Ni wazi kwamba ili ushike dola na kuongoza bila wasiwasi unahitaji kuwa na rasilimali watu ya kutosha.
Ila kwa upande wa wapinzani naona Wana watu wachache wenye uwezo wa kiuongozi kuliko CCM kwenye hazina yao.
Nadhani ndiyo sababu hata inawawia ngumu kubadilisha viongozi wao hasa wakuu...
Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa ameamuru Jeshi la Polisi kumkamata na kumuweka mahabusu Mhandisi Alistides Kanyomo wa kampuni ya Mbesso Construction kutoka Jijini Dar es Salaam
Kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya shilingi bilioni tatu za Ujenzi wa mradi wa Maji Katika Bonde la Mwakaleli...
Kumezuka kamjadala uchwala toka kwa waandishi uchwala kueneza habari za kipuuzi kuwa kocha nabi kapewa mechi 2, wapuuzi hawa wanajitahidi kupandikiza hiyo propaganda ili kumuondelea utulivu na kulivuruga benchi la ufundi, hakuna kikao chochote kilichojadili kitu Kama icho nikiwa mmoja wa wat u...
Pamoja na Kwamba CCM imechoka ikachokwa na kuchokekana Lakin wapo baadhi ya vijana na wazee wenye uwezo wa kuongoza japo ni wachache tutajie unao Ona wamebaki mi orodha yangu ni hii
1. Prof Mussa Assad
2. …………..
Club yangu ya Yanga nmekuwa nikiipenda toka mwaka 1980s wengi wakiwa wadogo ama hawajazaliwa.
Nikiwa mwanachama halali mpaka leo hii zaidi ya miaka 40. Naifahamu Yanga kiasi fulani ambacho kinanipa nafasi ya kusimamia ninachoamini pasipo kuyumba.
Nimekuwa mara nyingi nikisema Uhuni ambao...
Tuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi.
Haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili yamepitwa na wakati.
Haiwezekani wengine wachanjwe wengine wakatae waendelee kusambaza maambukizi huu...
Tukubaliane kabisa kuwa CCM imepewa madaraka kuongoza nchi kwa niamba ya watanzania mil 60 bila kujali itikadi zao.
CCM kuwa madarakani sio sababu ya wanaCcm wachache ambao walishakuwa viongozi kujifanya wao na familia zao wanajua sana kupiga madili makubwa na kunufaisha matumbo yao.
CCM kuwa...
Mtume Musa baada ya kuwatoa waisraeli Misri aliua sana. Mungu pia aliua sana, alifikia hatua akataka kuwaua Waisraeli wote akamwahidi Musa akisema nami nitakufanya wewe Taifa kubwa na lenye nguvu kuliko wao. Kwanini? Kwasababu walikuwako "hardliners" na waliobobea waliokuwa wakifaidi makombo ya...
Nimemisi kusikia zile nyimbo za kizalendo na quote za kizalendo kwenye TBC
Mfano kionjo flani tamu kinaimbwagwa hivi:
"Nchi yanguuuh ni urithi wanguuuuh, zawadi ya pekeeeeeeehh, ntaitunzaeeeeeeeeh!"
"Tuchape kazi , tukamenyeke tuijenge nchi yetu tuulinde Uhuru wetu"
"Kila unaponunua kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.