wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Hizi mbwembwe za wafanyabiashara wa madini Geita ziliwahi kufanywa mererani miaka ya 90!

    Naona kuna majamaa ya huko Geita ,Kahama na Katoro yanasumbua mji sana kwa zawadi ya sendoff ya bilioni moja na ushee.
  2. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Ubungo wachangishwa hela ya ulizi wa maandamano 7 7

  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania RPCs, OCDs, maRCs na maDCs wametumia uwepo wa maandamano ya 77 kutapeli wafanyabiashara mamilioni ya pesa eti ili biashara zao zilindwe 24hrs!

    Anaandika Hilda Newtown kutoka ukurasa wake wa X-TWITTER... ================== Baada ya Gen-Z kutangaza Maandamano ya Amani ya 7/7 #77Tunatoka. Sasa maandamano haya kwa MaRPC na Wakuu wa Wilaya nchini, wao wakaigeuza kuwa fursa ya kutapeli Wafanyabiasha wenye Maduka pamoja na wamiliki wa Petrol...
  4. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Maandamano yanaweza yasitokee,ila wafanyabiashara wengi watapata hasara

    Nipo viwanja vya sabasaba hapa Dar,polisi wametanda wengi sana nje na magari yao na majibwa ndani 95% nawaona ni wahudumu tu ,kupita getini unapekuliwa sana hasa ukiwa kijana kama mm sema mimi nimevaa kwa code ngumu na sina chochote. Bado sijaona mobilization kwa sasa mpaka nipate uhakika wa...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TRA wawe na duka lao la mfano kwa Wafanyabiashara

    Video: ALAMA GLOBAL
  6. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mapazia na vyomno vya nyumbani inalipa. Angalia nyumba za wafanyabiashara hao

    Mungu ni mwema. Twende China tulete vyombo vya nyumbani na mapazia. Mchongo mzuri FACT: SIMPLE:- UKITAKA KUJUA MCHONGO GANI ,PATA MAJINA YA YA WAMILIKI Video
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara tunafungiwa biashara zetu na Manispaa ya Morogoro, ukichichelewa kulipa inaongezeka 50,000 kila wiki na huku wamefunga biashara yako

    Habari. Mimi ni mfanyabiashara wa salon ya kike katika Manispaa ya Morogoro, salon yangu imefungwabkwa wiki tatu sasa na makufuri ya Manispaa kwa kosa la kutolipia leseni. Nilienda ofisini kwao wiki iliyopita na nilipewa control number za malipo ya jumla ya 150,000 (Faini na leseni) lakini...
  8. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania TRA kodi hii ni dhuluma kwa wafanyabiashara, sheria iiondoe ilipwe na wenye nyumba

    Wafanyabiashara wadogo ambao wanapanga kwenye nyumba za mitaani hutozwa Withholding Tax yaani kodi ya zuio! Hapa anayezuiwa ni nani! Hakuna jibu isipokuwa imetengenezwa kuiongezea mapato serikali ambayo hayana haki. Mimi mpangaji natozwa kodi ya jengo kisa ni mpangaji japo mwenye nyumba yupo...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Serengeti ni sawa na Mfanyabiashara kushindwa kusoma alama za Nyakati (Business always its Uncertainty)

    Biashara siku zote ina ushindani Mfanyabiashara haupaswi kulalamika ( Musukumu+ Joshua Nasari kuwa jirani amefungua Duka ataathiri mauzo yako.. Uwanja wa ndege upo kwenye CCM manifesto 2025-2030.. as the Country revenue strategy.. sasa Mbunge wa Chama Tawala unapingana na Ilani yako ya Chama...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Prof Asad-Ni kosa kuruhusu wafanyabiashara kuiteka siasa!

    Tanzania kikatiba ni nchi ya kijamaa. Lipo kosa kubwa lililofanyika kuruhusu Wafanyabiashara,mabepari kuingia kwenye siasa na hivyo kufifisha nguvu ya wakulima na wafanyakazi. Hili ni kosa linalopaswa kurekebishwa. Kosa hili linafanana na kosa lingine ambalo tunaona madhara yake...yaani...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu Assad: Kosa kubwa tulilofanya ni kuruhusu Wafanyabiashara kuingia kwenye siasa!

    Kosa kubwa tulilofanya ni kuruhusu Wafanyabiashara kuingia kwenye siasa! Wakati wa Nyerere kulikuwa hakuna kitu kama hicho! Ukishamruhusu Mfanyabiashara kuingia kwenye Siasa kuna muda atafanya maamuzi ya kumnufaisha yeye” - Professor Assad Profesa Assad amezungumza hayo kwenye kipindi Jahaza...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama CCM ni chama kinachojali raia wanyonge kwa nini kisitenge hata bil 300 kufidia wafanyabiashara waliothirika na vurugu za Oktoba 29?

    Hapa nazungumzia wafanyabiashara wadogo na wa kati ambao walipoteza mitaji yao. Mtu alikuwa na mtaji kama wa mil nane au kumi na sababu ya ufisadi wa CCM vurugu zikatokea. Inakuwaje mnajitengea tril moja kujilipa kwa ajili ya safari lakini mmesahau kusaidia watu walioathirika na ufisadi wenu.
  13. idiomer

    JamiiForums Tanzania Utumwa bado upo au umeisha?

    Visa vya nchi za Ulaya ngumu kupata Wawekezaji ndio wale wakoloni Wamisionari ndio hawa wanasema tujifunze lugha zao kama kiarabu, kichina na kirusi Manamba ndio sisi tunafanya kazi viwanda vyao Wapelelezi ndio hawa mabalozi sasa Viongozi wetu ndio kupewa shahada za heshima
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kibano kinakuja kwa wafanyabiashara Manispaa ya Iringa wanaotumia vipaza sauti na spika za miziki kutangaza bila vibali

    https://youtu.be/GRTsSX1s-pA?si=zlEpESQVgC7v_IkJ NA MATUKIO DAIMA MEDIA, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imesema imejipanga kuanza msako mkali dhidi ya matumizi holela ya vipaza sauti na muziki katika maeneo ya biashara. Kuwa hatua hiyo inakuja kufuatia malalamiko ya wananchi kuhusu kelele...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rostam na wafanyabiashara wengine kaeni mbali na CCM ! mtafilisiwa

    Rostam na wafanyabiashara wengine kaeni mbali na CCM ! mtafilisiwa. Msifikirie kuficha pesa uarabuni inasaidia wale ni vibaraka wa USA karibu wote. Mkihusishwa na CCM na majanga ya mauaji hakuna atakae taka kufanya biashara na ninyi
  16. M

    JamiiForums Tanzania mikopo Kwa wafanyabiashara wakubwa

    habar Kwa wale wote ambào ni wafanyabiashara Wanaohitaji pesa Kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya ki biashara, naomba kuwatangazoa kuwa kuna mikopo ya pesa inayoanzia milioni moja mpaka bilioni Moja. mdhamana ni KADI ya gari, hti ya nyumba au hati ya Kiwanja Toka serikalini. RIBA ni asilimia...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka yupo Mahakamani kwa ajili ya kesi ya wafanyabiashara 'wapangaji' katika jengo la ghorofa lililoporomo Kariakoo

    Wakili Peter Madeleka, tayari amefika kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Ardhi ambapo kesi inayowahusu waliokuwa wafanyabiashara 'wapangaji' kwenye jengo la ghorofa lililoporomo Kariakoo, Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka 2024 inaanza kusikilizwa leo, Jumatatu Mei...
  18. JOH CARLOS

    JamiiForums Tanzania Habari kwa wafanyabiashara na ma-contractors!

    Je, unatafuta namna ya kuomba zabuni za serikali na taasisi mbalimbali kupitia mfumo wa NeST bila makosa? Usipoteze fursa ya kushinda tender kwa sababu ya makosa madogo ya kimfumo au upungufu wa nyaraka. Sisi tunakuhakikishia huduma bora ya: Kuandaa Documents Zote: Tunasaidie kuandaa nyaraka...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mwamba huko TikTok amebomoa bei za vioo vya simu, wafanyabiashara wamemkasirikia, wateja wanamfurahia, kosa lake ni lipi?

    Kuna mwamba huko Tiktok anatoa vioo vya simu kwa bei chee, Simu kama samsung A05 ni 16k tu , Ila kuna ukicheki comments wafanyabiashara wamekasirika, anawaharibia biashara, sasa kosa lake lipi.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Bei sio kigezo tena cha kutambua bidhaa original, Bidhaa feki zimejaa sokoni na tunapigwa kwa bei original

    Bei haionyeshi ubora tena, feki na original vinauzwa sawa sokoni Zamani ilikuwa rahisi kutambua biashara ya bidhaa feki. Wafanyabiashara walikuwa wanauza vitu hivyo kwa bei ya chini kabisa, na mnunuzi alikuwa anajua kabisa kwamba anachonunua si original. Ilikuwa kama makubaliano ya kimya kimya...
Back
Top Bottom