wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wadau naomba kuifahamu zaidi wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi

    Salaam: Nategemea kuelekea wilaya ya Tanganyika mkoa wa katavi base mpya kijiji cha Ikola. Naomba kujua taarifa zifuatazo. 1. Upatikanaji wa ardhi kubwa za kilimo 2. Ni maeneo gani Pana madini ya dhahabu, copper,na ya vito mchanganyiko. Yaani madini ya gram,na ya matani. 3...
  2. Maishà magumu Sana wadau nahitaji msaada

    Habari Ndugu zangu naombeni msaada hata ajira, iniweze kunisaidia kiuchumi niongezee kipato, Mimi KIJANA nimeajiliwa sehemu Ilaa mshahara Wangu ni Mdogo Sana na hautoki kwa wakati, inaniliazimwi niingie kwenye madeni Sana, alafu unakuta unategemewa nyumbani Nina watoto bado nauli kwenda ofisini...
  3. Wadau, App Gani Mpya Inahitajika Bongo au ni wazo gani la App umewahi kuwa nalo? Shusha Idea Yako Hapa!

    Ni app gani uliwahi kuwish iundwe hapa Bongo lakini bado haipo au haijafika kiwango cha kimataifa? Au kuna changamoto gani uliwahi kukutana nayo ukaona kabisa, "Duh, hapa app ingesaidia!" Huu uzi ni wa kila mtu kushare ideas iwe ni kwa biashara, elimu, afya, usafiri, au burudani. Pengine idea...
  4. Habari Njema kwa Wakulima, Wafugaji na Wadau wa Kilimo!

    Tatizo la soko sasa limepata suluhisho rahisi na la moja kwa moja! Sasa kupitia Blog yetu ya Tanzania na Kilimo 👉 TANZANIA NA KILIMO Unaweza kUUZA au kUNUNUA bidhaa na zana mbalimbali za kilimo na ufugaji bila kutumia dalali! Faida za kutumia Soko letu: Mteja atakupigia moja kwa moja – hakuna...
  5. S

    Kweli kanisa Katoliki wanapenda kiki:Eti wadau waliokamatwa waachwe bila masharti, hawa hawajui zama zao zimeshaisha

    We rais wa TEC ni nani kuiamrisha serikali iachie watuhumiwa wa uhaini tena unapanga bila masharti, who are you? Hawa maaskofu wanajitambua kweli? Wanafikiri hii ni Roma Empire? Wanapenda kiki za kijinga waonekane wana nguvu flani nyuma ya pazia waache upuuzi wao zile zama za kijinga za papa...
  6. Wadau mnaishije na ndugu?

    Habari wadau mimi ni kijana wa 30+ nina mke na mtoto mmoja ni muajiriwa wa serikali . Nilimaliza chuo mwaka 2015 ila nikaajiriwa 2021 kipindi namaliza chuo nilipitia wakati mgumu sana wa ukosefu wa ajira nikaamua kwenda mpanda kwenda kukata mkaa nilipopata hela nikakodi shamba nikalima mahindi...
  7. P

    Wadau naomba chimbo la foils za kufungashia chips kwa bei ya jumla Kariakoo

    Wadau naomba chimbo la foils za kufungashia chips kwa bei ya jumla kariakoo. Anaejua anisaidie, nipo mikoani. Asanteni
  8. Nauliza tu wadau!

    Kwanini gari za Serikali zikipata ajali wanawahi kutoka plate number faster? 😳
  9. Wadau hivi Sex Friend anakuwaje sielewi kitu

    Habari wanajukwaa ebu fungueni code sex friend inakuawaje na kanuni zake ni zipi na inaelewekaje na wanawake wa aina gani na inafanyikaje. Daah ebu fungueni code
  10. Wadau wadai msongamano wa malori Tunduma unatengenezwa, RC Chongolo aunda kamati kubaini ukweli

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo ameunda kamati malumu kwa ajili ya kufanya uchunguzi na kubaini sababu zinazosabaisha msongamano wa malori katika mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa Tunduma ambao umekuwa ukilalamikiwa mara kwa mara na madereva hali ambayo imekuwa kero kwa watumiaji...
  11. Wadau Waunga Mkono Ajenda ya No Reform No Election: Wataka Bunge Lisubiri Kuvunjwa Mpaka Mabadiliko Yafanyike Kwanza

    Na Waaandishi Wetu BAADA ya kuanza kukua na kushika kasi kwa ajenda ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kutaka kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa 2025, wasomi, wanazuoni na wachambuzi wameibuka kuunga mkono. Wengi wanaona umuhimu wa kusikilizwa na kufanyiwa kazi kwa ajenda ya...
  12. W

    Habar zenu wadau kwa yoyote anayehitaji mashine ya juice ya miwa inayotumia mafuta na umeme ipo sokoni inauzwa

    Kwa yoyote anayehitaji mashine ya juice ya miwa ipo sokon inauzwa mashine inatumia umeme na mafuta mashine pia ina kibanda cha kujikinga na jua Bei yake ni 950000 WhatsApp 0686298896 Location .dodoma
  13. Jaman wadau hii printer unaweza kuwa bei gani?

    hii ni canon mp250 all in one Kwa bei inaweza kua ngapi? Na nikiyakanyaga inaweza uzika Kwa haraka?
  14. U

    Iran ana uwezo mkubwa kijeshi ana jumla ya askari 1,180,000 wakati Israel anayesifiwa kukicha anao 670,000 pekeyake

    Iran ana uwezo mkubwa kijeshi ana jumla ya askari 1,180,000 wakati Israel anao 670, 000 Wadau hamjamboni nyote? Takwimu zinaongea mayahudi wasithubutu kumchezea muiran hata siku moja kwani wataumia Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Israel has 170,000 active military personnel, along...
  15. B

    Haya ni madini gani?

  16. A

    PreGE2025 Wadau wataka tamasha la kuombea uchaguzi mkuu liwe la imani zote

    Wakati siku za kufanyika kwa Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 zikikaribia, baadhi ya wadau wameshauri kuwa, tamasha hilo lihusishe waumini wa imani zote. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wadau hao wapenda amani walisema kuwa, endapo tamasha hilo litahudhuriwa na watu wa imani moja...
  17. Kumekuwa na tabia ya matapeli kughushi barua kuhadaa watu, kuomba michango kwa wadau mbalimbali

    TAARIFA: Kumekuwa na tabia ya matapeli kughushi barua kuhadaa watu, kuomba michango kwa wadau mbalimbali. Chama Cha Mapinduzi kinakanusha kuwa hizo siyo nyaraka za CCM na kwamba chama hakina utaratibu huo. Niombe umma kuwa makini Na matapeli wanaotaka kutumia mwaka huu wa UCHAGUZI kutapeli...
  18. Live From Golden Jubilee Hall, DSM, Miaka 30 ya VETA, Kongamano la Wadau Sekta Nguo na Mavazi: "Watanzania Vaeni Nguo za Tanzania" Made in Tanzania!.

    Wanabodi https://youtu.be/OSGYViDqx8Yhttps://youtu.be/oqwZRhin8ek https://youtu.be/EEMSp2L7MZk Niko hapa jengo la PSSSF Golden Jubilee Hall, DSM, Wadau Sekta Nguo na Mavazi wa Kitanzania, wamewataka "Watanzania kuvaa, zilizobuniwa na wabunifu wa Kitanzania, na nguo za kushoneza zaidi, na kuvaa...
  19. Je, Kuna Wataalamu wa Wifi Hacking Humu? Wadau, Toeni Ujuzi!

    Habari za muda huu wakuu wa JF! Najua hapa JF kuna vichwa vyenye akili kali na ujuzi wa kila aina, lakini leo nimekuja na swali moja nyeti je, kuna mtu humu anayeweza kuhack WiFi? Sio kwamba ni nia mbaya, lakini kuna wakati mdau unakaa sehemu, una bando limeisha, na unashangaa tu majirani...
  20. Uzi Mahsusi kwa Wadau wa Siasa (Chadema/CCM): Malezi na Madaraka, Kwa Nini Familia Yako Inaweza Kutabiri Mwelekeo wa Taifa

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…