Jamaa inaonekana bado hajaridhika kutimuliwa. Sasa anamsema kila mtumishi mwenzake maarufu wa Tanzania japo kwa mafumbo.
Anasema mzee wa ubungo ni tapeli wa kutupwa na ni mtu wa system.
Kuhani Moses wa temboni anadai amewahi kufukia jeneza uwanjani Mbagala akaweka alafa kwenye mkutano...
Nimekuwa nafuatilia habari za mchungaji Magembe, na kuna mahali alitoa historia ya familia yao kwamba walikuwa wachawi balaa.
Je hakurithi? Nani ana uhakika? Na Je ndio chanzo cha ugomvi wake na Kanisa labda wenzake wanataka arudie asili?
Ukipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga.
Ukiingia kwenye makanisa yao utakuta watu wamepagawa na mapepo, mapepo yanasema naungua, naungua, usinichome, natoka.
Kuna watu wanasema huko makanisani kuna maigizo na hizo...
1. Zitto Zubery Kabwe alitamka bungeni kuwa atawageuza kuwa Nyenyere wale wote watakaothubutu kumfuata tuata. Hansard ipo mkasome. ZittoZubery Kabwe, mpk leo anaogopwa kama ukoma.
2. Propesa (siyo profesa) Maji Marefu (RIP) alitamka bungeni kuwa asilimia kubwa ya wabunge amewashika makalio...
Yaaan shida ni maadili
YAAN KUNA video zilisambaa kibaoo za Azizi pakome na baadhi ya wachezaji wakiwa bat siku tatu kabala ya mechi
Aikutosha ilikuwa mechi nyingine wakaonekana wako bar Moja pale Morocco na wahuni WA like wakichezewa SEHEMU zao.
Hii ya masakii pakome alilizwa dollar 5000 na...
Yes!
No one saw it coming ..wafia dini wanasema eti ni bongo flavor. Hawasikilizi message.
Hii hapa...
Kaka Joel mimi binafsi nlikua sikujui, ila kuna siku nlikuta wimboo huu unapigwa mahali nikauliza huyu nani?
And the rest is this thread. Keep it Up
Kwa nini wanga, wachawi na mizimu huwa kuonekana kwake ni usiku tu?
Kila nikisikia stori za haya mambo ni mtu alikuwa amelala usiku, usiku watu walikuwa wanapaa na ungo ndio likatokea jambo, usiku mtu alikuwa anaendesha gari.
Majini tu ndio huwa nasikia stori zake yakiwa yanafanya mambo yao...
Mchawi anaweza kuwa baba yako au mama yako, naye aririthishwa uchawi na baba yake au mama yake, na uchawi unaweza kurithishwa hata bila wewe kujua ukajikuta tu umeshakuwa mchawi
Na wachawi wengi katika familia ni wanawake na hupenda kuwarithisha watoto wa kike, unaweza kuishi na mama yako mzazi...
Mwaka 1885 mwandishi H. Rider. Haggard aliandika kitabu King Solomon's Mines. Ndani ya kitabu hicho kuna kibibi kizee mmoja mwenye hila na katili sana. Jina lake Gagool.
Mwaka 1966 kitabu hicho kikatafsiriwa kwa kiswahili kikiitwa Mashimo ya Mfalme Sulemani. Jina Gagool likatafsiriwa kama...
PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA😂😂
ENEO LILIPOKUWA KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI LANUNULIWA NA BISHOP EDWARD, MCHUNGAJI KIONGOZI WA MAKANISA YA BETHELEHEMU REVIVAL CHURCH
BISHOP EDWARD ANASEMA👇👇👇👇
"TUMEMUONDOA MUNGU WA BAALI NA TUMEMLETA MUNGU WA KWELI"
Serikali ya Tanzania imeweka wazi sababu ya kumfukuza nchini Kiongozi na Mchungaji wa Kanisa la Christian Life maarufu ‘Kanisa la Kiboko ya Wachawi’, Dominique Dibwe kwa kukiuka misingi na mafundisho ya Vitabu Vitakatifu sambamba na kutoa wito kwa wahubiri wengine kufuata mafundisho ya Vitabu...
DODOMA: Kesi iliyofunguliwa na Wakili Paul Kisabo dhidi ya Afisa wa Polisi ASP Fatma Kigondo anayetajwa kama 'Afande', inasubiri wito wa kupangiwa tarehe ya kusikilizwa ambapo tayari imepangwa mbele ya Hakimu Francis Kishenyi.
Afisa huyo ameshtakiwa kwa kusaidia genge la Watu Watano...
Kwa namna huyu jamaa anavyowananga watz, hivi Serikali imekosa kosa lolote analoweza kuwa alifanya, hata money laundering au lolote tu analoweza kufunguliwa hapa, tukatuma maombi ya extradition Congo akarudishwa hapa. Manake ni wazi ametapeli wabongo wengi sana. DPP na DCI tuseme hamjaona kosa...
Baada ya kukaa saiti miezi mitatu huko polini kondoa pasipo kuingia internet, Hatimaye leo tumerejea Dar es salaam! Tuko huru kama kuna kazi umeme na ujenzi nipigie 0711756341
Nimerudi mjini Hakika mabadiliko yanaonekana! Mji unakuwa kwa kasi sana! Ukiwa hapahapa mjini kila siku huwezi kugundua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.