Kampuni ya huduma za ndege ya Boeing inarajia kupunguza waajiriwa kwa 10% ambayo ni takribani waajiriwa 16,000 wataguswa na zoezi hilo
Hii imekuja baada ya kampuni hiyo kupata hasara kutokana na janga la #CoronaVirus. Uhitaji wa huduma za ndege umepungua kwa kiasi kikubwa
Boeing imepata hasara...
Kampuni ya Jamhuri Media Limited, wachapishaji wa Gazeti la Uchunguzi JAMHURI inapenda kuufahamisha umma kuwa katika kikao cha pamoja kilichofanyika Aprili 29, 2020 kati ya wafanyakazi na mwajiri; tumekubaliana kupunguza asilimia 50 ya wafanyakazi kwa utaratibu maalum kuepusha kampuni isianguke...
Habari za hivi punde kutoka north korea ni kuwa Kiongozi wa korea kaskazini ni mzima na amewapongeza wafanyakazi wanaondelea na ujenzi wa majengo ya kitalii katika mji wa wosan ambao upo mashariki mwa hiyo nchi. Ni mji ambao picha za satellite zilionyesha treni binafsi ya kiongozi wa korea...
Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona- Zitto
#COVID19TZA Serikali imethibitisha uwepo wa virusi vya Korona Tanzania. Utulivu ni muhimu kwani kukiwa na maandalizi ya kutosha tunaweza kukabili madhara ya mlipuko huu. Nashauri mambo 3 muhimu sana, kwa maoni yangu.
- Tunaona Nchi nyengine kukiwa...
Habari wakuu,
Nahitaji msaada wa sheria.
Kipindi hiki ambacho tunapambana na corona, kampuni imepunguza mishahara pasipo majadiliano na wafanyakazi.
Je, ni sheria ipi inahusika? Wapi tunaweza kulalamika?
Wassalam wana-JF,
Mwezi Machi mwaka 2019, waziri Mkuu wa JMT Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa alizindua kikubwa na inawezekana cha pekee Mkoani Lindi maeneo ya Mbalala jimboni Mtama kinachojulikana kwa jina la CASSAVA STARCH OF TANZANIA CORPORATION. Kiwanda ambacho kinajishughulisha na uzalishaji...
Mgogoro kati ya management na wafanyakazi wa Impala group of Hotels unatarajiwa kutua bungeni. Idara ya kazi Arusha imeshindwa kabisa kushughullikia na kumaliza mgogoro.
Pia NSSF wameshindwa kukusanya michango tangu 2017. Ilipofika January, Naibu Waziri alikutana na makundi yote 2 pale idara...
Rais Magufuli alipoingia madarakani kitu cha kwanza alichojitahidi kurekebisha ni jinsi wafanyakazi wa serikali walivyokuwa hawawajibiki kutimiza majukumu yao; alifanya zoezi la ziara za kustukiza maofisini na kuwaadhibu wale waliokutwa na makosa.
Zoezi la ziara za kushstukiza pamoja na zoezi...
Ni juavyo mimi wafanyakazi wa Mashirika Binafsi ya Utalii yameandhirika sana na janga la Corona. Mashirika mengi yameshindwa kulipa mishahara, hivyo mengine yanaishia kulipa sehemu ya mshahara na mengine kutokulipa kabisa kwa miezi kadhaa ijayo kwani haijulikani janga hilo litachukua muda...
Sifa
Uzoefu wa kupika vizuri vyakula mbalimbali na vitafunwa
Mpishi wa chips katika ubora unaokubalika
Muandaaji wa juice aina mbalimbali kwa ubora wa hali ya juu
Uzoefu wa kuhudumia wateja ikiwemo kuwafuata maeneo yanayozunguka na kukusanya oda
Uwezo wa kujitoa na kutimiza wajibu bila...
Wakuu naandika uzi huu nikiwa shuhuda wa ninalotaka kuongelea, inawezekana labda mimi ndio sijui mabadiliko ya mifumo ya kibenk haswa kwenye kufungua account mpya.
Nimewahi fungua account kadhaa kwenye bank tofauti hapo nyuma lakini hili nililolishuhudia NMB limenistua.
Mara zote unapofungua...
Tulimsikia wenyewe Rais wetu Magufuli wakati akilihutubia Taifa siku chache zilizopita, akituhimiza wananchi tukachape kazi na kuwa tusitishwe na vyombo vya habari vya kibeberu, kwa kuwa ugonjwa wa corona siyo tishio kiasi hicho wanachotuaminisha!
Kwa kweli nilishangazwa sana na maelekezo hayo...
Mtikisiko wa Corona :Serikali ya Uingereza kulipa mishahara wafanyakazi wa sekta binafsi ili kulinda ajira zao. Kwa kweli huu ni utu zaidi ya ujamaa wa Mwalimu Juliazi.
====
Has the national life of this country ever been transformed so completely and at such a speed? In the course of a week...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema anatarajia kupeleka muswada binafsi bungeni, kutaka itungwe sheria ambayo itamka mwanamume ambaye ni mfanyakazi, kukatwa asilimia 40 kwa ajili ya mke wake ambaye ni mama wa nyumbani.
Makonda alisema hayo wakati wa kilele cha maadhimisho ya...
CCM ni chama ambacho kimejitanabaisha kuwa ni chama cha wakulima na wafanya kazi hata nembo yake ni jembe na nyundo.
Mimi nachelea kuwaongezea kuwa ni chama cha wafanyabiashara pia.
Swali langu ni, je kwa miaka minne iliyopita ni kada ipi imefaidi zaidi na ccm kati ya Wakulima, Wafanyakazi na...
Inasikitisha kuona kuwa Serikali inagawana sawa mshahara wa mfanyakazi, Yaani mfanyakazi anachukua nusu na Serikali nusu harafu bado mnatushauri tuisifu Serikali.
Rafiki yangu mpendwa,
Kama umekuwa mfuatiliaji wa mambo yanayoendelea duniani, hasa kwenye upande wa sayansi na teknolojia, utakuwa unapata taarifa mbalimbali kwenye eneo la kazi.
Taarifa kubwa na ambazo ni nyingi kwa sasa ni uwezo wa maroboti (Artificial Intelligence) kufanya kazi ambazo...
Kwanza nitangaze wazi kwamba Mimi ni Kiongizi Mwandamizi wa Chama cha wafanyakazi sekta ya Nishati na Madini (Sekta ya Uziduaji) Tanzania, kinaitwa kwa ufupi NUMET.
Pamoja na kwamba hatuhusiki sana na wafanyakazi wa sekta ya umma ambayo inalalamika sana kwasababu za kutoongezwa mishahara, na...
Nasikitika sana kuona serikali inatulazimisha kuwa maskini. Ni ngumu sana kwa mfanyakazi kuwa tajiri kwa kutegemea kuajiriwa.
NSSF wanapokea kiasi cha asilimia 20 (10 kwangu + 10 mwajiri) hapo hapo Serikali nayo wanakata kiasi cha asilimia zisizopungua 25 mpaka 30 ya mshahara wangu kama kodi...
Wanajamvi nawasalimu kwa jina la bwana.
Kwa muda toka mheshimiwa Kangi Lugola akutane na madhila ya kuvuliliwa uwaziri wa Mambo ya Ndani, wote tunajua kuwa Kangi alikuwa mtetezi wa waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda.
Makosa madogo madogo kama ya abiria kutovaa helmet na kupakia mshikaki...