🚨 NAOMBA UFAFANUZI: HII NI HAKI KWELI?
Nimeamua kuandika hili kwa sababu naamini kuna watu wengi wanaweza kuwa wamepitia hali kama yangu bila kujua cha kufanya.
Nilienda kuomba mkopo benki, nikafanyiwa CRB check na nikakuta nina deni la Songesha. Nilipoanza kufuatilia, nikagundua kwamba deni...
Na vipi kuhusu michango waliokusudia kuomba kuchangiwa na waTanzania.
kuna mwenye updates yoyote kwamba wamefikia wapi mpaka sasa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Katika ulimwengu wa siasa kuna watu wanaitwa wazee wa mfumo,hili ni kundi la watu linalojumuisha wafanya biashara wakubwa katika taifa ,hapa kwetu mfano mzuri ni Rostam Aziz,Mohamed Dewdji,GSM,Kiziga,na wengineo.
Sifa kuu ya hawa watu ni kuwezesha wanasiasa na chama cha siasa ili kishike dola...
Leo nlikuwa napitia baadhi ya mitihani yangu ya shule ya Chekechea nimekumbuka sana wadau au classmates zangu wa Chekechea katika kindergarten ya Step Up Nursery School, tulikuwa tunavaa shati za pink na kaptura au sketi za light bluu, dah kitambo sana.
Binafsi nlimaliza 1997, nlisoma Nursery...
Habari ndugu zangu,napenda kuwaeleza kile kilichotokea Hadi kuto kupatikana hapa jukwaani.
Nilipotea hapa jukwaani kwa muda mrefu baada ya kutoa post yangu iliyo zungumzia shuhuda ya safari yangu ya kuelekea kule katavi kwa shughuli ya kilimo. Tangu wakati huo zilijitokeza changamoto nyingi...
Tanesco imetolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na wadau hapa JamiiForums, baadhi ya sehemu maboresho yameanza.
Pia soma
~ KERO - Mwaka wa 3 sasa TANESCO hawajaweka Transfoma hapa Msambiazi-Korogwe, tunateseka umeme kukatika
~ KERO - TANESCO Iringa Mjini wanakata umeme laini ya viwandani...
Habari,hongereni Kwan kazi nzuri ya kufichua maovu,Mimi ni mdau wa Vituo afya wilaya tarime
Napenda kuziomba mamlaka za juu zifuatilie kwa makini mwenendo wa usimamizi wa vituo binafsi vya afya katika Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara.
Katika kipindi cha takribani miaka miwili , zaidi ya vituo 11...
Anonymous
Thread
afya
binafsi
makini
mamlaka
mara
mjini
mkoa
mkoa wa mara
mwenendo
sauti
tarime
tarime mjini
usimamizi
vituo
vituo vya afya
wadau
wamiliki
wilaya
Wadau hawa Wakubwa wa elimu wamepotelea wapi?
By Hata Mimi JF member
Salaam alaikum,
Zamani kabla ya 2010 kurudi nyuma huko tulizoea kuona vitabu vya namna mbalimbali kwa maudhui moja. Namaanisha somo husika kwa darasa fulani linakuwa na matoleo kibao ya vitabu (waandishi na wachapaji)
Hii...
Nini kinasababisha kukwamia kwenye bao1 tu, kwa wenye umri wa kuanzia 35 years na kuendelea?
Na kama unaweza kufakamia bia6 bila breki katika umri huo, kulikoni ushindwe kuunganisha goli2 kwa1 kwenye 6kwa6?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Mei 28, 2026 amewasili kuwa Mgeni Rasmi katika Kongamano la Kitaifa la Wadau wa Mazingira pamoja na maadhimisho ya miaka 40 ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) yanayofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC)...
Wakuu, naomba msaada wa ushauri na connection za laptop nzuri yenye specs za kufanya kazi nzito kidogo kama programming, video editing, gaming, 3D rendering na data analysis.
Napendelea zaidi brand za Dell au HP, zikikosekana naweza pia kuangalia Lenovo. Sina sababu ya kitaalamu sana kuchagua...
Katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2026, Wadau wa Sekta ya Habari wamekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya tasnia hiyo, hususan katika kukabiliana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia.
Akizingumza leo Aprili 29, 2026, Mwenyekiti wa Mkutano...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya afya nchini, kimeratibu kikao maalum cha kitaifa kilichowakutanisha wataalamu wa radiolojia na tiba ya mionzi kwa lengo la kuimarisha huduma za uchunguzi wa magonjwa kwa kutumia teknolojia ya kisasa.
Kikao hicho kilifanyika...
Wadau leo niko very stressed.
Nimeamua nianze kula konyagi mapema tu maana kazi siipendi tena.
Naenda kazini nikiwa sina raha. Mkuu wa shule anafuatilia maisha yangu.
Kijibiashara cha kuuza kangala hakilipi zaidi ya kupata hela ya kula.
Rafiki zangu wengi wana maisha mazuri na wametoboa...