Leo nimekuta vibanda vyote huko stendi ya daladala Kawe kwa Mwamposa vilibomolewa. Baada ya vilio vya muda mrefu vya wakazi na wapanda daladala, serikali inaanza kuchukua hatua za kuboresha mazingira ya stendi au ni kusimamia kwa kanuni za eneo tu?
Natumaini sana hatimaye maboresho yatafanywa...
1. Kwanza ni-declare Interest, Mi ni moja ya wanufaika wa Internet. Nimejiajiri kupitia internet na cycle yangu kubwa ni hawa influencers, freelancers, content creators, advertisers, etc.
2. Pili lazima tukubali Kodi ndio inaendesha uchumi wa nchi yoyote Ile duniani.
Huwezi endesha nchi bila...
Sasa najiuliza maswali haya
1.inamaana mtu kama una duka lako na umelipa TRA ukafungua akaunti mtandaoni unalipia ya nini tena?
2.Kwenye zile ads/matangazo zile VAT niza nini?
3.Naponunua bando bado wanakata kodi
4.Vijana hatuna kazi tumeamua kuwinga biashara mtandaoni hatuna uwezo kulipa...
Wakuu
Kama wewe ni mfanyabiashara jiandae kwa kuingia gharama hizi katika uendeshaji(zote ni za serikali ispokua # moja)
1. Kodi ya Frame – Malipo ya pango kwa mwenye jengo la biashara.
2. Kodi ya TRA – Kodi ya mapato au VAT inayotozwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania.
3. Leseni ya Biashara –...
Wasaalam wapendwa viongozi wa wafanyabiashara ndogondogo makundi yote.
Narejea vikao vyetu na viongozi wenu kuhusu ajenda zinazohusu maendeleo ya biashara zenu kuwa: leo Tarehe 22 Julai, 2025 saa 8 mchana kutakuwa na mkutano wa kidigitali (zoom) nchi nzima mikoa yote yaani kati ya Wizara ya...
Watu wengi hukosea kwa kuamini kuwa mtaji wa fedha ndio msingi wa kila biashara. Ukweli ni kwamba, biashara huanza na wazo bora, si pesa. Wazo sahihi lina uwezo wa kukuvutia wadau, kukuletea mitaji, na hata kuanza bila senti mkononi.
Wengi wamekopa ili waanze biashara, lakini kwa kukosa...
Kiburi cha mafanikio ni adui wa maendeleo ya muda mrefu. Ukishindwa, shuka. Jifunze. Jenga tena. Kwa unyenyekevu.
Wafanyabiashara wengi mitaji ikishuka wanataka kukopa kwasababu wanataka wawe na hali zile wakiwa peak au zaidi,
Mfanyabiashara aleizoea kufunga hesabu kiasi flani kila siku akiona...
Mfanyabiashara Rostam Aziz kwaniaba ya Sekta binafsi nchini Tanzania Alhamisi Julai 17, 2025, amebainisha kuwa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050 ni Dira ya wananchi, akimshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa Tanzania kwa kusimamia na kuufanya mchakato wa uandaaji wa Dira 2050 kuwa wa...
Ndugu zangu wafanyabiashara wadogo na wa kati.
Katika pitapita zangu za mara kwa mara nchini China nchi ambayo ni epicenter ya ubunifu wa kiuchumi na biashara nimefanya research nyingi sana, nikiwa na nia ya kujifunza, kuchambua na kutathmini mbinu zao za mafanikio.
Nacho nimejifunza ni hiki...
Habari wanajamii
Kuna utitiri wa maduka mengi sana hapa bongo, mbaya zaidi mengi ya haya maduka yanauza bidhaa nyingi ambazo hazina manufaa kwa taifa!
Kinachoniumiza ni kuona kutokuwepo wa Ubinadamu kila nikilinganisha thamani ya kinachouzwa na uzuri wa duka. Hii kwa wale wanauza Pombe kali...
Katika biashara, si kila anayepita anaweza kuwa mteja wako. Kama hujawahi kukaa chini na kufahamu ni nani hasa anayehitaji bidhaa au huduma yako unaendesha biashara kwa kubahatisha. Na bahati mbaya haijawahi kuwa mkakati wa mafanikio.
1. Fahamu Mahitaji ya Wateja Wako
Kabla hujatangaza au kuuza...
Habari
Pasipo kupoteza muda naomba niende Moja Kwa moja kwenye mada,
Ukiwa wewe mfanyabiashara na unahitaji kununua mzigo Toka nje ya nchi lakini kiasi Cha pesa hakitosh au mzigo wako umekwama bandarini sababu umeshindwa kulipia ushuru basi karibu ofisin kwetu tukusaidi,e
MIKOPO yetu huanzia...
Katika upambanaji wa kutafuta kazi tender kutoka makampuni makubwa binafsi au taasisi za Serikali ni kawaida jamaa wanaotoa kazi kuomba 10% ya thamani ya kazi.
Mfano kazi ya 10M wataomba 1M na kazi ya 100M wataomba 10M lasivyo hupati kazi. Sasa tatizo linakuja wakati unapofanya kazi!! Kazi ya...
Habari
Naomba nianze kutoa ufafanuzi yakinifu kuhusiana na mada niliyoleta hapo juu.
Ulimwengu wa biashara hujawaji kuwa mwepesi mara nyingi huwa na mapito ya kupanda na kushika hususani hasara inapokuwa kubwa kwenye mzunguko wa biashara yako na hivyo kujikuta ukilazimika kuongezapesa nyingine...
Wafanyabiashara wadogo katika mji mdogo wa Langangabilili, wilayani Itilima, mkoani Simiyu, wameibua kilio kikubwa wakidai kutapeliwa na askari wa taasisi tatu za uhifadhi za serikali waliokuwa wakitekeleza operesheni ya kutokomeza fisi kwa zaidi ya miezi mitatu mfululizo katika eneo hilo...
Kuna watu wanauza bidhaa Instagram,lakini kumbe ni matapeli na wezi. Nashauri kuwa makini sana na watu wote wanaofanya biashara online. Mimi binafsi nimetapeliwa na Dada anajiita queen Zipporah IG.
Anonymous
Thread
bidhaa
instagram
mitandaoni
mtandaoni
wafanyabiashara
wezi
wizi
wizi wa mtandaoni
Mbunge wa Sumve, Kasalali Mageni, ameibua hoja kuhusu ongezeko la wafanyabiashara kutoka mataifa ya Asia, hususan China, akisema kuwa pamoja na wingi wao, wamekuwa na tabia ya kukwepa kodi.
Akichangia makadirio ya bajeti ya Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2025/2026, Mageni amesema kuwa...
Wakili Peter Madeleka leo amezungumza na vyombo vya habari katika viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam – Divisheni ya Ardhi, kuhusu kesi ya wafanyabiashara waliopata hasara kubwa kufuatia kuporomoka kwa jengo la ghorofa lililokuwa katika eneo la Kariakoo.
Kesi hiyo...
MALALAMIKO KUHUSU UKAMATAJI WA WAFANYABIASHARA NA TOZO ZISIZOFUATA TARATIBU – MKATA, WILAYA YA HANDENI
Mdau wa Maendeleo na Mwana Jamii:
Napenda kuwasilisha kwa umma na mamlaka husika kilio cha Wananchi wa Mkata, Wilaya ya Handeni, kufuatia tukio la tarehe 28 Mei 2025 ambapo Wafanyabiashara...
Anonymous
Thread
handeni
kuhusu
malalamiko
taratibu
tozo
wafanyabiashara
wilaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.