Msaada kwa wafanyabiashara wa maduka ya nguo Kariakoo

Laufelix

Member
Jan 9, 2021
25
23
1610294608566.png

Jamani tusaidiane katika hili nisijekupigwa huko Kariakoo naombeni msaada kwa wale watu wa mikoani mnaochukua nguo Kariakoo nielekezeni machimbo ya nguo za kike wanapouza kwa bei rahisi nisaidieni.

Kila nikienda naishia tu kwenye nguo za bei jamani nielekezeni tafadhari pia maduka ya urembo kama cheni na perfumes kwa bei ya jumla.

Zaidi soma:
 
Back
Top Bottom