Wanabodi
Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge imetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukio yaliyo ainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba, uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowote wakati wa...
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za kwa maslahi ya taifa, Chadema ni chama cha Kitaifa hivyo haya yanayoendelea ndani ya Chadema katika huu mgogoro wake na wabunge wake 19 wa viti maalum, una athari za Kitaifa zenye maslahi kwa taifa.
Hoja yangu ya leo...
Je, ni kweli uongozi wa Chadema hawakutoa baraka kwa wanaoitwa covid-19 kwenda bungeni?
Je, ni kweli walienda bila uongozi kuwateua?
Kama ni kweli inakuaje hawa waliondoka bila wenza wao kujua?
1. Bensoni Kigaila(Kiongozi wa chadema) mke wake ni mmoja wa wanaoitwa covid -19, je alimtoroka mme...
Sema tu nao wameonyesha kumbe maandamano ya amani yanaruhusiwa.
Lakini sioni lolote litakalofanyika kama zao au majibu kwa akina mama hao kwani kama Mbowe anayeingia Ikulu mara kwa mara kashindwa ndio wawe Bavicha.
Ni vema tu Chadema waendelee kuimarisha Chama chao kuelekea 2025 na wamachame...
Leo hii kina mama wa cdm maarufu kama Bawacha wameandamana kuujulisha umma dhidi ya hujuma za covid 19.
Naamini kama watatokea wakashitakiwa kiukweli kabisa kabisa na haki ikatendeka basi hawa kikombe cha uhujumu hakitawaepuka.
Wadau hamjambo? Nadhani kupokea posho au mishahara ukiwa huna sifa za kazi yako ni wizi.
Ndio maana watumishi wa vyeti fake yaliwakumba na kufukuzwa kazi na ripoti ya CAG ilionesha kiasi gani cha fedha za umma zilipotea na kuokolewa baada ya kuwafukuza.
Nimeshangazwa na Ripoti ya CAG...
Wadau ni ukweli usiopingika kwani katiba iliyopo ipo wazi juu ya mbunge kupotexa ubunge wake na moja ya sababu ni kufukuzwa ktk chama chake. Suala la kuutetea uanachama wake ni jukumu lake lakini anautetea uanachama wake akiwa tayari kaondolewa bungeni.
Kitendo cha Hayati Magufuli na Spika...
Ile kesi iliyofunguliwa na Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA, wakiongozwa na Halima Mdee, inaendelea leo Mahakamani.
Wajumbe wa bodi ya Wadhamini ya Chadema, Dkt. Azavel Lwaitama na Ruth Mollel watahojiwa.
Tuendelee kubaki hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi.
Freeman Mbowe huwa anahubiri mambo ya kusema kweli na maridhiano wakati yeye si mkweli na hatabiriki misimamo yake kwani anauwezo wa kubadili gia angani haraka sana ili mradi kuwe na pesa mbele yake.
Alifanya hivyo wakati anauza chama kwa Lowasa na amefanya hivyo tena wakati anaanza kupokea...
Kuna Tetesi kwamba Mh Rais alijaribu kushawishi Chadema kuruhusu Wabunge waliofukuzwa ndani ya chama hicho kwa usaliti waruhusiwe kuingia kwenye kongamano la Bawacha.
Mtoa taarifa hiyo anadai kwamba Viongozi wa Chadema walikataa jambo hilo na kumuambiwa Mh Rais kwamba Jambo la Wasaliti hao...
Kesi Halima Mdee vs CHADEMA imeendelea leo
November 4,2022 hapa mahakama kuu jijini Dar es Salaam
Mbele ya Jaji Cyprian Mkeha.
Jaji anaingia Mahakamani muda huu saa 10:10 Asubuhi hii!
Watu wote hapa Mahakamani tunasimama....!!
Karani wa mahakama:
Kesi namba 36/2022
Halima James Mdee na...
Mvutano mkali umeibuka baina ya Kiongozi wa jopo la mawakili wa Chadema, Peter Kibatala akimhoji mlalamikaji wa 11, Hawa Mwaifunga katika kesi ya wabunge 19 wa Viti Maalumu waliofukuzwa uanachama na chama hicho.
Mvutano huo umetokea wakati Kibatala akimhoji Mwaifunga kuhusiana na muhtasari wa...
Mzungumzaji kuu ni Mhe. Salimu Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho ambaye anaelezea maamuzi ya kamati kuu iliyoketi Septemba 17-18, 2022
Kamati kuu imeitaka Serikali kupeleka muswada wa kufuta sheria mpya ya tozo ambayo imekuwa mzigo mkubwa kwa watanzania.
Serikali ije na mpango madhubuti...
Habari Jf, nimefuatilia baadhi ambazo zinakuwa zikirushwa mubashara kuna kitu fulani kinaongezeka katika kuonyesha haki inatendeka.
Itapunguza mambo mengi kufichwa na udanganyifu. Mtu akisema mimi nafanya kazi central au naishi Morogoro maana yake kuna watu wengi watamuona kwa sura na itasaidia...
Kuna wakati huwa namuelewa sana Rais Putin wa Russia
Haya mambo ya Demokrasia ni kudanganyana tu hayana uhalisia wowote
Ndio sababu nilimkubali sana yule Magufuli wa CCM mpya
Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Habari JF,
Hivi kama watu, hasa vijana hampigi kura nini mnategemea? Katika Uchaguzi mkuu wa 2020 watanzania waliojiandikisha kupiga Kura ni milioni 29.8 , lakini ambao hawakupiga kura ni milioni 14.8.
Sasa kama watu milioni 14.8 hawakupiga kura, si ndio hawa wanaojaza mikutano ya CHADEMA na...
Hivi hawa wabunge waliofukuzwa na CHADEMA wakifukuzwa bungeni na kuingia wengine 19 ,Taifa kama Taifa tunafaikaje ?
Hivi Nguvu na akili tunazopeleka huko kwa hawa wabunge hatuwezi tumia kujadili mambo mengine ya Msingi ?
Kama Spika wa Bunge na serikali kwa Ujumla hawaoni umuhimu wa kulimaliza...
Kesi ya Halima Mdee na Wenzake imerudishwa tena Mahakama kuu baada ya Kurekebisha makosa yaliyokuwepo awali na yaliyopelekea kasi hiyo kutupiliwa mbali.
Upigaji wa kura kwa bajeti ya 2022/2023 unaendelea Bungeni ambapo wabunge wote wa CCM wamepiga kura ya ndio huku wa CHADEMA na ACT wakisema hawana maamuzi
Najiuliza ni kwanini hawaoneshi shukrani kwa Serikali ya CCM iliyowaweka na kuwalinda Bungeni?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.