wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania TBL, wadau wajadili usalama wa maji kwa Dar

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Usambazaji Maji wa Wizara ya Maji, Joyce Msiru (katikati) wakipokea ripoti ya Maji inayolenga kukabiliana na changamoto za usalama wa maji jijini Dar es Salaam kutoka kwa Michelle Kilpin, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Breweries...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tunafunga GPRS, tupo Mwenge

    Jamani wanajamvi kama wewe unahitaji kufungiwa kifaa cha kieletroniki katika chombo chako cha moto ambacho kitakusaidia kuangalia mahali ambapo chombo chako kipo kwa muda wowote tunaweza kuwasiliana. Lakini pia hata kama huna chombo cha moto ila unamfahamu mtu anayehitaji pia tunaweza...
  3. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Wadau naombeni ushauri kuhusu miwani hii ya macho sijapigwa kweli hapa?

    Mimi ni mtu ambaye ninatumia computer for hours basi kutokana na kuumwa kwa kichwa, macho kuwasha (not all tge time but mara nyingi huisi macho kukaza) Nilipima nikaonekana nipo fresh(mimi naona poa tu) ila ni alergy na mwanga Dokta akasema ninunue miwani ya mwanga Nilikaa baadae nikaenda...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wadau ninasoma bachelor of science in chemistry sion future katika hii kozi naomb ushauri

    Wadau mimi ni mwanachuo nasom bachelor of science in chemistry mwaka wa pili lakini sioni future katika hii kozi kutokana na uhaba wa ajira na msoto wa waliomaliza naombeni ushauri
  5. navigator msomi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau mpaka leo manzi hajazaa...

    Iko hivi,kaona p mara ya mwisho December 04 kafanya mapenzi tarehe 17 anadai kapata mimba,ila mpaka saiz hajazaaa wataalamu hakuna kitu kizito hapaaaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wadau Waaminifu wenye Mizigo ya Kusafirisha

    Habarini Wadau? Nina semi-trailers 2 moja inabeba mizigo Tani 31 na nyingine Tani 32. Natafuta Mdau/Wadau wenye mizigo ya uhakika ya kusafirisha ndani na nje ya Nchi jirani. Awe tayari tuingie Mikataba ya Kisheria ili tuweze kufanya kazi kwa uhakika zaidi. Aliye tayari tuwasiliane inbox.
  7. Druggist

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Kutengeneza na Kuuza Sabuni Tukutane Hapa

    Salaam Wana JF. Uzi huu naomba wote wanaohusika na Kutengeneza Sabuni za aina zote,Kwa Kiwango kidogo,cha Kati na Kikubwa Tukutane Kupeana Maarifa,Taarifa,Ujuzi na uzoefu.Aidha wale wanaouza malighafi,vifungashio na hata Wauzaji wa jumla na reje reja ruksa pia.Kwa Wadau napenda tupeane uzoefu na...
  8. NyegereBOY

    JamiiForums Tanzania Asanteni wadau lile wazo letu la kibiashara ya (hotspot manage) linaendelea vizuri ila kwa sasa tunahitaji muekezaji mwenye mtaji kati ya 5m to 10m

    Sina budi kumshukuru muumba kwa kutupatia neema zote kubwa kwa ndogo ndogo Naomba nisikuchoshe mdau katika jukwaa hili tuende moja kwa moja kwenye kusudio husika la uzi huu Iko hivi miezi kadhaa iliyopita tuliweza kuleta wazo kupitia uzi huu hapa chini unaweza kusoma kupata wazo au...
  9. G

    JamiiForums Tanzania wadau wa IT wa jamiiforums, Israel ipo kwenye level zipi kwenye masuala ya teknolojia za udukuzi na mambo ya cyber ?

    Israel imekuwa ikidukua simu zinazotumia internet na minara ya simu kufuatilia mawasiliano na location. Kikundi cha Hezbollah waliamua kukwepa tundu hili kwa kutumia pagers zinazotumia mawimbi ya redio pamoja na radiocalls kuwasiliana lakini bado Israel iliweza kudukua mawasiliano, kujua...
  10. Salahan

    JamiiForums Tanzania Wadau wa movie na sizoni zilizotafsiriwa hii isikupite.

    Kama wewe ni shabiki wa dj mack jumakhan Murphy Nk basi kuna chimbo lenu lakujipakulia mizigo kama yote...Mchawi bando lako tu.Ingia google tafuta SIZONI COM humo nikujichotea tu. Pia kuna huduma ya kujiunga VIP ukiona kwenye bure hapakutoshi.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Naingia katika biashara ya korosho za kurost naombeni order zenu wadau

    Jamhuri ya muungano wa Tanzania Amani iendeleee wananchi . Baada ya maneno hayo mazito napenda kuchukua fursa hii kuwatanabaisha ndugu zangu wajarsiriamali na wazalendo ,wapenda uhuru wapenda amani kokote mlipo duniani Huu uzi uwafikie watu wote Bila kupoteza muda nimekaa na kuwazua nikaona...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa kuona kahawa ya ubuyu. Je kahawa hii ina ubora kiasi gani?

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeona kahawa iliyotengenezwa na ubuyu rafiki yangu aliitumia Ni mara ya kwanza kuona na nimeshangaa Mwenye uzoefu atujuze ubora au madhara yake kiafya kama yapo Nimeweka na kielelezo Dominika njema
  13. navigator msomi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau mimba ya tarehe 17 mwezi wa 12 mtoto anazaliwa lini?

    Tarehe 17 mwezi wa 12 ndio siku ya kukutana na mwanaume, ila mpaka sasa hivi hajazaa yuko timamu au ni kawaida. NB-habari ya kliniki sizijui kwahyo usiniulizee
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Salamu kutoka Marekani: Nimejiona mnyonge kuona wadau wanavyotambulisha wapenzi wao

    Wakuu kama kawaida katika harakati tunakutana na wadau kwenye event mbalimbali. Nami leo nikashiriki tukio fulani hivyo lilikuwa na watu wengi sana. Mwisho ikawa utambulisho. Basi mtu anasimama anajitambulisha halafu unakuta anasema "Yule mrembo pale ni mke wangu nina miaka 20 tangu tuoane"...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napata discomfort upande wangu wa kushoto

    Naomba mnisaidie wadau, Mwaka jana nilipatwa na tatizo la shinikizo la juu la damu lakini wauguzi walinishauri na kuniambia ni tatizo la kupita hamna haja ya kutumia dawa za presa lakini kwa sasa ni takribani mwaka sasa kuna maumivu kwenye upande wangu wa kushoto. Maumivu hayo huwa nayasikia...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PPAA yatoa elimu kuhusu majukumu, malengo na mafanikio yake kwa Umma kwa Wadau zaidi ya 1,000

    Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeshiriki katika Kongamano la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki Jijini Arusha. Kongamano hilo lilianza tarehe 9 – 12 Septemba 2024. PPAA imeshiriki pia kufanya maonesho ya kutoa elimu kuhusu majukumu, malengo na mafanikio yake kwa umma na...
  17. navigator msomi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau hapa sijapigwa na kitu kizito kweli?

    Iko hivi, mwaka jana mwezi wa 12 nilienda mkoani nikakutana na mama wa mwanangu ambaye naweza kusema kama mahusiano ya kimapenzi yalikuwa yameshaisha tulibaki kulea mtoto... Sasa, nilifikia lodge na yeye akamleta mtoto nimuone hapo lodge katika moja na mbili tukajikuta tumekumbushia ya enzi...
  18. Paroko2024

    JamiiForums Tanzania Msongo wa mawazo kwa watumishi waliopo mbali na wenzi kwa sababu ya Utumishi wa Umma

    Wakuu mbalimbali JF imekuwa msaada sana kutafta changamoto kiwasemea wasokuwa na sauti. Kuna hii hapa, " bunge lililopita Mhe waziri wa utumishi Simbachawene, aliona kilio cha maelfu ya watumishi ambao wapo mikoa tofauti na wenzi wao, na akafafanua imechangia kuzorota Kwa usitawi wa jamii...
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday wadau. Muishi maisha marefu na yenye Mafanikio!

    Heri ya kuzaliwa wadau wa JF mliozaliwa tarehe ya leo. Mungu awatangulie katika mishe zenu. Happy Birthday 28/August mwilongo Aron mr xuma Inspector Jws Gilbert Julius Alex Fredrick amonbiner anonymous_blue Lobaraki Joyeuse SISTY DENIS MUSHI saliel Sanga Imma Mr Stoic Edna kahema Na...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Jaman wadau nauliza kuhusu post za ualimu diploma he zimetoka au bado

    Jaman wadau nauliza kuhusu post za ualimu diploma zimetoka au bado
Back
Top Bottom