Yaani tangia Kikwete aruhusu wazazi wa kiislamu watoto wao wawavalishe hijab basi watoto wadogo wengine hata kutembea mtu amemvalisha hijab na ya kubana kabisa na joto hili😳😳😳 kwanza shule za serikali viishilio vya dini haviruhusiwi km mkufu etc lakini bado hawa wamekazana. Ujinga wa wap huu...