wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Young silver

    Nimetoa ngoma mpya. Naomba sapoti yenu

    I have released my newest song for the first time. Hata kwenye game bado sijaingia. Nawaombeni support yenu wadau, judge if I can or not, au nikalime tu ndizi🥹🥹 I hope you will not let this past over🙏🙏🙏 Release on my YouTube channel, please subscribe, share, comment and like. 🙏... Support...
  2. Young silver

    Support, support support

    I have released my newest song for the first time. Hata kwenye game bado sijaingia. Nawaombeni support yenu wadau, judge if I can or not, au nikalime tu ndizi🥹🥹 I hope you will not let this past over🙏🙏🙏 Release on my YouTube channel, please subscribe, share, comment and like. 🙏...
  3. Roving Journalist

    LHRC na Wadau wakutana na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa UN, Parfait Onanga Anyanga jijini Dar es Salaam

    Leo tarehe 12 Machi 2026, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), sanjali na wadau wengine wa masuala ya haki za binadamu wamekutana na mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Parfait Onanga Anyanga katika ofisi za Umoja wa Mataifa zilizopo jijini Dar es Salaam. Ndugu Parfait...
  4. K

    Nanauka awasihi vijana kuacha kukaa vijiweni na kupiga soga, watumie kikamilifu fursa za Serikali na za wadau

    Baada ya karne nyingi kupita, 2025 Rais wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amekuja na maono ya kumfikisha kijana kwenye ndoto yake anayoitamani. Ameunda Wizara mahususi kwa ajili ya kusikiliza hoja za vijana, kuwaongoza na kuwawezesha kufikia nchi ya ahadi ya asali na Maziwa. Inawezekana...
  5. Dalton elijah

    Wadau wajadili hasara kuzimwa intaneti wakati wa uchaguzi

    KUZIMWA kwa intaneti wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kumelisababishia Taifa hasara ya dola za Marekani milioni 238, sawa na takribani Sh. bilioni 560, kwa mujibu wa ripoti mpya ya utawala wa kidijitali. Takwimu hizo zimetolewa na Ofisa Sera na Teknolojia wa Tech, Media Convergency (TMC)...
  6. mcTobby

    Wadau , Ni hatua Gani inaweza kuwa suluhisho la kudumu la Ajali barabarani?

    Kila mahali tumezungukwa na hatari za kila aina . Lakini hii Changamoto ya ajali za barabarani limekuwa ni donda sugu.. barabara zetu hizi ni kama zile za kwenye filamu ya kutisha ya Final destination.Watu wanapoteza wapendwa wao kila uchao. Na kinachonisikitisha ni kwamba hapahapa duniani...
  7. W

    Wadau wataka hatua zichukuliwe kudhibiti 'kubet': Tutazalisha matapeli wa kitaifa

  8. Sasso

    Msaada wa Mawazo na Wadau wenye uhitaji au Interest kwenye Kuwekeza kwenye ufugaji hususani kuku

    Wakuu, natumai mko vyema, na kama kuna mwenye madhila Mwenyezi Mungu ampe faraja. To make a long story short, nilikua niko mkoa X for the long good six years nikiwa nimeajiriwa kwenye miradi lakini nikiwa nafanya ujasiriamali wa ufugaji (Tanga Region). Kufuga, kutotolesha, kuuza mayai, kuuza...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 ZEC kuwaalika wadau maalum kushuhudia kuteketeza nyaraka za uchaguzi

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar George Joseph Kazi amejibu ametoa maelezo juu ya kauli zilizotolewa na Chama Cha ACT Wazalendo juu ya hatua hiyo ya ZEC kutaka kuteketeza nyaraka zote za uchaguzi wa October 2025 uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana.
  10. Chizi Maarifa

    Wadau Kesho naenda Vatican City kumpelekea malalamiko Papa. Kitendo alichofanya Padre kimenikwaza sana

    Padre ananiambia niache uzinzi, anahubiri anasema mimi ni mdhambi sababu nawatolesha Mimba mademu ambao nawagegeda kisha wakipata mimba solution ni moja. Toa. Haya mambo ni kupangiwa na mabeberu wananionea wivu sababu mimi ni kidume cha mbegu. Wanataka waafrika tuwe wachache wao wawe wengi...
  11. Jack Daniel

    Marafiki, ndugu na wadau wote wa jukwaa hili

    Habari JamiiForums Siku zinakimbia, miaka inageuka, na umri unasogea. Nakumbuka ni kama juzi tu Mh. Lowasa alivyotikisa Tanzania kwenye kampeni za Urais 2015. Ni kama juzi tu tangu hayati Magufuli na itikadi zake, pamoja na misimamo mikali kwenye uongozi. Miaka inakimbia, watu waliozaliwa...
  12. mbeyu T

    Wadau, msaada kidogo hapa

    Mimi ni mwanafunzi wa MSc in Data Science (UDSM). Kwa upande wa research, mambo yamekuwa magumu sana hadi nimeshindwa kumaliza kwa wakati. Kwa hiyo naangalia option ya kuhamia chuo kingine ili niweze kumaliza masters yangu. Sasa changamoto niliyokutana nayo ni hii: Chuo ninachotaka kuhamia...
  13. Mshindi wa Vita

    LIVE: David Kafulila anaongea na wadau wa Usafiri na Usafirishaji wa Bandari

    https://www.youtube.com/live/0oisjyeeiTk?si=ZyTQ-O1IFxIhOKkd MDAHALO KUHUSU UENDESHAJI ENDELEVU WA BANDARI UNAENDELEA PEACOCK HOTEL Baraza la Wasafirishaji Tanzania (Tanzania Shippers’ Council – TSC) leo linaendesha mdahalo wa ngazi ya juu wa Sekta ya Umma na Binafsi (Public–Private Dialogue)...
  14. DuaZaMama

    Askofu Ruwa'ichi: Watanzania hawashabikii haki, wengi kwa ujinga au kutokujua wanajidai wadau wa amani

    Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thaddeus Ruwa'ichi, amesema Watanzania wengi hawashabikii haki wala siyo wadau wa haki. Amesema wengi wao kwa ujinga, kwa kurubuniwa au vinginevyo wamekuwa wadau wa amani akiweka msisitizo kuwa pasipo na haki hakuna amani. Askofu Ruwa'ichi...
  15. Davidmmarista

    Wanawake wengi wakijipata huwa na dharau sana hasa waliotokea maisha ya chini

    Wadau nime experience hiki kitu baadhi ya wanawake tena kwa idadi kubwa hasa wanaotokea kwenye familia za kawaida wakijipata hujenga dharau na kuona watu wengine hawana thamani. At least wadada wanaotokea kwenye familia za kishua kidogo huwa na heshima kuliko hawa waliojipata na walitokea...
  16. Emekha Ikhe

    Safari ndefu ya kitaaluma(long walk to academic justice) na neno la shukrani kwa taasisi, Vyombo vya Habari na wadau mbalimbali 2011-2025

    SAFARI NDEFU YA KITAALUMA(LONG WALK TO ACADEMIC JUSTICE) NA NENO LA SHUKRANI KWA TAASISI, VYOMBO VYA HABARI NA WADAU MBALIMBALI 2011-2025. Prof. Rwekaza Mkandala, Watawala Wote wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) na Viongozi wote wa serikali Mlioshiriki kunifukuza...
  17. M

    Naombeni ushauri wenu wadau wa IT

    Habarini ndugu zangu, Naombeni ushauri Mimi ni mwalimu by professional level ya diploma. Nipo interested sana na masuala ya IT hivyo natamani hata future yangu nije nijiendeleze kwenye IT. Kwa kuanza nimeandaa mpangokazi wa miezi 24 ili unisaidie nijifunze mwenyewe online ili baadae nikiwa...
  18. U

    Kisa cha kusimuliwa cha Baba na bintiye kuishia kukosana ? !

    Ni mzee mmoja akisimulia kwenye dala dala kisa cha kusikia kwa abiria wakisafiri wote namna baba na bintiye waliokuwa karibu mno kuishia kukosana. Haijulikani sababu hasa ni nini ila ndiyo hivyo anasema wameishia kukosana. Hakuweza kamilisha kisa chote alichokuwa akihadithia kwani alishuka.
  19. Teby feO

    Msaada wa kupata host kwa wadau wanaoishi ughaibuni

    Habari wakuu. Ni muda sasa nimekuwa nikihangaika kutafuta mtu wa kunishika mkono niweze kusafir nje ya nchi kutafuta maisha lakini nimekumbana na changamoto ya kutokupata mtu wa kunishika mkono hivyo kwa mtu yeyote anayeishi ughaibuni hasa schengen country naomba msaada wa kunishika mkono hata...
  20. mcTobby

    Hii hali wadau ndio inaitwaje kitaalamu?

    Mko poa? Iko hivi . Huwa najisikia amani sana nikikabeba katoto kachanga. Au nisikie kile kisauti cha kulia cha mtoto mchanga. Huwa najisikia raha na amani fulani hivi moyoni. Hii wadau mmewahi ku experience au ndio dalili za kuitwa baba?.. Na Dem hata sina .
Back
Top Bottom