Ni Wazi sasa hawa Vijana wamechoka. Kenani Kihongosi DC wa Iramba ateuliwa kuwa Katibu Mkuu UVCCM. Yule Msanii aliyekua Arusha wananchi wakamlalamikia.
====
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Kenani Kihongosi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)...
Friends and Enemies, Greetings!
Hatuwezi endelea kuishi katika kivuli cha lawama kwa mwendazake hasa katika mambo ambayo yeye aliyafanya huku akiamini kwamba huenda alikuwa anaijenga Tanzania ya ndoto yake.
Binadam tumeumbwa kusahau, ila kama nchi tutakuwa tunafanya makosa sana kusahau japo...
Hakika nichukue nafasi hii kukupongeza kwa hatua mbalimbali ulizochukua na unazochukua kurekebisha mambo ya nchi yetu.
Kubwa nililotaka kukushauri ni hili la wabunge 19 waliofukuzwa na Chadema kuendelea kuwa bungeni na kulipwa mishahara ambayo ni kodi za masikini wa nchi hii.
Rais Samia...
Kwa hali Kisiasa ilivyo, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kinatakiwa kifanye Mambo yafuatayo ili kiweze KUSIMAMA na kurejesha ushawishi wake Kama ilivyokuwa kabla 2015.
1. Achaneni na Magufuli
Ukifuatilia hotuba zako nyingi nikama Magufuli Yuko Madarakani. Agenda za mikutano yao imebeba...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amewataka wabunge 19 wa viti maalum waliokuwa wanachama wa chama hicho waliopo bungeni, kujitokeza hadharani kuomba radhi badala ya kuwatumia watu kuwaombea msamaha.
Heche ametoa kauli hiyo leo Mei 31, 2021...
Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika amesema ni miezi 5 imepita tangu amwandikie mkurugenzi wa uchaguzi NEC akitaka kujua ni nani alipeleka orodha ya majina ya akina Halima Mdee na wenzake na form zao zilisainiwa na nani pahala alipotakiwa kusaini Katibu mkuu.
J J Mnyika anashangazwa sana na...
Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19 waliotimuliwa na CHADEMA sio wabunge halali.
Ndugai, akonekana mwenge wasiwasi na aliyepoteza...
Bawacha wamepanga kwenda Bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za Ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .
Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea Bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane...
DRAMA linaanza hivi;
Ndugu wana bodi JF, ikumbukwe kuwa mara baada ya uchaguzi 2020, CHADEMA hawakuridhishwa na mwenendo wa mchakato mzima wa uchaguzi na walitoa msimamo wao wa kutokuyatambua matokeo ya uchaguzi ule, hii ilipelekea kutoa tamko hadharani na kuwaagiza wale waliokuwa wameshinda...
Hotuba ya Susan Kiwanga, Mjumbe wa Kamati Kuu
Tarehe 20 April 2021 Naibu Spika alitoa kauli Bungeni kwamba ofisi ya Spika haikuwa na taarifa rasmi ya CHADEMA kuhusiana na kuvuliwa uanachama kwa waliokuwa wanachama wake 19.
Ibara ya 67 (1)(b)ambayo imeweka masharti na sifa za mtu kuteuliwa kuwa...
Spika wa bunge mh Job Ndugai hana tatizo na wabunge wa viti maalumu wa Chadema akina Halima Mdee na wenzake bali anachotaka ni utaratibu wa natural justice kufuatwa.
Kwa mujibu wa katiba ya Chadema Baraza kuu ndio lenye maamuzi ya mwisho ya kumvua mtu uanachama endapo hajaridhika na utaratibu...
Kama itakumbukwa kupitia walioitwa wabunge 19 wa CHADEMA baada ya kufukuzwa uanachama, kumetokea sintofahamu inayowachanganya watanzania kutokana kauli za viongozi hawa wawili Spika wa bunge na Naibu wake.
Alisikika Naibu Spika akisema kua wabunge wale ni halali na kuwataka wabunge kuacha...
Bila aibu wala kuona soni unadiriki kusema kuwa ili uamini kuwa hao akina Mdee na wenzake 18 lazima upewe muhtasari wa kikao kilichowafukuza? Mbaya zaidi unaongea bila aibu kuwa ili wewe upate uthibitisho kuwa hao akina Mdee walifukuzwa unataka uthibitisho kuwa natural justice ilizingatiwa. Hivi...
Miezi zaidi ya mitano sasa inaelekea huku kukiwa na mvutano baina ya CHADEMA na Wanachama wake 19, walio Bungeni kwa sasa.
Chama hicho kila kinapojitokeza hadharani kinaeleza kuwa Wanachama hao wamefukuzwa hivyo hawana sifa ya kuwa wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano.
Wanasema sababu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.