wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ujerumani: Wafanyakazi 730 wa machinjioni wapata maambukizi ya Corona

    Hadi kufikia jana Alhamisi, wafanyakazi wapatato 730 katika machinjio ya jimbo la North Rhine-Westphalia (NRW) nchini Ujerumani wamethibitika kuambukizwa virusi vya Corona baada ya kupimwa Mamlaka za huko zimeamuru kufunguwa kwa kiwanda cha kuchakata nyama cha Kundi la Toennies kwenye eneo la...
  2. J

    Wakati Dkt. Kigwangalla anagawa baiskeli kama karanga, wafanyakazi wa Tanapa hawajalipwa mshahara miezi miwili sasa!

    Akichangia hotuba ya sheria ya bajeti mbunge Magdalena Sakaya amemtaka Waziri wa Utalii na maliasili Dkt. Kigwangalla kushughulikia suala la mishahara ya watumishi wa Tanapa kwa dharura. Sakaya amesema wafanyakazi wa Tanapa hawajalipwa mishahara kwa miezi miwili hivyo ni vema waziri Dkt...
  3. Tundu Lissu, unakuwaje Rais wa nchi bila kukemea Rushwa, bila kuongelea suala la maji, miundombinu na Elimu?

    Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea. Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na...
  4. R

    Hivi Vyama vya Wafanyakazi pamoja na kuchukua michango kila mwezi vinakosa hata tovuti

    Niende kwenye mada kuna kijana kaniomba nimuelekeze wapi zilipo ofisi ya chama cha wafanyakazi kutokana na yeye kuwa na mgogoro na mwajili wake yaani TUCTA. Kwa kuwa ni mfanyakazi kwenye huduma za mahotel nilimweleza TUCTA ni muunganiko wa vyama vya wafanyakazi toka sekta tofauti ila yeye...
  5. Ni kwanini Wafanyakazi wengi wa TRA siku hizi hasa wale wa vitengo muhimu vya ukusanyaji mapato wamekuwa waoga na hawajiamini mitaani?

    Kwa baadhi niliokutana nao ( ambao nakiri hapa ) wazi wazi kuwa ni Marafiki zangu wazuri na wakubwa tu ila tokea Awamu hii ya Tano iingie Madarakani wengi Wao wamekuwa ni Waoga Waoga Kimuonekano na hata Hawajiamini tena huku hata mkiwa mmekaa nao tu mahala muda mwingi wanakuwa ni Watu wa...
  6. S

    Mbunge: Serikali haijawasilisha shilingi bilioni 1.5 za makato ya wafanyakazi kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    "Kuna Bil 1.5 za makato ya wafanyakazi hazijawasilishwa, Serikali inachofanya inalipa mishahara lakini kwenye Mifuko ya Hifadhi za Jamii ile pesa haipelekwi, hii ni hatari mtu anapostaafu ili alipwe pesa zake anaambiwa michango yako huku haikuletwa" Mbunge ,Tunza Malapo. Chanzo: Darmpya Blog...
  7. Wafanyakazi wa Google wataanza kufanyia kazi ofisini Julai 6

    Baadhi ya kampuni za teknolojia na habari zimewaambia watumishi wake kuwa wataendelea kufanyia kazi nyumbani muda wote, makampuni mengine yamepanga kuendelea na kazi katika ofisi zao hivi karibuni Moja kati ya kampuni litakalofungua ofisi zake ni Google. Mkurugenzi Mtendaji wa Google amesema...
  8. M

    Kumbukumbu za Mfanyakazi: Pale Kikwete alipowashushia neema Wafanyakazi

    Wakati JK anaingia madarakani mwaka 2005, Kodi ya mapato kwa mfanyakszi ilikuwa ni asilimia 18, Yaani alikuwa akikatwa asilimia 18 ya mshahara wake. Lakini hadi kufikia mwaka 2015 serikali ya JK ilifanikiwa kuishusha kodi hiyo hadi asilimia 12 na hivyo kuleta unafuu mkubwa sana wa maisha kwa...
  9. C

    Hivi hawa wafanyakazi wa makampuni ya simu wanatuchukuliaje wateja wao?

    Kuna kampuni moja hivi ambayo si elewi elewi maana ishabadilishwa majina kibao na ujanja ujanja kibao ndani yake. Ipo pale yale mabasi yenye njia yake yanapo geukia. Sasa bana, juzi kati nilinunua bando la buku mbili shida yangu ilikuwa kupata MB's; cha ajabu sijui ndio kawaida yao basi bando...
  10. J

    Ukiwa bepari "uchwara" kifikra usijiunge na Chadema maana utalizwa kama mtoto, nenda chama cha Wakulima na Wafanyakazi CCM

    Nakupa tu angalizo kama wewe ni mgeni siasa. Ukiyasoma vizuri malengo ya Chadema na katiba yake huwezi kumkosoa Mbowe maana havunji taratibu yoyote ndani ya chama. Tatizo vijana wengi huvamia siasa za vyama bila kujua malengo ya chama husika. Kwa mfano CCM iliasisiwa ili kuwatumikia Wakulima...
  11. Corona: Sekta mbalimbali zinavyobadili sera za kiutendaji kulinda wafanyakazi na kupunguza maambukizi

    Mlipuko wa homa ya kirusi cha corona umelazimisha sekta nyingi kutazama upya namna zinavyoendesha kazi zake. Katika juhudi za kupunguza maambukizi na kulinda wafanyakazi sekta nyingi zimejaribu kutengeneza sera mpya kiutendaji. Nchini Tanzania, Mamlaka ya Usafiri wa Anga mwanzoni ilichukua...
  12. Mazava chawapa likizo ya kibabe ya miezi 3 isiyo na malipo wafanyakazi wake

    Wafanyakazi wa kiwanda cha kuzalisha Nguo cha Winds Group ltd maarufu kama Mazava kilichopo Msamvu, kinadaiwa kuwapa likizo ya miezi 3 wafanyakazi wake bila malipo. Wafanyakazi wamezuiwa kuingia kiwandani kuendelea na shughuli humo leo Mei, 15.
  13. Burundi yawapa masaa 72 maafisa watatu wa WHO kuondoka

    Serikali ya Jamuhuri ya Burundi imewapa mpaka tarehe 15 May wawakilishi wa shirika la afya duniani wawe wameondoka katika mipaka ya nchi hiyo. Wanaopaswa kuondoka ni: Dr Walter Kazadi Professor Daniel Tarzy, Dr Ruhana Mirindi Bisimwa Dr Jean Pierre Mulunda Govt of Burundi declares World Health...
  14. T

    Wanasiasa Vs Wafanyakazi

    Hapo zamani na pengine hata sasa jamii nyingi za Kiafrika watoto walikuwa wakizuiwa kula nyama ya ubongo - wanaopaswa kula ni watu wazima tu - yaani katika familia ni baba tu. Kwa kweli mpaka sasa naona ndivyo ilivyo sehemu nyingi - uhakika kabisa baadhi ya wazee kijijini kwangu Idukilo baada ya...
  15. T

    Mei Mosi imepita vizuri sana! Manyanyaso kwa wafanyakazi yataongezeka zaidi baada ya Uchaguzi!

    Hapo zamani na pengine hata sasa jamii nyingi za Kiafrika watoto walikuwa wakizuiwa kula nyama ya ubongo - wanaopaswa kula ni watu wazima tu - yaani katika familia ni baba tu. Kwa kweli mpaka sasa naona ndivyo ilivyo sehemu nyingi - uhakika kabisa baadhi ya wazee kijijini kwangu Idukilo baada ya...
  16. Freeman Mbowe atoa salamu za Mei Mosi kwa wafanyakazi wa Tanzania

  17. Dar: Wafanyakazi wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communication wakamatwa kwa kusambaza taarifa za uongo za Corona

    Jeshi la Polisi Kinondoni limesema limefanikiwa kuwakamata Wafanyakazi wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communication-Kitengo cha Matangazo kwa tuhuma za kutuma taarifa za uongo na uzushi kuhusu #COVID19 Limesema waliokamatwa ni Hidari Hakimu (27), Afisa Biashara kwenye Kampuni hiyo ambaye ni...
  18. Mei Mosi: Wafanyakazi wa Tanzania Tutafakari Kama Tunayosababu ya Kusherehekea

    Nakumbuka hata Rashid Kawawa alikuwa ni Secretary General wa Tanzania Federation of Labour wakati wa Ukoloni miaka ya mwisho mwisho kabla ya uhuru. Hata JK Nyerere alitumia platform ya Rashid Kawawa kwenye vyama vya wafanyakazi kuweza kuijenga TANU. Mkoloni alitambua haki za vyama vya...
  19. Hongera kwa wafanyakazi wote

    Salaam Wana jamvi, leo ni siku kuu ya wafanyakazi wote duniani. Ni siku ambayo wafanyakazi wakada mbalimbali hukutana pamoja na kupongezana kwa kazi nzuri wanazo fanya ili kuhakikisha maisha ya watu yanasonga. Tofauti na miaka yote wafanyakazi wetu hawatafanya sherehe kutokana na tishio la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…