wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Dkt. Tulia Ackson: Mshahara wa Mbunge ni Tsh milioni 4.6 na sio vinginevyo

    Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani. Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000. Ameendelea kudai...
  2. Wananchi wawashambulia wabunge kufuatia adhabu kwa Askofu Gwajima na Silaa

    Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa wananchi wengi hawakubaliani na serikali kwenye suala la chanjo za korona. Huhitaji kufanya utafiti wa kina kujua ukweli wake kwa sababu utapata maoni ya wananchi kwenye video za YouTube katika channel kama Millard Ayo ambazo hazifungamani kisiasa katika...
  3. Ndugai Aanze na "Waheshimiwa" Wabunge kabla ya "Wasomi" Mawakili

    Spika wa Bunge, Job Ndugai, ameeleza "kukerwa" kwake na kada nne kwamba wanajiona ni bora kuliko wengine. Kwa mfano Mawakili, ambao wana utaratibu wa kuitwa "Wakili Msomi" kabla ya kutaja jina. Hoja ya Ndugai ni kwamba iweje Mawakili waitane "Msomi" ambapo wasomi wako wengi tu, siyo Mawakili...
  4. Bunge lisijadili Mitaala ya Elimu, Wabunge wengi wana upeo mdogo

    Leo Bungeni wakati wa maswali na Majibu, Kuna swali lililohusu mabadiliko ya mitaala ya Elimu ili kuendana na hali ilivyo. Naibu waziri wa elimu alikiri kuwa mfumo wetu wa Elimu uliopo haumsaidii Mhitimu kuweza kujiajiri hivyo wapo kwenye mchakato wa kubadilisha Mitaala inayotumika kukidhi...
  5. M

    Wahadhiri wa Vyuo Vikuu na mishahara ya Wabunge na Wakurugenzi Mashirika ya Umma

    Habari wana bodi, nimekuwa nikisoma baadhi ya articles zinazo ongelea mchango wa vyuo vikuu marekani katika uchumi wa taifa hilo especially kutengeneza innovators "silicon valley". Kwa kiasi kikubwa maendeleo ya taifa la marekani yamechangiwa sana na innovations zinazofanywa na taasisi zake za...
  6. Wabunge Wanapokosa hoja za kisiasa wanakimbilia vifungu vya misahafu. Ongezeni ufahamu wa siasa

    Umekuwa mtindo wa kudumu ukisikiliza Bunge unaishia kuambiwa Biblia inasema hivi, Kuruani inasema hivi. Hakuna maneno ya watu mashuhuri au hoja zenye mashiko kisiasa. Hii ni dalili ya kuwa na wanasiasa waliofilisika kisiasa na wanahangika sana na elimu ya dini. Safari hii Spika kaangukia pua...
  7. S

    Mshahara wa Wabunge upunguzwe

    kama utapiga mahesabu na kujua ni kiasi gani wabunge wanatek home hela,basi utaona kwa nini serikali inaingia kwenye ufukara kiasi ya kuleta na kujaza kero kwa mwananchi asie hata na kazi ya maana ,pengine hata akilima mazao yanakauka na jua au kuoza kwa sababu ya mvua zisizo isha,na wakati...
  8. Uchambuzi: Adhabu kwa wabunge Silaa na Gwajima ni funzo kubwa kwa watanzania

    Kwema wakuu? Naingia kwenye hoja moja kwa moja bila kupindisha maneno. Leo tarehe 31/08/2021 bunge la JMT limetoa adhabu ndogo kwa wabunge wawili wa CCM – ndugu Jerry Silaa wa Ukonga na ndugu Josephat Gwajima wa Kawe. Bunge limetoa azimio la kuwasimamisha mikutano miwili ya Bunge. Wengi...
  9. Bunge linasaidia Wabunge kukwepa kodi. Jerry Silaa yupo sahihi kabisa!

    Thrd hizi tunajaribu kudadavua kwa nini Silaa alisema Wabunge hawalipi kodi. Ofisi ya Bunge inasema Wabunge wanalipa kodi, ikimaanisha PAYE. Upande wa pili, Spika akitumia nguvu nyingi sana kumtia adabu Silaa kwa matamshi yake. Nionavyo, ni kweli Wabunge wakisaidiwa na ofisi ya Bunge, wanakwepa...
  10. J

    Wabunge wana misamaha ya kodi? Jerry Silaa hakusema wabunge hawakatwi PAYE

    Binafsi sikushangaa kabisa kumuona Jerry Silaa akiingia na lundo la vitabu na manual zinazoelezea sheria za kodi. Kinachonishangaza ni baadhi ya wadau kumtaka Jerry Slaa kuiweka hadharani salary slip yake ili tuone namna asivyolipa kodi kana kwamba Jerry alisema wabunge hawakatwi PAYE. Swali...
  11. Mchawi wetu wa kwanza ni Mwigulu Nchemba wa pili ni Wabunge na watatu ni...

    Kipindi hiki kimekuwa kigumu kuliko cha Marehemu Magufuli. Tozo na Kodi zimekuwa za kikatili na kinyonyaji sana.hawa watu hawajali kabisa maisha ya maskini. Mwigulu, Wabunge hawa tunawalipia hizi kodi kwa kodi zetu. Mishahara wanayoipata na vipaumbele vyote ni kutokana na kodi zetu. Huyu...
  12. S

    Wabunge tukachanje chanjo ya COVID-19 tusimsikilize Askofu Gwajima tusije kukosa vikao vijavyo

    Kuchanja ni hiyari lakini huna hiyari ya kuambukiza wengine. Ndugu wabunge tusimsikilize Mbunge wa Kawe Askofu Gwajina kuhusiana na chanjo ya Korona , nawashauri nendeni mkachanje mpaka kadi zenu ili muendelee kuwatumikia wananchi katika majimbo yenu ni jambo la kusikitisha kuachia nafasi ya...
  13. Wabunge wasio na huruma waliamua tuwalipie kodi wenye nyumba

    Kwamba kwa nyumba za kawaida tutakatwa buku kila mwezi. Waliopanga kwenye magorofa buku tano. Hivi hawa wabunge ni wawakilishi wa wa wananchi? Hakuna jinsi wacha tuwalipie kodi wenye nyumba.
  14. Bunge: Taarifa za Wabunge wasiopata chanjo kutoruhusiwa Bungeni hazina ukweli

    Bunge limekanusha madai ya Wabunge wasiopata Chanjo kutoruhusiwa kuingia Bungeni, likisema kuchanja ni hiari yao na wanahimizwa kufanya hivyo Imeelezwa, utaratibu umeandaliwa kuwawezesha wapate Chanjo katika Viwanja vya Bunge kwa hiari yao ili wajikinge na kuwakinga wengine
  15. Ushahidi kuwa Elimu yetu haitoshi: Angalia Wabunge na Polisi

    Wabunge na polisi wanapinga kila kitu Cha wapinzani na kuunga mkono kila kitu Cha Serikali. Inawezekana kweli wapinzani wana kasoro zao, lakini wanasaidia nchi kwenye checks and balances hasa kwa vitu vinavyokwenda umiza hata mama zao vijijini. Tanzania hakuna kitu kizuri kuliko wengine zaidi...
  16. E

    Wabunge wawe Wabunge wakaazi

    Mbunge mkaazi maana yake ni Mbunge atakayekuwa akikaa katika Ofisi ya Mbunge Jimboni akikagua Shughuli za Maendeleo katika Jimbo, akisikiliza shida za Wananchi na kufuatilia majibu. Mbunge mkaazi akikaa kwenye jimbo anakusanya takwimu na michango yake Bungeni itategemea takwimu. Shida...
  17. Bunge: Wabunge wanakatwa kodi zote stahiki ikiwemo 'PAYE''

    Taarifa kuhusu Waheshimiwa Wabunge kukatwa Kodi . Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema kama ilivyo kwa Watumishi wengine wa Umma pamoja na Viongozi wa Kisiasa, Wabunge wanakatwa Kodi ikiwemo ya Mapato (paye) inayokatwa kwenye Mishahara yao kwa mujibu wa sheria. Kauli hiyo imekuja baada ya...
  18. Ludovic Uttoh: Kama Kodi ni kwa maendeleo ya Nchi kwanini Wabunge hawakatwi wakati nao wanalipwa Mshahara kama wengine?

    CAG Mstaafu, Ludovic Uttoh amesema hakuna sababu za kwanini Wabunge wa #Tanzania hawalipi Kodi licha ya kwamba wana Mishahara kama walivyo Watumishi wengine wanaokatwa Kodi. Uttoh amesema "Siku zote msingi wa Kodi ni Usawa na wala kodi haitakiwi kuwa na Matabaka. Ikiwa tunasema tunalipa Kodi...
  19. Sanga mbunge wa Makete ni Mwalimu wa wale Wabunge wa kipindi kimoja

    MHE SANGA ANAJARIBU KUWAFUNDISHA WABUNGE WA MUDA MFUPI. Na Elius Ndabila Ninawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni muda muda kidogo sijaandika kama nilivyokuwa nafanya mwanzo. Yapo majukumu ambayo yamenibana nakosa nafasi nzuri ya kuwa kwenye social network kama hizi...
  20. Ushauri: Idadi ya Wabunge ipungue ili kupunguza gharama za mishahara na kuwahudumia

    Tanzania haihitaji watu wengi kwenye bunge. Kinachohitajika ni mawazo sio wingi wa wabunge bungeni. Huwa nafundisha kila siku na nitaendelea kufundisha kwamba dunia huongozwa na mawazo haiongozwi na wingi wa watu. Tukipunguza idadi ya wabunge bungeni tutaokoa fedha nyingi sana ambazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…