wachache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Biden wa Marekani anapoiona picha hii bila shaka tumbo linakuwa moto

    Hao ni Rais Putin wa Urusi na Rais Ebrahim Raisi wa Iran!!
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Nini kinawafanya kuridhika na kukubali rasilimali za taifa lao kutafunwa na kundi la watu wachache? Kwanini wanakuwa wapole huku wakikamuliwa?

    Hili suala huwa linashangaza sana maana ni jambo ambalo linashanhaza sana. Mikataba tata inasainiwa. Ufisadi unafanyika na mali za umma zinakwapuliwa lakini watu wanachukulia easy tu. Wanaowaibia watanzania wanapata kiburi na dharu kuwa watanzania ni mabwege na watu wa kupigwa tu. Epa, Kagoda...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hatukatai kulipa Kodi na Tozo ila inauma sana pesa zetu kuliwa na Watu wachache. Serikali yetu muonee huruma Mama ntilie wa Itigi

    Habari wana JF , Serikali ya awamu sita imeonyesha dhamira njema katika kuleta maendeleo katika nchi yetu . Hicho inakusanya kodi kwa nguvu zote na imeongeza kodi na Tozo Mbali mbali ,yote hiyo ni katika kuhakikisha pesa za maendeleo zinapatikana. Haijaishia hapo imefanikiwa kupata mikopo...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mwinyi Jr anaweza kuweka rekodi ya kuwa Mmoja ya Marais wachache wenye akili kutawala Afrika Mashariki

    Ametulia sana tofauti na wengine wengi. Anaonekana kujali sana maslahi ya Wazanzibar na yupo smart kupata anachotaka kwa ajili ya watu wake. Siku tukipata Rais wa namna hii ambaye atatanguliza Tanzania mbele tutafika mbali sana. Ingekuwa si Mzanzibar ningesema 2025 aje agombee huku lakini...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nimeangalia idadi ya watu tulio na shahada ya kwanza hatuzidi Milioni 2. Kumbe wasomi bado tupo wachache sana

    Vijana someni msisikilize propaganda bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana. Just imagine nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+ Kiukweli kitu kinaitwa degree msikichukulie poa kina hadhi yake. Ni hayo tu wasomi bado tupo wachache so hoja za kuwaponda...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje safari ya Rais inagharamiwa na Wananchi wachache ambao hawataji majina yao? Je, haya sio mazingira ya kulipana fadhila kwa ufisadi?

    Rais anaenda kukaa USA zaidi ya wiki mbili. Huko anaenda kufanya shughuli za kiserekali na kubwa zaidi ni Uzinduzi wa filamu ya royal tour. Kila siku tunaambiwa hii filamu ilitengenezwa kwa pesa kiasi cha bil 7 na sio pesa za Serikali. Sisi akina Kabwela tukajua ni pesa za akina Greenberg na...
  7. Richard

    JamiiForums Tanzania Je, ni Halmashauri zote huhitaji fedha kutoka Serikali Kuu? Kuzipatia fedha nyingi mabilioni kila mwaka ni kuzidekeza na kuzifumba akili

    Juzi Rais Samia ametangaza tozo ya shilingi 100 kwa kila lita moja irejeshwe katika kodi ya mafuta. Hapohapo wafanyabiashara wa mafuta hayo hawajalalamika bali wamefurahi maana wao wapata faida zaidi. Licha ya kodi hiyo ya mafuta, gharama za maisha kwa ujumla zimepanda na mfumuko wa bei uko...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati wanaCCM tujitafakari na kuchukua hatua. Je, chama chetu ni mali ya wakulima na wafanyakazi? Au ni mali ya wajanja wachache?

    Bila hata ya kutumia hadubini sasa ndio wakati wa kuchambua pumba na mchele. Chama chetu kilianza na madhumuni mazuri kabisa ya kuwa chama cha kuwatumikia watanzania ambao ni wakulima na wafanyakazi. Ndio ilikuwa dhima kuu kuleta maendeleo kwa manufaa ya kila mtanzania. Hakikuwa mali ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. Anna Makakala, Diaspora tumeona mabadiliko upokeaji maombi ya pasipoti ila Sasa maafisa wachache wamekalia maombi bila kutoa pasipoti

    Mara mwisho nikiwahi kuleta Uzi hapa kuishauri Uhamiaji iache kuwarudisha waombaji wa pasipoti bila kuwapokea Jambo lililopelekea vishoka nje ya ofisi zao kushirikiana na maafisa kushawishi ndipo maombi yapokelewe. Vijana wengi na watu wengi tulionao kwenye group la WhatsApp na tunaojadili nao...
  10. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Wale wachache wanaotaka nchi isitawalike kwasababu ya kukosa madaraka hatutawapa nafasi

    ..Dah!! ..Sijui Afande Sirro amewalenga kina nani ktk kauli hii.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wachache watamtambua. From nothingness to greatness, what a miracle!!!

    Katika kipindi chake aliheshimu katiba na alikuwa na uvumilivu. Hakuwahi kujikweza na kutisha wengine kwa kusema "usicheze na mimi". Aliwathamini hata wenye mawazo tofauti. Alithamini na kujenga usawa miongoni mwa aliyo waongoza. Ni nani huyu kwenye hii picha.? Hapa ni kipindi ambacho hata...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wakubwa wachache

    OLIGOPOLY Kwanza neno oligopoly limetoka kwenye maneno mawili ya ki latin maana yake ni wauzaji wachache. Sifa za Oligopoly: 1.Ugumu wa kuingia kwenye hili soko Kutokana na mtaji wake kuwa mkubwa, vibali kuwa vingi nk Mfano: Biashara ya usafiri wa ndege, mtaji wake ni mkubwa, vibali na...
  13. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia Suluhu kukutana na Tundu Lissu. Watanzania hatutaki uadui unaosababishwa na wanasiasa wabinafsi wachache

    Nimefurahishwa na taarifa rasmi iliyotolewa na serikali kupitia Afisa habari wa kurugenzi ya mawasiliano Ikulu Bi. Zuhura Yunus, kwamba Mh. Rais wa JMT, Bi. Samia Suluhu Hassan akiwa ktk ziara ya kiserikali nchini Ubelgiji amekutana na Mwanasheria, mwanaharakati, mwanasiasa machachari na makamu...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kuanza kuzalisha ndege za watu wachache

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema kipo hatua za mwisho za majadiliano na kampuni ya Skyleader yenye makao makuu nchini Czech ili waje kuwekeza nchini Tanzania. Skyleader ni kampuni inayotengeneza ndege ndogo za wazi ambazo huwa na siti moja hadi mbili. Kampuni hiyo inaweza kuanza...
  15. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Leo rasmi nawasanua watanzania. Tupo wachache sana tunaofahamu hili jambo

    Ndugu watanzania! Leo naandika hili na leo ndio mwisho wangu kuandika hapa JF, sio kwa ubaya bali kwa ridhaa yangu mwenyewe. Kuna mambo matatu makubwa: 1. Ukiona matatizo yoyote yaliyopo TANZANIA fahamu kuwa huo ni mradi wa watu wakubwa wachache. Mfano: Ukiona urasimu, ukiona maisha duni ya...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape hii kauli yako imetufikirisha na kutuchanganya mno 'Werevu' wachache nchini, hebu ifafanue tafadhali

    "Kama Waziri wa Sekta hii ya Habari nimeagiza kufanyike Uchunguzi wa Kina ni kwanini kwa Siku za karibuni kila kukitokea tu Ajali zinazohusisha Misafara ya Viongozi nchini Gari zinazohusika ni zilizobeba Waandishi wa Habari na Wao ndiyo hufa kwa wingi" Waziri wa Habari Nape Nauye. Kamarada...
  17. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Jenerali Venance Mabeyo miongoni mwa Wazalendo wachache kuwahi kutokea jeshini

    Kupitia hafla ya kuwatunuku maofisa wa jeshi nishani za miaka 60 ya Uhuru muda mchache uliopita hapo Ikulu nimebaini Jenerali Venance Mabeyo ni mmoja wa wazalendo wa kweli kuwahi kutokea jeshini na serikalini kwa ujumla. Jenerali Mabeyo amezaliwa Julai Mosi mwaka 1955 huko wilayani Magu na...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kujengea makaburi zamani walimudu wachache wengi waliweka alama za miti kwenye makaburi ya wapendwa wao

    Miaka ya hivi karibuni imekua ni wajibu kujengea kaburi. Mpaka miaka ya 60, si wengi walimudu gharama za kujengea kaburi. Baada ya mazishi mlisubiri mvua na kupanda tawi au shina la mti pale kwenye kaburi. Mvua zikikatika mti unakua umeshaota na kushika. Hii ndiyo alama ya kukumbuka kaburi...
  19. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Wasiokujua kwa utamu wako ni wachache sana

    Hii ni mboga flani tamu sana hasa ikikutana na mpishi anaejua kuipika kwa kuchanganya viungo flan.. JE KWA KABILA Lenu MNAIITAJE HII MBOGA? naanza: lisebho (wangoreme na wakurya)
  20. J

    JamiiForums Tanzania Dalili za Corona ambazo hutokea kwa watu wachache

    Shirika la Afya Duniani limeweka bayana dalili za COVID-19 ambazo hutokea kwa watu wachache. Dalili hizo zinatajwa kuwa ni: Kupata maumivu ya kichwa Kuwashwa kooni Kupata maumivu sehemu mbalimbali za mwili Kuhara Kupata upele kwenye ngozi, au kubadilika rangi kwa vidole Macho kuwa mekundu...
Back
Top Bottom