wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuishi Kawe na kujua Siasa za Wafanyabiashara wa Kawe kubishana na Tajiri Mmoja tulijua tu ipo Siku hilo Soko litaungua kwa Kuunguzwa

    Pigia sana mstari hiyo Sentensi yangu niliyosema kuwa tulijua tu ipo Siku hilo Soko litaungua kwa Kuunguzwa Kimkakati.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila atoa Mil. 100 kuwasaidia Wafanyabiashara wa Kawe baada ya Moto

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amefika kwenye soko la Kawe ambalo limeteketea kwa moto jana usiku na kuahidi kuwapa wafanyabiashara Shilingi Mil. 100 kama sehemu ya kufidia sehemu ya hasara waliyoopata
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Siasa za mtandao huko Marekani nako sasa zimeshika kasi, wafanyabiashara wa mafuta wameitia mfukoni wizara ya nishati.

    Miradi ya nishati safi inapogwa rungu na vita kwa nguvu zote, Wachina wakina Xi Jinping watakuwa wanachekea chooni, wanekunua meno to😁. Waziri wao nishati anadaganya kwamba hata ukizungusha paneli za solar dunia yote utapata nishati kwa 20% ya mahitaji ya dunia wakati wanasayansi wote wanasema...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hii hali ya kuwa kuna waajiriwa wana maisha mazuri kuliko wafanyabiashara kibao ni kitu watu huwa hawataki kukubali ila ukweli hauwezi kubadilika.

    watanzania wengi wapo brainwashed kutetea biashara ndio njia pekee ya kutoboa na mifano lazima iwe ile ya kina MO na Bakhresa, Ni kweli biashara ndio sekta inayotajirisha zaidi lakini haimaanishi watu wenye ajira wana maisha mabaya. kuna waajiriwa wengi wana maisha mazuri ya uhakika kuzidi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Vibanda vya mbao (board) kwa wafanyabiashara biashara

    Vibanda vya mbao(board) tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nipeni kaz maboss zangu.. 0692477610 Bei hutegemea na ukubwa unaotaka boss inaanzia laki 8.. Milion 1 na laki 8 na Milion 2 na nusu
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara wa soko la Sabasaba Sumbawanga tunadhulumiwa na Katibu wa CCM Mufindi

    Nawakilisha kwa Uchungu Mkubwa sana ukiwa ndani ya moyo wangu kutokana na Dhulma tunayofanyiwa na Katibu wa CCM Mufindi bwana Clement Bakuli. Soko la Sabasaba lilizuka baada ya sisi wahanga tuliounguliwa na moto katika soko la Mandela mwaka 2016 kupewa nafasi tuanzishe soko lingine. Tulianza...
  7. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wafanyabiashara wadogo nimewaletea mkombozi wenu hapa

    Bei/Price TSH 14.7M Call +255 747 999 927 SUZUKI CARRY Year: 2006 Engine: 650Cc LOW MILEAGE Transmission: MANUAL Clean Interior In Good Condition Exchange Possible Fuel Efficient Cheap To Maintain Easy To Drive In Tight Streets Reliable For Small-Scale Business Deliveries Cargo Capacity...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ina uhuru na inatajirisha lakini watoto wetu tunawaombea mje kuajiriwa tu, stress za biashara kichwa chaweza lipuka

    Hatuwazungumzii wafanyabiashara wenye helikopta zao hao ni level nyingine, tunajizungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara ambao maisha yetu yamekuwa ni pirika pirika. kuna muda unaweza piga mshindo ila kuna muda soko likikugeukia utaimba, Kuamka alfajiri kurudi usiku daily labda ujipe ka off...
  9. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Kama wafanyabiashara wamekubali Je kuna nini tena kilichobaki?

    Mh, Rais Samia , Sisi wafanyabiashara tunasema hatuna deni na wewe. Hakika Mama anazidi kutufikia.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kama wafanyabiashara wenyewe ndiyo hawa walanguzi wa nchi basi JPM alikuwa sahihi kutwaa pesa zao kibabe zikasaidie wananchi

    Kikao cha juzi cha walanguzi wa nchi kimetuthibitishia kitu kimoja. Sasa hivi tuna mtu aliyetayari kuuza Ikulu yetu, wakati hapo nyuma tulikuwa na Rais aliyeamua kutwaa pesa za wezi na walanguzi kwa ajili ya maslahi ya wananchi. Hawa Walanguzi wanatoa mabilioni ili wapate nini, ili walipwe...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tujiulize ni kwanini wafanyabiashara wanatumia nguvu kumpinga Polepole

    Tujiulize ni kwanini wafanyabiashara wanatumia nguvu kumpinga Polepole. Je wameona nini zaidi ya makada wengine, Je wanaogopa nini? Ukweli ni kwamba wanamjibu Polepole kwasababu wenyewe kwa sasa ndiyo wenye chama kuanzia kutoa pesa na kufanya maamuzi. wagombea sasa ni vibaraka wao tu. Hivi...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Wafanyabiashara zamani waliichangia CCM kisirisiri kwa hofu ya kashfa zao kuibuliwa Bungeni

    Zitto Kabwe kupitia mtandao wa X, amesema kuwa baada ya CCM kuua bunge 2020 wafanyabiashara sasa hawajifichi tena kuchangia chama hicho hadharani tofauti na zamani ambapo bunge lilikuwa nguvu hivyo walilazimika kuvichangia vyama vyote kisirisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao. ---- CCM...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Najaribu kutafuta ujumbe halisi wa michango ya wafanyabiashara kwa ajili ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu

    Kuombaomba huwa mchakato wenye kumuondolea heshima yule muombaji wa misaada. Nilikuwa namsikiliza Makamu wa Rais Dr Mpango akiongelea namna utu wa kiongozi wa nchi maskini unavyodhalilika katika meza ya mkutano kati ya mawaziri wa kutoka mataifa ya dunia ya tatu na wale wa mataifa ya Ulaya na...
  14. tpaul

    JamiiForums Tanzania Jinsi wafanyabiashara watakavyorejesha fedha walizoichangia CCM

    Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Ukweli ni kwamba There is no free lunch in Africa. Kwa kuzingatia hili, hebu tujiulize hawa wafanyabiashara walioichangia CCM mabilioni ya pesa kwa mbwembwe na hadharani watarejeshaje fedha zao walizochanga? Tukumbuke kwamba hawa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wanawekeza CCM malipo tujajua yatakuwa kodi

    Wafanyabiashara wanawekeza CCM malipo tujajua yatakuwa wapi? Kodi za TRA Kukwepwa, usalama kuwaogopa na kukwepa kodi kutawasaidia bei ya vitu vyao kuwa chini na kuwafanya wapate pesa zaidi
  16. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Leo ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo

    Leo hii saa 11 jioni itaendeshwa harambee kubwa kuliko. Hii ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo. Siku kama hii kwa wafanyabiashara huwa hawapo tayari kuipoteza hata kidogo katika maisha yao. Hapa namaanisha wafanyabiashara kweli wale madon...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara takribani 90% wana maisha magumu. Kijana usidanganyike na mafanikio ya wachache, Business is not for everyone!

    Hii ni tahadhari kwa vijana kuhusu uhalisia wa biashara, si kuwakatisha tamaa wala kuwaambia waajiriwe. Biashara ni njia nzuri, imetajirisha watu lakini si hadithi ya kupendeza kama inavyochorwa mitandaoni. Biashara ni vita, inahitaji akili, mikakati madhubuti, uwezo wa kujifunza kila siku...
  18. Juma Wage

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Kenya Wakanusha Kunyanyaswa Tanzania

    Katika mazingira ambako mjadala unaendelea kuhusu masharti mapya yanayowahusu wafanyabiashara wa kigeni nchini Tanzania, baadhi ya wafanyabiashara kutoka Kenya wameeleza kuwa wanaendelea na shughuli zao bila bugudha wala usumbufu kutoka kwa mamlaka husika. Mmoja wa wafanyabiashara hao...
  19. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyabiashara Busega walalamikia kuchangishwa kwa shuruti mchango wa mwenge

    Wafanyabiashara katika Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, wamelalamikia kile walichokieleza kuwa ni michango ya lazima kwa ajili ya maandalizi ya Mwenge wa Uhuru, wakidai kuwa wanatozwa fedha kupitia maelekezo kutoka kwa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya bila mashauriano wala ridhaa yao. Wakizungumza kwa...
  20. ContentCreator

    JamiiForums Tanzania Biashara hizi zimezuiwa kufanywa na wafanyabiashara wa kigeni

    Jana Waziri wa Viwanda na Biashara ametunga amri inayozuia wageni kutoka mataifa ya kigeni kufanya baadhi ya biashara kama zilivyoainishwa kwenye amri hiyo. Amri hiyo imetungwa kupitia kifungu Cha 14A(2) Cha Sheria ya Leseni za Biashara yaani Business Licencing (Prohibition of Business...
Back
Top Bottom