wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe: Rais Samia amerejesha tabasamu kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa ukarabati wa Soko

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zaidi ya Shingi Bilioni 28 zilizorejesha tabasamu kwa wafanyabiashara wa Kariakoo ambazo...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo waambiwa wafunge biashara ili Samia aje kufungua soko

    Hofu ya nini kama kweli alishinda kwa 98%, ataishi hivi hadi lini. == Uongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo unapenda kuwataarifu wafanyabiashara kua maduka yote yanayolizunguka soko, hususani yale yaliyopo pembezoni mwa soko, mnatangaziwa kuwa kesho tarehe 07/02/2026 saa kumi kamili...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa wafanyabiashara na watumishi wa umma kulipia ushuru bandarini na kuagiza magari toka nje ya nchi

    UZI MAALUMU WA MIKOPO KWA WAFANYABIASHARA, WATUMISHI WA UMMA, KUAGIZA MAGARI TOKA NJE YA NCHI NA KULIPIA USHURU BANDARINI. Habari Katika utafutaji wa maisha wa kila siku pesa limekuwa jambo kuu na la msingi ambalo mtu analihitaji katika kutimiza shida zake na mipango yake. Kwa kulitambua hilo...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Wafanyabiashara msiwaumize wananchi

    WAFANYABIASHARA MSIWAUMIZE WANANCHI-DKT. MWIGULU NCHEMBA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wafanyabiashara nchini kutowaumiza Watanzania kwa kupandisha bei za bidhaa hususani kipindi hiki cha kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani pamoja na mfungo wa Kwaresma kwa kuwa nchi kwa sasa...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Uaminifu bado ni changamoto kubwa sana kwa wafanyabiashara wa Tanzania na wateja wao

    Mtaji wa kwanza kwenye biashara ni uaminifu. Ukiwa mwaminifu unaweza kuvumilika kwenye madhaifu mengine. Uaminifu ni bidhaa muhimu kuwa nayo kwenye biashara. Nchi yetu bado ina uhaba mkubwa wa watu waaminifu hasa kwenye biashara na ujasiriamali. Imefikia wakati ukisema wewe ni mjasiriamali...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Walia na Wageni Kufanya Biashara Kariakoo, Faini Ndogo

    Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam wameiomba serikali kuangalia upya suala la raia wa kigeni kuendelea kufanya biashara ambazo zinapaswa kufanywa na wazawa licha ya hatua kuwahi kuchukuliwa na serikali kuahidi kuongeza usimamizi. Mbali na malalamiko hayo, wafanyabiashara hao pia...
  7. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Kihongosi imeingia doa, wakurugenzi wa halmashauri na wafanyabiashara wapaza sauti

    Wakuu, Ziko taarifa kuwa ziara ya Kihongosi inayoendelea inaacha maumivu makubwa kwa wananchi na wafanyabishara ambapo kwa upande wa Wakurugenzi wanalazimishwa kutoa fedha nyingi kwa ajili ya Kihongosi ambapo fedha hizo zilishapangwa kwenye bajeti za halmashauri kujenga zahanati, matundu ya...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara soko la Mabibo: RC Chalamila alikuja sokoni akaishia kututukana. Tukapewa kesi ya kutaka kuchoma gari la serikali

    Wafanyabiashara wa soko la mabibo wafunguka kutukanwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Athari za mgogoro wa kisiasa unaoendelea TZ: Wafanyabiashara wa Marekani waanza kujitoa na kuondoa mitaji yao taratibu

    🚨 TANZANIA: U.S. BUSINESS LEADER WITHDRAWS FROM AMERICAN CHAMBER IN TANZANIA AMID ESCALATING HUMAN RIGHTS CRISIS AND NEW TRAVEL RESTRICTIONS In a dramatic escalation of tensions between the United States and Tanzania, prominent American entrepreneur @MichaelCoudrey, Chairman & CEO of Pharos...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania JWT yampata mwenyekiti mpya wa wafanyabiashara

    Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) imefanya Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa kwa nafasi za juu, ambapo aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa kipindi kilichomalizika, Bw. Hamisi Abdallah Livembe, amechaguliwa tena kuendelea kushika nafasi ya Mwenyekiti. Uchaguzi huo umefanyika tarehe 15...
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wakubwa katika mikoa hufuata Nini CCM ,kama sio kichaka Cha kufichia maovu Yao?

    Najiuliza au nauliza ? Hivi wafanya biashara wakubwa ufata Nini ccm? Au utumia kichaka hicho kama sehemu ya kufichia maovu Yao? Ccm ni chama au genge la wahalifu wanaojiunga Ili kufichaovu Yao? Ni nani aloyeccm ambae ni mzarendo wa kweli? 😭 Ccm ni lama au chama Cha majambaziiii
  12. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Tupeane fursa zilizopo katika sekta ya uvuvi/baharini kwa wafanyabiashara

    Kichwa Cha habari chajitosheleza Sekta ya uvuvi kwa ujumla kwa mfanyabiashara Mdogo anaweza kufaidika kwa kufanya michongo ipi Seamen karibuni...
  13. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vikwazo vya umoja wa Ulaya: CCM kuanzisha harambee kwa wafanyabiashara lengo kukusanya bilioni 100 kila mwezi

    Wataalumu wa uchumi wa chama cha mapinduzi wamependekeza ianzishwe harambee ili wafanyabiashara wenye mapenzi na chama watakuwa wanachanga bilioni 100 kila mwezi. Lengo la kukusanya pesa hizo ni kukabiliana na vikwazo vya umoja wa Ulaya, wanadai kama iliwezekana kukusanya bilioni 100 ndani ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara tuliodhani siasa hazituhusu tuanze kujipanga kisaikolojia. Yajayo ni kasheshe

    nchi nyingi hasa za Ulaya ambazo zimekuwa wafadhili wakuu—zimeripotiwa kusitisha au kupunguza misaada kwa Tanzania. Na tukubaliane, misaada hii ingawa si haki ya kudumu, imekuwa chanzo muhimu sana kwenye pesa zinazotumika kwajili ya matumizi ya viongozi (mfano kununua V8 za ofisini), kulipa...
  15. complex31

    JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa kulipa kodi kwa wafanya biashara

    Habari, Naandika haya kutokana na mwenendo mbaya wa serikali ya Tanzania kukataa ama kugomea kusikiliza nini haswa walipa kodi wake nini hasa wanataka Kama walipa kodi ndio waendesha nchi walipa mishahara ya wabunge, mawaziri, samia pamoja na polisi ni kwanini serikali hii ikatae kusikiliza...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tuwaombee sana wafanyabiashara, wanapitia mengi

    Hawa watu ni muhimu sana kwa uchumi na maendeleo ya taifa. Sio rahisi ila wanapambana. Binafsi nina uhakika ni wafanyabiashara wachache sana nchini ambao wanafanya biashara zao pasipo kuwa na stress kubwa. Wengi presha zinapanda na kushuka. Kuna kundi kubwa sana ni kama linawafanyia kazi...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

    Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ole Sendeka: Wafanyabiashara waliokosa zabuni Serikalini ndio wanaofadhili vijana na Vyombo vya Habari kuichafua Serikali

    Aliyekuwa Mbunge wa Simanjiro kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka, amewataka Watanzania kuwapuuza watu wanaoeneza propaganda dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, akidai kuwa wengi wao ni wafanyabiashara waliokosa zabuni za Serikali. Akizungumza na waandishi wa...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Tanzania tupunguze kudhulumiana na tuwe waaminifu

    Wakuu naandika kwa masikitiko makubwa sana kwa kinachoendelea kwenye biashara nchini Tanzania. Huu uzi ni maalum wa kujisema na kujitaka kujisahihisha. Wengi wa wafanyabiashara kuanzia wadogo, wa kati na wakubwa wana uhaba mkubwa wa uaminifu na kuishia kuwa watu wa dhuluma. Hii ni tabia ya hovyo...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Serikali yatenga eneo jipya la soko kwa wafanyabiashara waathirika wa Moto Kawe

    Serikali tayari imetenga eneo jipya la ujenzi wa soko la mpito, kwa ajili ya Wafanyabiashara waathirika wa janga la moto, lililotokea usiku wa kumakia September 15 mwaka huu katika soko kuu la Kawe. Haya yameelezwa leo na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe: Suleimani Jafo, alipotembelea soko...
Back
Top Bottom