malipo kada ya...
Hii ni sawa na kushiriki na dhambi isiyotuhusu asee.
Ni mdada mzuri alipoajiriwa tu mwaka jana basi kuna jemba yenye mke huko mkoa X ikaanza kuishi naye uchumba sio uchumba mke sio mke lakini waswahili husema umuonaye anatoka kwenye chumba cha Mama yako kajifunga Taulo huyo ndiye ni baba yako...
WAFANYAKAZI wenzako, marafiki wa maeneo unayofanyia kazi, wafanyabiashara wenzako ni nyoka hatari kwa maendeleo yako.
Mucheke, mupige kazi urafiki wenu uishie juu kwa juu. Achana na mambo ya family friend, hayo waachie wazungu.
Ikiwezekana mfanyakazi mwenzako asipajue unapoishi. Bodaboda wa...
Wafanyakazi wa mkataba wa Shirika la ICAP hatujalipwa mshahara toka Januari 2026, tumeulizia kwa RACC kiongozi mratibu wa Afua ya UKIMWI Mkoa lakini hatupewi majibu sahihi kila siku anatuzungusha.
ICAP ni International Center for AIDS Care and Treatment Programs kwa Geita na Mwanza ila kwa...
Anonymous
Thread
geita
januari
mkataba
mshahara
shirika
wafanyakazi
Kampuni za MM CONNECT na PENT OPTIMISM ambazo zina ubia wa kuendesha maduka ya Vodacom zinachkua vyeti vya kitaaluma vya wafanyakazi wake na kukaa navyo kama udhamini kinyume na utaratibu na kumbana zaid mfanyakazi kuombea Kaz kwingine
Anonymous
Thread
kampuni
kitaaluma
kuendesha
maduka
optimism
pent optimism
ubia
vodacom
vyeti
wafanyakazi
wake
Kumekuwa na tabia ya wafanyakazi kutotendewa haki katika hiki chuo, mara nyingi wafanyakazi wa hapa hudhulumiwa mishahara yao na wakati mwengine kutolipwa kabisa baadhi ya miezi.
Mwaka jana baada ya likizo kulikuwa na malalamiko mengi kwa wafanyakazi wakidai kutolipwa mwezi wa saba, wanane na...
Anonymous
Thread
business
cheka
chuo
college
health
kigamboni
science
uovu
wafanyakazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.