Mungu ni mwema. Twende China tulete vyombo vya nyumbani na mapazia. Mchongo mzuri
FACT: SIMPLE:- UKITAKA KUJUA MCHONGO GANI ,PATA MAJINA YA YA WAMILIKI
Video
Habari. Mimi ni mfanyabiashara wa salon ya kike katika Manispaa ya Morogoro, salon yangu imefungwabkwa wiki tatu sasa na makufuri ya Manispaa kwa kosa la kutolipia leseni.
Nilienda ofisini kwao wiki iliyopita na nilipewa control number za malipo ya jumla ya 150,000 (Faini na leseni) lakini...
Anonymous
Thread
biashara
kulipa
manispaa
manispaa ya morogoro
morogoro
wafanyabiashara
wiki
yako
Wafanyabiashara wadogo ambao wanapanga kwenye nyumba za mitaani hutozwa Withholding Tax yaani kodi ya zuio! Hapa anayezuiwa ni nani! Hakuna jibu isipokuwa imetengenezwa kuiongezea mapato serikali ambayo hayana haki.
Mimi mpangaji natozwa kodi ya jengo kisa ni mpangaji japo mwenye nyumba yupo...
Biashara siku zote ina ushindani
Mfanyabiashara haupaswi kulalamika ( Musukumu+ Joshua Nasari kuwa jirani amefungua Duka ataathiri mauzo yako..
Uwanja wa ndege upo kwenye CCM manifesto 2025-2030.. as the Country revenue strategy.. sasa Mbunge wa Chama Tawala unapingana na Ilani yako ya Chama...
Tanzania kikatiba ni nchi ya kijamaa.
Lipo kosa kubwa lililofanyika kuruhusu Wafanyabiashara,mabepari kuingia kwenye siasa na hivyo kufifisha nguvu ya wakulima na wafanyakazi. Hili ni kosa linalopaswa kurekebishwa.
Kosa hili linafanana na kosa lingine ambalo tunaona madhara yake...yaani...
Kosa kubwa tulilofanya ni kuruhusu Wafanyabiashara kuingia kwenye siasa! Wakati wa Nyerere kulikuwa hakuna kitu kama hicho! Ukishamruhusu Mfanyabiashara kuingia kwenye Siasa kuna muda atafanya maamuzi ya kumnufaisha yeye” - Professor Assad
Profesa Assad amezungumza hayo kwenye kipindi Jahaza...
Hapa nazungumzia wafanyabiashara wadogo na wa kati ambao walipoteza mitaji yao.
Mtu alikuwa na mtaji kama wa mil nane au kumi na sababu ya ufisadi wa CCM vurugu zikatokea.
Inakuwaje mnajitengea tril moja kujilipa kwa ajili ya safari lakini mmesahau kusaidia watu walioathirika na ufisadi wenu.
Visa vya nchi za Ulaya ngumu kupata
Wawekezaji ndio wale wakoloni
Wamisionari ndio hawa wanasema tujifunze lugha zao kama kiarabu, kichina na kirusi
Manamba ndio sisi tunafanya kazi viwanda vyao
Wapelelezi ndio hawa mabalozi sasa
Viongozi wetu ndio kupewa shahada za heshima
https://youtu.be/GRTsSX1s-pA?si=zlEpESQVgC7v_IkJ
NA MATUKIO DAIMA MEDIA,
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imesema imejipanga kuanza msako mkali dhidi ya matumizi holela ya vipaza sauti na muziki katika maeneo ya biashara.
Kuwa hatua hiyo inakuja kufuatia malalamiko ya wananchi kuhusu kelele...
Rostam na wafanyabiashara wengine kaeni mbali na CCM ! mtafilisiwa. Msifikirie kuficha pesa uarabuni inasaidia wale ni vibaraka wa USA karibu wote. Mkihusishwa na CCM na majanga ya mauaji hakuna atakae taka kufanya biashara na ninyi
habar
Kwa wale wote ambào ni wafanyabiashara Wanaohitaji pesa Kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya ki biashara, naomba kuwatangazoa kuwa kuna mikopo ya pesa inayoanzia milioni moja mpaka bilioni Moja.
mdhamana ni KADI ya gari, hti ya nyumba au hati ya Kiwanja Toka serikalini.
RIBA ni asilimia...
Wakili Peter Madeleka, tayari amefika kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Ardhi ambapo kesi inayowahusu waliokuwa wafanyabiashara 'wapangaji' kwenye jengo la ghorofa lililoporomo Kariakoo, Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka 2024 inaanza kusikilizwa leo, Jumatatu Mei...
Je, unatafuta namna ya kuomba zabuni za serikali na taasisi mbalimbali kupitia mfumo wa NeST bila makosa? Usipoteze fursa ya kushinda tender kwa sababu ya makosa madogo ya kimfumo au upungufu wa nyaraka.
Sisi tunakuhakikishia huduma bora ya:
Kuandaa Documents Zote: Tunasaidie kuandaa nyaraka...
Kuna mwamba huko Tiktok anatoa vioo vya simu kwa bei chee, Simu kama samsung A05 ni 16k tu ,
Ila kuna ukicheki comments wafanyabiashara wamekasirika, anawaharibia biashara,
sasa kosa lake lipi.
Bei haionyeshi ubora tena, feki na original vinauzwa sawa sokoni
Zamani ilikuwa rahisi kutambua biashara ya bidhaa feki. Wafanyabiashara walikuwa wanauza vitu hivyo kwa bei ya chini kabisa, na mnunuzi alikuwa anajua kabisa kwamba anachonunua si original. Ilikuwa kama makubaliano ya kimya kimya...
Hii mambo ya infrastructure jamani imezidi sasa . Wakazi wa Eastleigh especially along Second Avenue extension wanapitia tough times sana. Barabara imeharibika vibaya mashimo, matope, na flood kila mahali, especially saa hizi za mvua
Watu wa transport kama bodaboda na mkokoteni wanasema kazi...
Namtoa Lissu pekee kapitia Mengi labda kafungwa na hasira na wanashindwa kuja na ajenda zenye kufanya chama kibebe maono ya taifa.
Ukimya wa chadema kuelekea Mei mosi. Siku ya wafanyakazi. Naona jinsi akina heche wanavyotumika.
Mabadiliko yote duniani kuanzia ufaransa, Uingereza, marekani na...
Habari za leo waungwana !.
Naomba kuwauliza; kwa hili jua letu hapa Tanzania hasa Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Lindi, Mwanza, Singida, Shinyanga na Dodoma hatuwezi kuwa na kiwanda cha vyombo vya moto vitakavyotoa huduma mikoa hiyo; ambavyo vitakuwa vinajiendesha kwa Sola !?..
NB
1. Mabasi ya...
Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi za kibiashara, hasa kwa wafanyabiashara wadogo wanaotaka kuanza au kukuza biashara zao. Ukweli ni kwamba, kuna aina fulani za biashara ambazo zina mzunguko mkubwa wa fedha (high turnover) — yaani bidhaa au huduma zinauzwa kwa kasi kila siku.
Kama unatafuta...
Unamwambia MTU Bei ya KITU flani 40000 akikudeshi kama anauliza mara ya pili unapandisha unahisi hakusikia mwanzo ?
Jitahidini manpotamla Bei MUWE na misimamo.
Mwingine akasema Bei ya kutengeneza KITU ni kiasi flani alipo maliza kikafanya kazi anapandisha Bei anaanza kubembeleza nakufosi fosi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.