wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Moseskyey

    JamiiForums Tanzania Je wajua faida(umuhimu) wa website katika Biashara yako

    Hello, Guys najua wafanya biashara wengi sana hawana website na wanafikiri kuwa kwao kuwa na website yake (Online Store) kama haina umuhimu au kuona kuwa kumiliki website mpk uwe na biashara kubwa sana, sasa leo nataka niwape faida zakuwa na website yako (Online Store) 1. Kuaminika Wateja...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwadhibiti wafanyakazi waizi kwenye biashara yako

    Ili kujilinda Dhidi ya Wafanyakazi Wasioaminika fanya yafuatayo: 1. Fanya Uajiri wa Kiuchunguzi (Due Diligence) Usikurupuke kumpa mtu kazi kwa sababu kaonekana mpole au amesema ana shida. Fanya yafuatayo kabla hujamkabidhi chochote: Pata taarifa zake kamili – jina halisi, namba ya simu...
  3. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nafundisha kusponsa matangazo yaruke Facebook na Instagram yawafikie watu wengi sana kwa wafanyabiashara

    Kama unataka kujifunza kusponsa matangazo yaruke Facebook na Instagram yawafikie watu weng saana kama wewe ni mfanyabiashara utanichek inbox nikuunge kwenye group hilo la watu wenye nia hiyo tu 0743 257 669 Nichek whatsapp
  4. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Dar es Salaam nipeni siri ya kuuza nguo za ndani kwenye fremu ya milioni moja au zaidi kwa mwezi, je mnawezaje kulipa kodi?

    Wafanyabiashara wa Dar es Salaam nipeni siri ya kuuza nguo za ndani kwenye fremu ya milioni moja kwa mwezi, je mnawezaje kulipa kodi? Hili jambo linanitatiza sana sipati majibu, wafanyabiashara wengi wa Dar hasa Sinza wanakodi fremu za bei ghali sana lakini bidhaa wanazouza hazilingani na kodi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa wafanyabiashara wadogo, wakati na wakubwa

    Habari Tunajihusisha na utoaji wa mkopo Kwa wafanyabiashara kuanzia million Moja Hadi SHILING MILLION 40 Muda wa kurejesha MIKOPO ni miezi mitatu Hadi miaka Tano lakini Kwa mkopo unaoishia Milioni Tano muda wa kurejesha mkopo ni miezi 12 means maximum F Riba ni asilimia 3.5 Kwa kila mwezi...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wafanyabiashara Dodoma wanauza mafuta ya Korie kwa kwa kuwaadaa wateja kuwa wanauza Alizeti

    Nilienda kununua mafuta ya kura na nilihitaji mafuta ya Alizeti maeneo ya Sabasaba, baada ya kufika kwenye hilo duka la mafuta na lina mchanganyiko wa bidhaa za chakula, alitoka msichana na kuniuliza ninahitaji nini? Nilimueleza nahitaji mafuta ya Alizeti akanitolea moja ya dumu la lita tatu...
  7. youngkato

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabishara wanaotambulika wanapata wateja wengi na tenda nyingi kuliko ambao hawajulikani?

    Jibu ni Moja tu! wamesajili majina ya biashara zao Ndio, kuna ulazima mkubwa wa kusajili jina la biashara na faida zake ni nyingi kuliko watu wanavyofikiria. How👇👇 Kusajili jina unapata uhalali wa Kisheria. Unaposajili jina lako kupitia BRELA, Biashara yako inatambua rasmi. Inakulinda...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwambieni BASHE, Hasara ni kubwa Kwa Wafanyabiashara wa Bidhaa zinazoharibika mapema, Serikali iwalipe Fidia Hawa wafanyabiashara!!

    Huwezi kulala usiku, Asubuhi utoe zuio kama hilo, Bila kujua ni Bidhaa gan ' perishable goods ' ziko njiani kuelekea Nchi Jirani , na Zuio kama lake litagharimu Hasara kiasi gani. Pia soma: Bashe apiga marufuku mazao ya kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini kuingizwa nchini BASHE alikua na...
  9. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Tunaelekea Wapi? Umuhimu wa Crypto Kama Njia ya Malipo kwa Biashara Ndogo Tanzania

    Tumekuwa tukisikia habari au taarifa nyingi sana kuhusu cryptocurrency na blockchain. Neno Bitcoin limekuwa likitawala kwenye vinywa vya wengi, hususan vijana na wafuatiliaji wa teknolojia, lakini hadi sasa, bado ni watu wachache sana walioelewa kikamilifu maana na matumizi halisi ya teknolojia...
  10. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Short Notice ya Malawi yaleta hasara kubwa kwa wafanyabiashara Tanzania

    Mfanyabiashara ameshatoa mzigo shambani ama yuko mpakani au yuko njiani kisha anakutana na notice ya kutoingia Malawi Kwanini wasitoe notice hata ya wiki mbili au mwezi mmoja? Waziri wetu Hussein Bashe ametoa notice ya wiki moja kwa wafanyabiashara wa Malawi na Africa Kusini kuwa...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara acheni tamaa ya uchumi wa fremu na uchuuzi kila mahali

    Tamaa za Wafanyabiashara kufikiria kila mahali Panamanian kuwa na fremu na kufanyia uchuuzi ni janga kwa taifa hili na ndio imesababisha hata Dar es Salaam kukosa open spaces za umma. Shule sio kitu cha kupunguzwa bali kuongezwa kila mahali, ni bora mngependekeza makanisa na misikiti kupunguzwa...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video, Bashe: Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao

    Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Serikali ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao. Kuvumilia hili kama Serikali inayohangaika na sekta ya kilimo ni ngumu. Nafahamu kumekua na maoni mbali mbali lakini naomba niendelee kusisitiza kuwa hadi Jumatano hii inayokuja...
  13. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara mnafanyaje kudumu na wateja kwa muda mrefu bila kuletewa Mazoea ya kukopa?

    Yaani unakuta mteja mlianza vizuri biashara lakini kadiri siku zinavyokwenda anaanza kukuzoea mara achukue mzigo aseme hela baadae, mara kesho mara baada ya wiki hapo hajakwambia anakopa Ndo mwanzo wa kumpoteza maana taratibu anaanza kutolipa au kusumbua kulipa Nyie wenzangu mnafanyaje? Maana...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Asilimia 75 Ya Wafanyabiashara Wanatumia Njia Hizi Kupata Mitaji Ya Kampuni Zao

    Kusajili biashara ni suala moja, ku finance hio biashara ni suala lingine kabisa. Swali la muhimu hapa ni namna gani wafanya biashara hu finance biashara zao? Kwenye Thread hii nimekuorodheshea baadhi ya njia hizo; 1. Hisa Wafanyabiashara wanaofungus Kampuni LLC huuza hisa za Kampuni husika...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Giza lazidi kutanda sakata la soko la mbuyuni, moshi manispaa,soko la bil. 2, baada ya wafanyabiashara kutakiwa kujigharamia vizimba kwa tsh 150,000/

    Hali ya Uchungu imerejea kwa wafanyabiashara wa soko la Mbuyuni ambao walipata hasara ya kuunguliwa na kupoteza mali zao zote katika ajali ya moto ulioteketeza soko zima la mbuyuni na kuwaacha wafanyabiashara kwenye madeni na vifo kwa baadhi ya wafanyabiashara hao. Katika janga hilo serikali...
  16. UHURUWANGU

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara, mnaendelea kutafuta pesa lakini mfumo unawagandamiza? Ukitulia leo, kesho biashara yako itateketea!

    Katika jamii zetu, kuna dhana potofu kwamba "siasa si yetu"—kwamba wale waliopo kwenye biashara au waliojiajiri hawaathiriki moja kwa moja na mwelekeo wa uongozi wa nchi. Wafanyabiashara wengi hujikita katika harakati za kutafuta kipato wakiamini kuwa siasa ni jambo la wanasiasa pekee, na hivyo...
  17. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania CHANGAMOTO ZA KIUHASIBU NA KODI KWA WAFANYABIASHARA WANAOFANYA BIASHARA KWA MTINDO WA KUAGIZISHA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI

    Changamoto kubwa kwenye eneo la uhasibu na kodi kwa wanafanyabiashara wengi hasa wanaotumia mtindo kuagizisha mizigo mbalimbali kutoka nje ya nchi kwa kutumia Fedha za wateja kufanikisha au ku-facilitate biashara husika ,changamoto hizi hupelekea biashara au wafanyabiashara wengi wa mtindo tajwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini imezoeleka kuona mtu alietokea maisha yenye hali nzuri (wa kishua) wazazi wake ni waajiriwa, kwanini sio wazazi wafanyabiashara ?

    Kwanini imezoeleka kukadiria mu flani kama kwao wana maisha mazuri basi wazazi wameajiriwa, kwanini isiwe imezoeleka kukadiria wazazi ni wafanyabiashara ? Yusufu kwao wana maisha - mzee ni Engineer, Mama ni Muhasibu Abdallah kwao wa kishua - Baba mkurugenzi, Mama ni mhadhiri pale IFM Jacky...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Heri Mchina anaepunguza ukali wa maisha kuliko mzawa anaetupiga, usumbufu wenu unatufanya tuzidi kujaa kwao, Mchina haendi popote, HERE TO STAY !

    Acheni kujibanza kwenye kisingizio cha uzawa, wateja wanachotaka ni kupunguza ukali wa maisha. Tunachotaka kukiona ni ladha ya ushindani wa kibiashara, haiwezekani kitu ya tsh elf 5 unauziwa mpaka elf 30, mchina anakuja kuuza kwa bei rahisi mnaanza kulia Uzalendo, ni uzalendo gani huo wa...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Anthony Mtaka: Watumishi wa Serikali mkianza kuingiza kipato nje ya mshahara, mtaheshimu Wafanyabiashara

    Mkuu wa mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ameonya tabia ya watumishi wa umma wanaopanga ushuru mkubwa wakiwa wamekaa maofisini bila kujua shida wanayopata wawekezaji na kisha kumtaka kila mtumishi awekeze ama afanye biashara ili anapopanga ushuru ajue shida za walipa kodi kwa uhalisia . Mtaka...
Back
Top Bottom