Mwaka Mpya wa China umewakutanisha Wachina na kufanya tathmini juu ya mfumuko wa bei Tanzania.
Wachina wauza mashuka, mataulo, mapazia, chupa za maji, vyombo vya Udongo, maua, chupi, chupa za chai na vyandarua wamesema bei wanazouza sasa zinawapa hasara kubwa sababu dola imepanda thamani...
Wafanyabiashara wa Tanzania , hasa wale wanaouza sukari ni kama Watumwa wa serikali , ni watu ambao wamekubali pia kuwa Watumwa , haijulikani sababu hasa ya wao kukubali kuwa mbuzi wa Kafara (Binafsi nisingekubali hata kwa Bunduki)
Ikiwa kama uzalishaji wa sukari umeshindikana kwa sababu...
TRA Tanzania hii hoja naiweka mezani kwenu.
Mnakusanya kodi kwa niaba yetu ili tuweze kuwekeza kwenye maendeleo ya nchi.
Lakini sasa, serikali inashindwa kuprovide umeme wa uhakika na kupelekea gharama za uzalishaji kuwa juu kwa sababu ya kutumia vyanzo mbadala vya nishati ya umeme.
Anguko la...
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus anatarajiwa kuzungumza na Wanahabari (Wahariri na Waandishi wa Habari), Ikulu ya Dar es Salaam, leo Alhamisi Februari 22, 2024
https://www.youtube.com/watch?v=YM-aG-w-Je0
Endelea kufuatilia kitakachoendelea...
Zuhura Yunus:
Rais Samia...
Waziri Bashe akiwa Ikulu, Dar ameongelea sakata la sukari nchini.
Bashe: Wafanyabiashara wana option mbili tu, waache kuuza sukari, Serikali itatafuta option nyingine. Wenye viwanda wana option mbili, wafate utaratibu wa Serikali au waache hii kazi.
Serikali haiwezi kuruhusu, tumewaprotect vya...
Wafanyabiashara wa soko la Majimoto katika Halmashauri ya Mpimbwe Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi wameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kumuondoa Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Majimoto, Fraseck Mwakalenga kwa madai ya kukusanya kodi kiholela ikiwemo matumizi ya lugha za kukera.
Wakizungumza...
Wafanyabiashara mkoani Mtwara wamegombania sukari iliyopelekwa na Serikali kwa lengo la kupunguza uhaba wa bidhaa hiyo
Serikali imepeleka tani 52 za sukari kupitia wafanyabiashara na walikuwa wanauza mfuko mmoja wa kilo 50 kwa Sh140,000 hadi Sh150,000, kwa kuzingatia maelezo ya Serikali ili...
Taarifa ya Azam inaeleza kwamba soko la Mbuyuni huko Moshi linateketea usiku huu.
Moto umeanza usiku wa saa 7 tarehe 06/02/2024
Hivi kwanini masoko hayaungui mchana?
============
Kufuatia ajali ya Moto iliyoteketeza Soko la Mbuyuni, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu amesema moja ya...
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro amesema mara baada ya Serikali kutoa muongozo wa bei elekezi ya sukari uongozi wa Wilaya ukafanya vikao kwa ajili ya kutoa mwelekeo.
Amesema “Kwanza ilikuwa kupata orodha ya watu...
Ndugu wa wafanyabiashara wawili wa mbao waliopotea mwaka jana, wameliangukia Jeshi la Polisi nchini, wakitaka liwasaidie kuwatafuta ndugu zao.
Familia hiyo imesema kuwa imewatafuta ndugu zao hao bila mafanikio, hivyo inaliomba jeshi hilo kuwasaidia kufanya hivyo.
Wafanyabiashara hao wa mbao...
Habari zenu Wana JF ...nashida na mawasiliano ya wafanyabiasha ra wa nafaka Aina mbali mbali ikiwemo mchele,karanga,mbegu za maboga,ulezi, na n.k wawe na bei rafiki ili nami niweze kufanya biashara ...Asanteni
Mkuu Mkoa wa Manyara Mhe Queen Sendiga ameongoza zoezi la Ugawaji wa misaada kwa kundi la wafanyabiashara wa Soko Kuu Katesh na wa mazao mbalimbali waliothirika na Maporomoko ya Matope yaliyotokea Desemba 03, 2023 na kuharibu mali zao pamoja na eneo lote la biashara hiyo.
Akikabidhi misaada...
Ikikenga kukuza biashara, uwekezaji na viwanda Nchi ya Uganda imesema itawapunguzia bei ya umeme watu wote walioko kwenye sekta ya biashara, viwanda na Watumishi wengine wakubwa Ili kuwaounguzia gharama za uendeshaji na kuchochezea zaidi Uchumi.
Pamoja na Uganda Kunyomwa Mikopo na WB na...
Mwaka huu wa Fedha kumekuwa na usumbufu mkubwa kwa wafanyabiashara wanapoenda kukata leseni za biashara. Mfanyabiashara anapofika kwa Afisa Biashara anaelekezwa kufanya taratibu zote akitakiwa kwenda kwenye Internet cafe ili kukamilisha taratibu zote za kupata leseni.
Aidha wanaombwa na...
Soko jipya lililopo Mbagala Zakhiem limejengwa kwa gharama ya sh. 2Billion, ujenzi uliofanyika umeweka vifremu vidogo vidogo ambavyo havikidhi mahitaji ya wafanyabiashara.
Fremu nyingi wamegawiwa watu ambao hawakuwepo awali japo mkuu wa mkoa aliahidi wafanyabiashara wa mwanzo ndio watakaopewa...
Wafanyabiashara watano huko Accra wamekamatwa na polisi kwa kushindwa kujiandikisha kwenye Tume ya Ulinzi wa Data (DPC) na kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data.
Wafanyabiashara hao ni wawakilishi wa CareFlight Ghana, kampuni inayotoa huduma za kliniki na ambulensi, Embassy Gardens, kituo cha...
Hellow members, kama wewe unategemea kuanza biashara na unatarajia kufunga mzigo wa biashara Kariakoo basi hii ni ya kwako.
Ipo hivi hapa nina vitabu viwili nimekuandalia vitakavyokupa muongozo wa kupata machimbo ya bidhaa kwa bei ya jumla nzuri sana ndani ya soko la kariakoo.
Vitabu hivi...
Wanajamvi wakati tunaendelea kumuona Makonda akiendelea kuuwasha moto na kuendelea kuwa man of the match kuna kitu nimekibaini....!
Maduka mengi ya jumla(wholesale) hapa wilaya ya Bunda yananyonya sana wafanyabiashara wadogo wadogo(wa rejareja),ila mbinu wanayotumia ni kali sana...
BRELA wamekuwa sababu ya wafanyabiashara wengi kushindwa kurasimisha biashara zao kwani ukitaka kufungua kampuni utapitia machungu na mwisho utaacha kabisa.
Brela wamekuwa wanafanya masahihisho ya maombi kwa mtindo wa kuchelewesha ili mwombaji atoe rushwa.
Brela wanasahihisha neno moja moja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.