wachawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Kitabu Cha Malleus Maleficarum Maarufu kama Nyundo ya Wachawi

    FAHAMU KUHUSU KITABU CHA MALLEUS MALEFICARUM MAARUFU KAMA NYUNDO YA WACHAWI Hiki ni kitabu ambacho kiliandikwa na Heinrich Kramer na kuchapishwa kwa mara ya kwanza katika mji wa Speyer nchini Ujerumani mnamo mwaka 1486. Kitabu hicho kimebeba ujumbe kuhusu wachawi ambapo ndani yake kuna...
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Sababu kwanini Mungu aliagiza wachawi wauawe

    Kutoka 22:18 inasema " Thou shall not suffer a witch to live" a Swahili for " Usimuache mchawi aishi". Je, ni kwanini Mwenyezi Mungu alitoa hiyo decree? Kabla sijatoa majibu yangu kuhusu swali hili Wacha nitoe maoni yangu kwanini Mungu aliwakataza kabisa binadamu kujihusisha Na uchawi. Ipo...
  3. Mantheman6

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli bangi inaweza kukinga dhidi ya wachawi?

    Habari zenu ndugu zangu wa Jf ni imani yangu kwamba nyote mko salama na niwape pole kwa mihangaiko ya wiki nzima hakika kazi inaendelea. Sasa ndugu zangu mojakwamoja twende kwenye mada yetu kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Kumekuwa na stori stori nyingi mtaani kila mtu akisema lake...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Je umeshasikia kitu inaitwa COBWEB, rada za wachawi kwa asiye na hatia

    Je, katika maisha yako uliwahi kuona katika pitapita zako unakutana na kitu kama utando wa buibui usoni au kichwani!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo Wachawi namba Moja wa kuifanya Yanga SC isifanikiwe; wajitahidi Kuachana nao kabla hali haijawa mbaya zaidi Kwao

    Ni Mpumbavu tu pekee kwa Maandalizi hafifu ya Yanga SC kuelekea Mechi yao ya leo ya CAF CL dhidi ya Rivers United FC ndiyo alijua kuwa ingeshinda. Ila kwa tuliocheza Mpira, tunaoujua vyema Mpira na tumebobea vyema katika Sayansi na Sanaa ya Mpira na Wachambuzi Binafsi wa Soka la Tanzania na...
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Je, Hamza alirogwa? Jinsi wachawi wanavyo tumia roho wa mauti kuharibu hatma za maisha ya watu

    Awali ya yote ninatoa pole zangu za dhati kabisa kwa ndugu jamaa na marafiki walio poteza ndugu zao kwenye tukio la salender. Tukio hili lililo kinyume na utu " INHUMANITY " LIlikuwa ni tukio baya kabisa kuwahi kutokea katika ardhi ya jiji la Dar Es...
  7. JASUSI LA MBINGUNI

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachawi hutupia watu majini?

    Wachawi wanaporoga sio lazima wakutumie majini ama mapepo. Wanaweza kukuloga kwa laana za kichawi, ama kukulisha uchafu nk Je, ni kwa wakati gani wachawi wanalazimika kutumia majini kumloga mtu? Kwanini watumie jini na sio uchawi wa kawaida? cc Mshana Jr Rakims
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanga na wachawi wana ushirikiano sana kwenye kazi zao

    Nimeona kutumia hawa watu ambao wanga na wachawi kwa jinsi walivo na ushirikiano wa hali ya juu kabisa. Maana mikasa mingi inayosimuliwa kuhusu hawa watu unaweza kubaki mdomo wazi. Ila tuje kwenye mada iliyonileta sio sehemu yangu huko labda kaka @Mshana Jr anaweza kunieleza kuhusu kichwa cha...
  9. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuwaona wachawi kwa kutumia Kisamvu

    Duniani kuna miti mingi sana yenye nguvu za asili za miujiza Katika miti hiyo mmoja wapo ni mti wa kisamvu Kisamvu ni mboga, mizizi yake ni chakula na hata shina lake huweza kutumika kama kuni Lakini siri kubwa iliyopo katika mti huu ni kuwa, majani yake yana uwezo mkubwa wa kukufanya uwaone...
Back
Top Bottom