wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania 2025 ni Samia tena, ila kwa Bunge lenye wabunge hawa haitasaidia kitu

    Kuna kila sababu ya kuendelea na Rais SSH 2025, sababu ana mipango na miradi mingi ya kuikamilisha. Tatizo ni kwa hili Bunge halimsaidii sana mama Samia bado wana mawazo ya CCM ya zamani kwamba kitu kikishaletwa na Rais au Waziri ni cha kupitisha tu wengine hawajisumbui hata kufuatilia mijadala...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wabunge wataka wahitimu wakopeshwe kwa vyeti vyao

    Serikali imesema inaangalia uwezekano wa kutumia vyeti vya wahitimu wa vyuo vikuu nchini kama dhamana ya kuwapa mikopo mbalimbali ya kuwawezesha kujiajiri na kuajiri wengine. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga, aliyasema hayo bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la...
  3. Championship

    JamiiForums Tanzania Siku nyingi sijasikia wabunge na madiwani wakiunga mkono juhudi na kuhamia CCM

    Tangu mwezi March 2021 sijasikia zile harakati zikiendelea kwa siku za hivi karibuni. Japo wabunge wa upinzani ni wachache lakini hakuna hata mmoja wa kuunga juhudi?
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Baadhi ya wabunge wa Urusi bila uwoga waanza kukosoa hivi vita na kuagiza vikomeshwe

    Wadai taifa linazidi kupoteza wanajeshi na watoto wao wamebaki mayatima kwa vita ambavyo havina tija yoyote
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge nao walipwe pension kwa kikokotoo cha asilimia 33%. Kama Rais Samia unaona hicho ndio kinachofaa, basi kifae kwa wote!

    Kuna mambo mengine huwa yanakera sana!! Kama Rais Samia anaamini kwa dhati IMANI ya CCM kuwa binadamu wote ni sawa na kuwa kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake, inakuwaje akaona kuwa watumishi wengine wanastahili mafao kwa kikokotoo cha asilimia 33% wakati wabunge...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Baada ya mishahara na posho za wafanyakazi kuongezwa, sitashangaa kuona mishahara na posho za wabunge nazo zikiongezwa

    Wakati mishahara na posho za watumishi wa umma zikiongezwa, akili yangu inaniambia wakati wowote sasa au baade kidogo, tutanza kuona au kusikia habari ya wabunge kuogezewa posho na mishahara.. Hoja inaweza kuanzishwa na wabunge wenyewe au serikali yenyewe ndio ikfanya hivyo na hii itakuwa ni...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Nimecheka sana, kumbe wabunge ni weupe hivi!

    Leo nikawa nasikiliza Bunge, kwanza wakavuruga ratiba na kuweka session ya kumpongeza Rais Samia kupata tuzo kila mmoja akawa anampamba anavyoweza, kama ungekuwa humjui wanaemsifu haki ungejua malaika ameshuka. Mjadala wa kutumia kodi zetu kufanya hivyo niache kila mtu auamue moyoni anavyopenda...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Double Standard bila soni: Mbatia kutojihusisha na NCCR hadi itakapoamuliwa vinginevyo, Wabunge 19 kujihusisha hadi itakapoamuliwa vinginevyo

    Msajili wa vyama vya siasa amebariki uamuzi wa Mbatia na Sekretarieti yake yote KUTOJIHUSISHA na siasa ndani ya NCCR Mageuzi hadi itakapoamuliwa vinginevyo (yaani endapo wataenda mahakamani), Lakini tukija upande wa wabunge wa Covid 19, wenyewe wataendelea KUJIHUSISHA na siasa ndani ya CHADEMA...
  9. goroko77

    JamiiForums Tanzania Mbuge Flatei Massay apiga sarakasi Bungeni kuonesha kulalamika kuhusu ahadi anazopewa kila mara bila kutekelezwa, afanya marejeo ya sauti za mawaziri

    Mbuge wa Mbulu ameoneshwa kukerwa hadi kuamua kupiga sarakasi bungeni bila kujali uwepo wa spika Ni sawa mmbuge kupiga sarakasi au mweleka kuonesha kukerwa na ahadi zizizo tekelezeka? === Kuruka sarakasi kwa mbunge Flatei ni jambo analotamani kulifanya mara nyingi, Mei 17, 2021 pia alipokuwa...
  10. Etwege

    JamiiForums Tanzania David Silinde: Wabunge acheni kutumia hela za mfuko wa jimbo kununulia samani zenu

    Dodoma. Serikali imeeleza kuwa fedha za mfuko wa majimbo zipo kwa ajili ya kuchochea maendeleo ya wananchi na sio za kununulia samani za ofisi za wabunge. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu Mei 23, 2022 bungeni na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), David Silinde ambaye amesema kuwa...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia akemea Wabunge wanaotangatanga na kupiga kelele wakati Bunge likiendelea

    Spika wa Bunge, Tulia Ackson ametoa onyo kwa Wabunge ambao hawafuati utaratibu wanapokuwa Bungeni ikiwemo kupiga kelele na kuzungukazunguka ndani ya Bunge pasipo kufuatilia kinachoendelea. “Tufuate kanuni zetu na utaratibu humu ndani ikiwa pamoja na kanuni ya 73 inayozungumzia staha ndani ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali Serikali ijiheshimishe kuhusu wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA

    Kila mmoja anajua figisu figisu kuhusiana na wabunge hawa 19 almaarufu kama wabunge wa covid 19. Ni fedheha sana kuona jinsi sheria na kanuni zikipindishwa ili tu kuoneshana ubabe juu ya jambo ambalo liko wazi! Hii fedheha kwa serikali, bunge na inaelekea pia mahakama huenda ikashiriki...
  13. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa COVID 19 na Hatma ya serikali ya awamu ya sita na kufeli KWA TISS 2020!

    Wakuu Baada ya uchaguzi mbovu wa 2020,kulijitokeza dosari kubwa Sana ya uundaji wa serikali KWA mihimili mitatu hasa wa Bunge ambao ulikosa UHALALI wa kisheria KWA kukosa wapinzani wakutosha Bungeni. KWA kutambua hilo UHUNI ulifanyika KWA mara ya pili KWA KUINGIZA wabunge ambao hawana baraka za...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Wabunge wa EALA 2022

    Nashauri upatikanaji wa Wabunge wa EALA Tz tuzingatie umakini, haki na weledi. Tukiendekeza tabia za wajumbe tumepata hasara. Sasa hivi desturi ya dunia hii ni kunyang'anyana fursa. Kama tutapeleka Wabunge wasio na sifa za weledi hakika tutapoteza. Sasa hivi baada ya uchaguzi wa Kenya...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo awakosoa CHADEMA juu ya kuwafukuza wabunge wa viti maalum

    Mbunge wa Ubungo Kitila Mkumbo amekosoa hatua ya CHADEMA ya kuwafukuza wabunge 19 wa viti maalumu walioteuliwa kwa tiketi ya chama hiko. Amesema "Inaogopesha kuona njia pekee ya CHADEMA kutatua migogoro ya ndani ni kufukuzana. Duniani kote vyama vya upinzani vinaongoza kuwa na utamaduni wa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ni nini hatma ya Pesa zetu zilizotafunwa na zinazotafunwa na Hawa wabunge 19? Watanzania tumefanywa wajinga kiasi hiki?

    Nimewaza sana hivi sisi watanzania ni wajinga kiasi hiki ,Tunakatwa kodi na Tozo ,tunaishi maisha magumu ili kulisha Wanasiasa ? Ni takribani miaka 2 sasa tangu wabunge wa CHADEMA wanao daiwa kuingia bungeni kinyume na utaaratibu kuwepo bungeni . Pesa zetu zinapigwa CHADEMA wamechukua zaidi ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Hivi wabunge wanaovuliwa Ubunge mikopo yao hulipwa na Serikali au hukatwa kwenye malipo yao ya kiinua mgongo?

    Hili ndio swali ninalojiuliza hasa ninapotafakari nguvu kubwa inayotumika kuwalinda Halima Mdee na wenzake baada ya chama chao kuwavua uanachama. Kama wamechukua mikopo(bila shaka wamechukua), mikopo hiyo italipwaje iwapo watasitishiwa ubunge wao na ukizingatia wako wengi na mikopo ya wabunge...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA

    Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa uanachama na Ubunge wao....
  19. B

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Wabunge Baada ya Tume ya Watumishi wa Umna (SRC) Kupunguza Mapato yao

    14 May 2022 Malalamiko Ya Wabunge Baada Ya SRC Kupunguza Mapato Yao Ikiwemo Posho Za Vikao Vya Bunge kufutwa WABUNGE wamelalamikia hatua ya Tume ya Kukadiria Mishahara na Marupurupu ya Watumishi wa Umma (SRC) kuondoa au kupunguza marupurupu ambayo wamekuwa wakipokea. Aidha, wamekerwa na hatua...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
Back
Top Bottom