wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mshituko:! Wabunge na Maseneta wateule kutoka vyama mbalimbali waanza kuunga juhudi chama tawala (UDA)

    Huwezi amini nchini Kenya toka Jana kuna utitiri wa wabunge wateule kutoka vyama mbali mbali kikiwemo na chama Cha Raila Odinga wameanza kuunga juhudi Kwa Kasi ya 5g.. Soma hapa zaidi: Today and Yesterday was a Busy Day for KENYA KWANZA MPs Who Have Joined Kenya Kwanza 1. Nambale Constituency-...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai yamemkuta, Wabunge kumpeleka Mahakamani

    Jina la Mbunge na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai limeonekana katika Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, leo Agosti 13, 2022.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge gani katika bunge letu la sasa tunaweza kumpa shida/tatizo au siri na akatusaidia kwa hoja, kama ilivyokuwa awali?

    Heshima kwema JF Moja kwa moja kwenye hoja, zamani wananchi walikuwa wanaibua uozo uliko ndani ya wizara, mkoa, wilaya, Idara au hata mashirika ya umma kwa kutoa siri ya kinachoendelea kwa wabunge wa upinzani iliwanjenge hoja na kulisidia taifa kutokana hali hiyo. Rejea Richmond, chuo cha KIU...
  4. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama za maisha, wabunge mmetufikisha hapa!

    Mbunge anapewa mafuta kwa ujazo, hajawahi nunua kwa fedha yake, maposho posho kibao. Halipi kodi, hakuna performance rating akiwa anawahudumia wananchi. Sasa ni wakati gani atahisi[feel] vile mwananchi wa kawaida anavyohisi ukali wa maisha?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Tabora wamvaa Januari Makamba tatizo la umeme

    Mbunge wa Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka amesema pamoja na mambo yote yanayofanywa na Wizara ya Nishati lakini wananchi wa Tabora wanataka umeme. "tuongeee yote wanataka kuona umeme ni umeme ni umeme Naye Mbunge wa Urambo, Margareth Sitta amesema nishati ya umeme kwa wananchi ni uchumi na ni...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi Mzigo Umekata, Aziza Kazimaliza zote Boss hakutoa Hela, ila Wabunge ndiyo walichangishana Kuokoa Jahazi

    Na Wabunge waliojichangisha wamesema wanataka 'Siku ya Wananchi Wapuuzi' tarehe 6 August 2022 warejeshewe Pesa zao vinginevyo watalikamata Basi au watagawana Makombe yote yakakae Kwanza Makwao hadi walipwe Chao.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Urusi waishutumu ukraine kutumia wanajeshi waliotengenezwa maabara na Marekani

    Wabunge wa URUSI wamelalamika juu ya operesheni maalumu nchi Ukraine kuwa ngumu kutokana na UKRAINE kutumia wanadamu wasiokuwa wa kawaida- Superhumans- ambao wamekuwa modified kwenye maabara za siri nchini Ukraine na marekani. Madai haya yanafuatia tuhuma za Urusi na China juu ya kuwepo maabara...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Sri Lanka: Bunge lampitisha Ranil Wickremesinghe kuwa Rais

    Usalama umeonekana kuimarishwa eneo la Bunge wakati Wabunge wakijiandaa kupiga Kura itakayoamua nani atakuwa Rais wa Nchi hiyo. Rais wa Mpito wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ni miongoni mwa wagombea watatu wa Urais Wananchi wengi wameonekana kutomuunga mkono Wickremesinghe ambaye awali...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali itafanyia kazi ushauri na miongozo ya Wabunge

    Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na wadhifa wake mkubwa alionao kwa Taifa letu anaheshimu mawazo ya Wabunge na kusema atafanyia kazi miongozo na ushauri wa Wabunge. Hongera SSH kwa spirit hii ya kuwasikiliza viongozi wenzako
  10. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabunge Viti Maalum Bungeni

    MADAI Taarifa zinaenea mitandaoni kuwa CHADEMA watapeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukua ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Zaidi ya hayo inadaiwa Bunge litaridhia Halima Mdee na wenzake kuondolewa bungeni baada ya kikao cha Baraza kuu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua majina ya Wabunge Wajumbe wa Kamati ya Nishati wanaoitwa wapuuzi kwa kuhoji kuchelewa kwa Bwawa la JNHPP na tatizo la kukatika kwa umeme

    Wana bodi siku ya jana kulizuka mjadala mkubwa wa kitaifa humu ndani kuhusiana na kauli nzito ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba ya kuwaita wabunge wajumbe wa Kamati ya Nishati ni wapuuzi kwa kuhoji suala la kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na tatizo la kukatika kwa umeme mara...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Shaka akagua miradi Pemba, aahidi CCM itawalinda Wabunge ,Wawakilishi na Madiwani

    SHAKA AKAGUA MIRADI PEMBA, AAHIDI CCM ITAWALINDA WABUNGE ,WAWAKILISHI NA MADIWANI. KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amekagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kisiwani Pemba na kuwahakikishia wananchi kuwa Chama kitaendelea kuwalinda...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wabunge wengi Tanzania ni Vilaza, weupe sana vichwani

    Hapa Ndipo unaona Umuhimu wa Kua na Kiongozi Mkuu wa Nchi mwenye Akili kama Hayati, Mwanasayansi na Mzalendo wa kweli. Bunge tulonalo limejazwa na Watanzania wengi Vichwa maji, Vitunguu maji kabisa, Mbunge anasimama kuongea unaona kabisa huyu kichwan mweupe. Na Kwa sababu ya upeo wao Mdogo...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaweka pingamizi dhidi ya akina Mdee kuendelea kuwa wabunge wakati kesi ya msingi ikiendelea

    Kesho mahakama inatarajiwa kusikiliza pingamizi lililowekwa na CHADEMA dhidi ya Halima Mdee na wenzake 18 kufuatia maombi ya amri ya muda ya mahakama kuzuia Tume ya Uchaguzi na Spika kuwavua ubunge. Wabunge hao wanaomba ridhaa ya kufungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wao.
  15. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Awamu ipi ilianzisha kuwalipa Wabunge kwa kuja Bungeni?

    Ningependa tu kufahamu kama kuna mwenye kuelewa, ni Rais yupi alianzisha huu mtindo wa kumlipa Mbunge kwa kuja kwenye kikao cha Bunge laki 3/siku sijui wanapata. Je, ni tangia Nyerere, Mwinyi, Mkapa au Kikwete ?
  16. K

    JamiiForums Tanzania Taja Wabunge 10 bora katika Bunge la Bajeti 2022, waliobeba hoja nzito za Wananchi

    Bunge la Bajeti liko ukingoni kumalizika ni wabunge gani tunawapa nafasi kumi bora kwa kuwakilisha vema na kubeba hoja zenye maslahi mapana kwa taifa letu
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kama mitandao ya kijamii ingekuwa inapiga Kura basi CHADEMA ingekuwa madarakani vinginevyo acheni CCM itawale

    Habari JF, Hivi kama watu, hasa vijana hampigi kura nini mnategemea? Katika Uchaguzi mkuu wa 2020 watanzania waliojiandikisha kupiga Kura ni milioni 29.8 , lakini ambao hawakupiga kura ni milioni 14.8. Sasa kama watu milioni 14.8 hawakupiga kura, si ndio hawa wanaojaza mikutano ya CHADEMA na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Suala la Wabunge 19 ni la kupuuzwa. Tunatolewa kwenye mijadala muhimu kwa Taifa

    Hivi hawa wabunge waliofukuzwa na CHADEMA wakifukuzwa bungeni na kuingia wengine 19 ,Taifa kama Taifa tunafaikaje ? Hivi Nguvu na akili tunazopeleka huko kwa hawa wabunge hatuwezi tumia kujadili mambo mengine ya Msingi ? Kama Spika wa Bunge na serikali kwa Ujumla hawaoni umuhimu wa kulimaliza...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakili wa kina Halima Mdee aelezea kwanini Spika hajawaondoa Bungeni Wabunge hao wa Viti Maalum

    Wakili Edson Kilatu anayesimamia suala la Halima Mdee na wabunge wenzake 18 amenukuliwa akisema: “Baada ya kesi ya wateja wangu Halima Mdee na wenzake kutupwa, tulirudi kufanya marekebisho, alfajiri ya jana (Juni 23, 2022) tukawasilisha nyaraka Mahakamani kwa njia ya mtandao, hivyo Spika...
  20. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni siasa za kiswahili na kutafuta public sympathy. Mlitaka spika Tulia aongelee nini? Kila kitu kipo wazi Halima na wanzake ni wabunge

    Acheni kuwa mnaongea pumba bana 👇
Back
Top Bottom