Kesi ya Halima Mdee na Wenzake 18 leo Machi 9, Dkt. Azavel Lwaitama kuhojiwa Mahakamani

Huyo Babu amelelewa na Serikali mpaka kazeeka ndio anaanza kuipinga serikali! Yaani kichekeaho, mtu kaishi miaka sabini akila mshahara, Yuko katika umri wa bonasi ndio anajifanya kujua.

Na alikuwa analipwa vizuri kiasi kwamba nyumbani kwake alikuwa anatoa mgao kwa watoto, house girl anapika inapobidi.

Kijijini kwao hajasaidia lolote la maendeleo hata kujenga shule ya nursery.

Atakumbukwa na Bashiru Ally Kakurwa kwa kuwa katika kitivo Chao, waliunda alliance ya wahadhiri wahaya ambao walikuwa wanampa maksi nzuri awe retained, na kweli Bashiru alibakizwa UDSM kama mhadhiri. Lakini Bashiru akiwa Katibu Mkuu wa CCM ya jiwe, Lwaitama akalala rumande!

N.B: jukwaani maneno meeengi, pale chuo walikuwa wanapokezana kubakiza wahaya kama lectureres, Kila Prof anachagua mtu wake, anawapa signal wahaya wenzake, wanakuwa na kazi ya kumjazia maksi tu, mkabila wa hali ya juu.

Ndio Siri ya Kabila fulani kujaa pale UDSM
 
Nikajua maridhiano yameshapenya hadi huku kumbe bado!!?
kuna wajinga wa uvccm na sukuma gang juz walijaza server ya jf kuwa wale malaya 19 wangehudhuria mkutano wa jana cha kushangaza wote wametoweka hakuna hata mmoja aliyeleta mrejesho juu ya kuhudhuria kwao hao malaya na leo DR. PhD LWAITAMA anawagalagaza maana hao mawakili wa hao malaya maswali yao ni predictable so it will be enjoyable to answer.
 
Mkuu, umepewa asali ya Tabora au Singida?
 
Ruzuku mmebeba ila zao lingine la Uchaguzi mmelikimbia

Wanafiki bana…

Ucahguzi wa 2020 mlisema ni feki ma sio uchaguzi na kura za urais ilikua feki sasa mnapokeaje ruzuku ya zuluma
Hiyo Ruzuku kwani wameiomba? Kuna wakati uliwasikia wakiidai hiyo ruzuku? Nenda kamuulize anaye wawekea kwenye account yao.

Na kama wangekuwa wana shida na hiyo au wangekua wanaichukua hiyo ruzuku unadhani wangeendelea na msimamo wa kutowatambua? Mbona hilo suala logic yake ni ndogo sana wala halihitaji akili kubwa, ndio maana wenye akili ndogo ndioo mmekomaa mkilishupalia
 
Huyo Babu amelelewa na Serikali mpaka kazeeka ndio anaanza kuipinga serikali! Yaani kichekeaho, mtu kaishi miaka sabini akila mshahara, Yuko katika umri wa bonasi ndio anajifanya kujua.

Na alikuwa analipwa vizuri kiasi kwamba nyumbani kwake alikuwa anatoa mgao kwa watoto, house girl anapika inapobidi.

Kijijini kwao hajasaidia lolote la maendeleo hata kujenga shule ya nursery.

Atakumbukwa na Bashiru Ally Kakurwa kwa kuwa katika kitivo Chao, waliunda alliance ya wahadhiri wahaya ambao walikuwa wanampa maksi nzuri awe retained, na kweli Bashiru alibakizwa UDSM kama mhadhiri. Lakini Bashiru akiwa Katibu Mkuu wa CCM ya jiwe, Lwaitama akalala rumande!

N.B: jukwaani maneno meeengi, pale chuo walikuwa wanapokezana kubakiza wahaya kama lectureres, Kila Prof anachagua mtu wake, anawapa signal wahaya wenzake, wanakuwa na kazi ya kumjazia maksi tu, mkabila wa hali ya juu.

Ndio Siri ya Kabila fulani kujaa pale UDSM
Perembele nyiingii, eti kalelewa na serikali. Kwani alikua ni mfungwa huyo hadi useme amelelewa na serikali.
Unataka ajenge nursery, kwani hilo ni jukumu lake?
Hata wasio na vichwa hawawezi kutumbuka utumbo kama wewe
 
Naona unaandika mpaka yusuuuuf anatoka kwenye ekzosti
 
Back
Top Bottom