cumbamalema
JF-Expert Member
- Sep 4, 2024
- 366
- 816
Mchawi anaweza kuwa baba yako au mama yako, naye aririthishwa uchawi na baba yake au mama yake, na uchawi unaweza kurithishwa hata bila wewe kujua ukajikuta tu umeshakuwa mchawi
Na wachawi wengi katika familia ni wanawake na hupenda kuwarithisha watoto wa kike, unaweza kuishi na mama yako mzazi kumbe ni mchawi na wewe usijue,
Mnaweza kuwa mnafiwa na ndugu zenu hasa wa kiumeni, kina kaka kumbe wanaliwa na Mama yenu mzazi na nyie msijue, mara nyingi wachawi hawauwi watu wa hasara katika familia kama walevi, mateja bali huuwa wale wa maana wenye kipato
Mchawi kuharibu mimba za watoto zake,huwafunga uzazi na mambo chungu nzima
Mchawi anaweza kukutia ugonjwa na vipimo vya hospitali vikathibitisha kabisa wewe mgonjwa
Ukiona kuna dalili yanayosemwa na watu kama mama au baba, dada, kaka ni wachawi, jalibu kufuatilia kwa kina uujue ukweli ili
Kuepukana na uchawi kaa mbali na familia, usipende kutafutia maisha ulipozaliwa, usipenda kurudurudi ovyo nyumba, epuka mikusanyiko ya kupanga kama vile arobaini sijui, matanga ni hatari