Ivi wachina wanatumia mawinga kama Wabongo kariakoo

Mr Pixel3a

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2021
Posts
7,104
Reaction score
10,602
Maana imezoeleka ukienda kununua bidhaa unatajiwa Bei ya juu tofauti na bei halisi na hao wanajiita mawinga na hii inaumiza watanzania wengi Kila siku. Je Kwa Hawa wachina Hali ikoje,?
 
Unataka wakale wapi
 
Back
Top Bottom