wachache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Haya mambo anayofanya Msajili wa Hazina Ndg Nehemia Mchechu ni wana CCM wachache watanavutiwa nayo; hongera sana sana sana kuyashape mashirika ya umma

    Moja ya mtu anayefanya kazi kubwa na kitaalam ni Nehemia Mchechu; amefanya vizuri NHC wana CCM wakamwonea wivu na kumshauri Magufuli Amtumbue. Amefanya vizuri sana kwa muda mfupi kama msajili wa hazina ; its like yeye ndiye mtu wa kwanza kuteuliwa kuifanya kazi hiyo. Changamoto iliyopo ni...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hongereni wanawake mnaotukataa kistaarabu, pale tunapowatongoza kistaarabu, amini mko wachache sana

    Kwenye utongozaji Linapokuja swala la kukataliwa, wanaume tunakutana na wanawake wa aina mbili: Aina ya kwanza ya wanawake ni wale ambao ukiwatongoza, wakikukataa, hadi moyo unaridhika, unatamani hata umnunulie smartphone mpya, na unamtakia kila la heri huko aendako, yani anakukataa in a...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Waafrika wachache waliokwenda Urusi, wageuza bila makubaliano yoyote yaa maana

    Walichoambulia ni Urusi kutoa ahadi ya kutuma chakula Somalia na mataifa mengine tano, chakula chenyewe kiduchu yaani tani 25,000 ukizingatia umaja wa Mataifa (UN) hutuma tani 725,000 Afrika hii. Hiyo hafla iliwakilishwa na mataifa 17 kati ya mataifa 52 ya Afrika. ============================...
  4. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania TCRA yapiga stop wimbo wa Nay wa Mitego kuchezwa kwenye vyombo vya habari

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuzuiya wimbo uitwao "Amkeni" uliopigwa na mwanamuziki Emmanuel Elibariki (Nay wa Mitego) kutopigwa katika mitandao ya kijamii na vombo vya habari. Aidha, kwa mujibu wa BASATA, maudhui ya wimbo huo...
  5. GoJeVa

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania tajiri iliyokumbatia wakwasi wachache mafukara wengi

    TANZANIA TAJIRI, ILIYOKUMBATIA WAKWASI WACHACHE MAFUKARA WENGI. Utangulizi: Makala hii itazungumzia mchango wa viongozi wetu juu ya kulinda rasilimali na utajiri uliomo ndani ya nchi yetu ya Tanzania. Makala hii imeandikwa kwa lengo kubwa la kukumbusha viongozi wetu juu ya wajibu wao kwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa DP World ni biashara za wachache CCM, ushahidi huu hapa

    Mpaka sasa ukiusoma mchezo unagundua suala la DP World ni la Chongolo na baadhi ya watu wake na sio dili la CCM kwa ujumla wake, mfano mdogo ni ziara ya Kinana tangu ameanza mikutano Rufiji, akaenda Kondoa na sasa yuko Manyara sijamsikia akipigia debe suala la mkataba wa bandari. Ndani ya CCM...
  7. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya watu wachache yanakuja kugharimu watu wengi na wote

    Ifike mahali mnaojifanya mna uchungu wa nchi hii na kuchukulia maamuzi kwa kusema watz wote wamechoka semeni kwanafasi yenu.. Leo hii kuna agenda zinaendelea chini kwa chin kuwa watu wanapanga kufanya vurugu kuandamana kisa bandari na wameeanza kuwadanganya baadhi ya watz kuwa nchi imeuzwa hivi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu juu ya Mkataba wa Bandari na DP World

    Nimejaribu kusoma na kuisikiliza mijadala juu ya hili sakata la DP World. Kwa kweli mpaka Sasa kama taifa bado tunarumbana juu ya sisi Kwa sisi Cha kushangaza zaidi hata hao wasomi wa Sheria katika nchi hii wameshindwa kuwa na tafsiri ya pamoja katika mkaba huu. Tofauti na ilivyotarajiwa sasa...
  9. Mchokoo

    JamiiForums Tanzania Kuuza au kutouza nafaka nje: Serikali ichague kuumiza wengi au wachache

    Suala la kuuza au kutouza nafaka nje. Yaani niseme kwamba; kulingana na kiwango kidogo cha chakula tulichonacho, sikubaliani na wale wanaotaka tuuze chakula nje. Ndugu zangu msifikiri jambo hili ni rahisi kama mnavyoliona, mkaanza kuilaumu serikali kwa zuio lililopo. Mtu yeyote mwenye akili...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Salim Asas tambua kuwa wengi wa UVCCM hawafurahii mnavyouza nchi. Wanaofaidi ni wachache, hawawezi kutetea ufisadi

    Usilazimishe watetee uovu. ---- MNEC SALIM ASAS ATAKA VIJANA KUVUNJA UKIMYA KUJIBU HOJA ZA WAPOTOSHAJI MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Asas ameushangaa ukimya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Iringa katika kutetea viongozi na mipango mbalimbali ya maendeleo inayofanywa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Serikali inatambua umuhimu wa Bandari ya Dar, haiwezi ikaibinafsisha. Puuzeni upotoshaji

    Ndugu zangu watanzania, Napenda kuwataarifu ya kuwa serikali ya Rais Samia Inatambua Umuhimu na upekee wa Bandari yetu ya Dar es salaam,Inatambua kuwa bandari hiyo ndio moyo wa uchumi wetu,ndio mboni ya Taifa letu kiuchumi,ndio Uti wa mgongo wa mapato yetu,ndio usalama wetu wa Taifa...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hawa wajasiriamali maarufu chini ya miaka 30 wanapoteleaga wapi kibiashara wakishavuka miaka 30?

    Ni watu ambao kwa kipindi hicho walitupa hamasa na tukaona watafika mbali sana kwenye ujasiriamali lakini mambo ymekuwa ndivyo sivyo kwa wengi hasa wakivuka 30 Patrick Ngowi - Alikuwa na kampuni ya sola, aliingia madeni sijui yupo wapi kwa sasa Jokate Mwegelo - Biashara ilianza kwenda hovyo...
  13. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabilioni ya pesa yanayotafunwa na wachache yangetumika kundeleza wabunifu tungekuwa mbali sana

    Utangulizi Katika kukua kwangu, nimebahatika kusikia na kushuhudia wabunifu wengi katika nchi yetu. Mfano: Kuna mtu alitengeneza umeme wa kinyesi, mwingine gari, mwingine ndege inayoruka kwa injini ya piki piki, mwingine stesheni ya redio na wengine kibao. Imekuwa ni historia katika nchi yetu...
  14. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Wapo wachache sana wenye UZURI na AKILI kwa pamoja

    Anza kwanza kutazama kwa makini uwezo wake wa kuwwa mke na kuwa Mama wa Watoto wako. Usikimbilie kutazama makalio na figa tu Ndoa ni zaidi ya hayo. Umbo lake halisaidii chochote kwenye future yako.
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nafasi chache uwa hazitangazwi na ikulu au press yeyote wachache ndo tunazijua kulingana na unyeti. R.I.P mshauri Mkuu wa Rais Juu ya Usalama wa Taifa

    Bwana Bernard Camilius Membe, Mtu Maalumu kwa mikakati maalumu kwa lengo Maalumu (Mshauri mkuu wa masuala ya usalama wa Taifa na nchi kwa Jumla) Ni wachache watakao kuwa wanajua nafasi yake ilikuwa ipi Ila kwa kifupi nafasi Kama yake uwa hazitangazwi, zinatangazwa za mshauri mkuu wa masuala ya...
  16. Clepatina

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaoijua hii Baiolojia ya wanawake ni wachache sana

    Roho wa Mungu ametamalaki juu yangu na kunituma kuandika huu uzi ili kuokoa ndoa na mahusiano yanayokaribia kuvunjika kwa jambo alillolitengeneza Mungu. Ninaongea na wewe mwanaume ambae umechoshwa na kiburi,gubu,jeuri na maneno ya kukera ya mkeo. Pole sana baba.Najua hicho sicho...
  17. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wataalam wachache kwenye Huduma za CT-Scan katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ni changamoto

    Baadhi ya Wagonjwa wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wamelalamikia kuwepo kwa wataalam wachache wa kipimo cha CT-Scan kunahatarisha usalama wa wagonjwa wao. Wananchi hao wamesema mara kadhaa wanapofika hospitalini hapo wagonjwa wamekuwa wakichukua muda mrefu kupata matibabu huku...
  18. wilsonwizzy

    JamiiForums Tanzania Jinsi siasa inavyowafaidisha wachache, wengi wakitumikishwa

    Ndio, wachache wanafaidika na siasa ya Tanzania na wengi wakiitumikia kwa hasara, nayasema haya baada ya kujua wenzangu wanatajirika kupitia siasa bila jasho kumbe watu mnalipwa kupitiaha agenda za wanasiasa na hamsemi? Ndio, watu manazoa malaki kwa mamilioni ili kupromo agenda za kisiasa...
  19. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Biashara za chakula kuendelea kushamiri mchana hapa Dar mwezi wa Ramadhani ni uthibitisho kwamba waislamu ni wachache?

    Nimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi. Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za...
  20. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Huku ni kupendwa tu au ni kweli sisi ni wachache hapa TZ na dunia kwa ujumla

    Habari? Kumekuwa na kesi nyingi kwa wanaume namaanisha mwanaume achana na hawa wavulana nisiseme wanatongozwa hapana naona niseme wanatamkiwa na wanawake wenye umri zaidi ya miaka 30 kua nataka unioe, namaanisha mwamke ambae kaisha kua na akili timamu maana jinsia yao inapataga ukomavu wa akili...
Back
Top Bottom