waarabu

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna mashiko wanawake wa kiislamu Waafrica kuvaa hijabu, niqab au burqa kama stara?

    Amrisho la dini la wanawake wote duniani kuvaa hijabu, niqab au burqa kwa minajili ya stara lina walakini mkubwa sana kwa sababu halizingatii muktadha wa maumbile na tamaduni za jamii tofauti za binadamu. Kwa Waafrika weusi kiasilia wanawake wengi wana miili mikubwa sana(mawowo) na wanaume...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa Waarabu wanaochinja chinja makondoo daily..wana agenda gani nyuma ya pazia?

    Kila siku najiuliza nini hawa warabu wanachokitafuta maana kila siku waonikuchinja makondoo mimbuzi, wana agenda gani, maana sahivi kinamama huwakosi kwenye haya machinjo unakuta kuanzia asbh mpaka jioni wanasubiria kwafoleni kupata nyama za warabu.
  3. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Waarabu waliwapeleka wapi mababu zetu, mbona leo hatuwaoni uarabuni kama ilivyo Marekani na Ulaya

    Hili ni swali zito la kihistoria, na ni sawa kabisa kuliuliza au kulifikiria mwenyewe. ⚠️Katika uchambuzi wangu wa Leo Hakuna ubaguzi Wala hakuna chuki Bali ni kujifunza ukweli. ⚠️Nitachambua kwa uwazi, bila kuficha wala kuchochea chuki yoyote ili unielewe vizuri,fahamu Kuwa Kuna vitu viwili...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika 90% ya wanaJF humu hawajui kuwa 90% ya utumwa duniani ulifanywa na waarabu lakini 80% hawajui kuwa 80%+ ya utumwa uliwezeshwa na machifu

    Lakini jibu la maswali haya yote tumefundishwa ni mzungu. Ukatili wa biashara ya watumwa ya Waarabu ulijumuisha ukatili wa kulazimishwa kuvuka jangwa na bahari, unayanyasaji wa kingono kwa wanawake na wanaume, kuwahasi watumwa wa kiume ili watumikie kama matowashi. Biashara hii, ambayo ilidumu...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mnasemaga tunashobokea wazungu ila ndio wa kwanza kuwapokea katika tabu, jana mmejionea kiasi tu ya mambo waarabu/barberic wanayoweza kuwafanyia

    Maduka ya wa senegali yaliyopo mjini yamevamiwa na kuharibiwa na mashabiki wa morocco Mashabiki weusi waliokuwamo katika kundi la wamoroco wamezongwa na kusemewa maneno ya kibaguzi. Wanaijeria baada ya kuwashinda walgeria, mashabiki wa algeria walianza kuwaambia kuwa watawahasi na kuchukua...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Gamond awachana Waarabu bila Kuuma uma maneno

  7. R

    JamiiForums Tanzania Waarabu wana asili ya ukatili, unyama na ubwana

    Huyu ni descendant wa waarabu. Gene ya ukatili ipo, imejishihirisha sasa.. kilichofabnyika 29 ni version ya ukatili wa utumwa walivyokuwa wanawafunga minyororo shingoni, leo kwa vile kuna risasi katumia risasi Nyerere alikosea kujifungamanisha na makatili!
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Utani wa Waarabu wa kuweka watu roho juu.

  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwachanganya watu weusi na waarabu, unganisha kitu chochote na Mungu uone, direction yote inabadilika.

    Wenzenu wanaikimbizia mars, Nyie bado mnakanyagana kisa mafuta. Wenzenu wanabunu security system za kujilinda na kujihami, Nyie bado mnakatana vichwa kwa jina la mungu. Wenzenu wanajaribu ku-share intelligence na aliens kurahisisha maisha, Nyie bado mnalalimikia ugumu wa maisha ni kutokana na...
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Waarabu wa Chakechake wameshaanza kutuma meseji za Ki-Polisi kwa wananchi

    Inaonekana waarabu wa Zenji wameshapewa mamlaka ya kutuma meseji kwa niaba ya Jeshi la polisi. Sharia ndio nini?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi hasa wa Visiwani wanathamini sana Uarabu? Samia alishasema waliambiwa na polisi "Nyie waarabu mna shida sana" Mbona wabantu wenzetu

    Niliona documentary ya watu wa Madagascar wanajipa rangi nyeupe usoni na mikononi, kwenye narration yake anayesimulia makala hayo, aliweka wazi kabisa siyo kwamba ni "Assimilation" Assimilado kwa kifaransa lakini ni obsession ya watu wa huko kuonekana ni weupe. Nilishangaa kidogo, nimeishi na...
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Waarabu na waisrael wanapogania utaifa sie udini nani katuroga huyu?

    Ukitafakari na kuelewa kinachoendelea Mashariki ya Kati ukilinganisha na Tanzania, unahuzunika hata kuugua. Wenzetu wanapigania utaifa. Sie twauana kwa kupigania udini. Halafu tunashangaa kwanini hatuendelei huku Wenzetu wakitutumia na kutucheka mbali na kutubagua na kutudharau. Utaifa kwanza...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Iundwe Tume kuchunguza zile Pikipiki na Baiskeli zenye nembo ya SSH zilitoka wapi, kwa mabeberu, waarabu au pesa za ndani.

    Kama ni watu wa nje tume ituambie walikuwa ni akina nani na walikuwa na nia gani na nchi yetu na walitegemea kupata nini in return, na kama zilinunuliwa kwa pesa za ndani tume ituambie nani alitoa pesa na kama ni serikali tume ituambie zilitoka kwenye fungu gani la bajeti. Serious, sio kwa...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Watatusaidia China, Urusi na Waarabu. Nyie Mabeberu msitutishe

    Wapo China ni Taifa Tajiri sana Duniani, wapo waarabu matajiri sana. Hawa watatusaidia. Sisi ni nchi huru msitupangie maisha nyie Ulaya na Marekani. Kwanza hatutaki misaada yenu. Tunajiweza na tuna mataifa yanaweza kutusaidia sana. Uarabuni huwa wanatupa tende na halua kila wakati tunapofunga...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yaani upangwe na Waarabu wote CAFCL halafu Wasitumie 'Wese' lao kukutoa mazima Mashindanoni?

    Nashauri tuanze mapema kutoa sababu za kutolewa kwani Waarabu watambikiri Mtu kote kote Dar na Cairo Kudadadeki. Asanteni sana CAF kwa hii Draw na sasa tutaheshimiana. Kweli CAF safari hii wameamua Kumkomoa Mtu hadi Akili zimkae sawa.
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania GRAPHIC VIDEO: Waarabu ni watu wakatili sana duniani.!!!

    Baada ya Magaidi wa Hamas kushindwa kwenye vita waliyoianzisha wao wenyewe Oct 07,2023 sasa hivi wamewageukia raia wasio na hatia kwa kuwapiga na kuwaua kwa njia za kutisha kabisa. Ukiondoa ukatili walio wafanye a wayahudi Oct 07,2023 sasa hivi magaidi hao wanawafanyia watu wao wenyewe kwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia kwenye kampeni zake amesema ataigawa TANESCO kwa waarabu kuongeza ufanisi

    Wakuu nimekutana na hizi taarifa je kuna ukweli wowote huko?
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wapalestina sio watu wakuwapa msaada makazi ndio maana waarabu wenzao waligoma

    Wenye imani na kuwaonea uchungu wapalestina nendeni mkawachukue ila siku mtajikuta nyie ndio mkipigwa viboko. Hawa watu bora tu mataifa yawatambue waachiwe taifa lao ila sio kwenda kwenye mataifa mengine.
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Waarabu waliona msaada wa kuwapa waislamu wa Africa ni tende na mafuta ya miski?

    Hii ni dharau kubwa Ifike pahali misaada ya namna hiyo ikataliwe! Kule bukinabe jamaa alikataa misaada ya ujenzi wa misikiti akawaambia wajenge shule hospital na viawanda wakauchuna.
  20. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nani ameruhusu uwanja wa Biafra-Kinondoni uliokuwa unatumika kwa shughuli za umma umegwe kwa mfanyabiashara?

    Kwa masikitiko makubwa, sisi wakazi wa Kinondoni tunapaza sauti zetu kulalamikia kitendo cha kumegwa kugawiwa kwa sehemu kubwa ya uwanja wa wazi wa Biafra kwa mfanyabiashara binafsi ambaye tayari ameanza ujenzi wa yadi ya magari ya kuuza. Hatua hii imechukuliwa bila kushirikisha wananchi ambao...
Back
Top Bottom