waarabu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Majanga ya asili yazidi kuishambulia uchina

    Katika hali isiyo ya kawaida, Majanga yameendelea kulivamia taifa la Uchina. Katika hali ya kawaida kule Uchina sasa hivi ni kipindi cha Spring ni muda ambao kikawaida kunakuwa na hali nzuri sana ya hewa, siyo joto na wala siyo baridi, maua na mimea huchanua kipindi hiki, lakini cha ajabu kuna...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kwa kitendo cha kuwachukua ma handsome boys wetu walaaniwe Waarabu na Wazungu

  3. britanicca

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kissinger: Ameonekana kwenye Chumba cha operation za kivita cha Marekani akicheka sana asema waarabu kuwa majivu/Iran na Urusi kuzikwa kaburi moja

    KISSINGER AMEONEKANA CHUMBANI KWENYE MITAMBO YA VITA YA MAREKANI AKICHEKAA 🔷 Kissinger: World War III will come and Muslims will turn to ashes ... Former US Secretary of State Henry Kissinger made loud and dangerous statements after being swallowed up by a long silence until people almost...
  4. Walnut Creek

    JamiiForums Tanzania Waarabu wa Kuwait wanaendeleza Utumwa

    Inasikitisha bado hawa watu wanauza binadamu wenzao. Guess what, wengi wanaouzwa ni Waafrika. Cheki link ya BBC. https://www.bbc.com/news/technology-50266663
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Hawa wanafanya nini uwanjani?

    jionee mwenyewe
  6. Full charge

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waarabu hawapendi Watu Weusi wawaoe binti zao?

    Ndugu zangu wana JF ningependa kujua juu ya hawa ndugu zetu Waarabu na Wahindi, kwanini wao wanapowataka dada zetu wanaoa tena bila sisi kuwatilia masharti ila linapokuja suala la sisi kutaka kuwaoa familia zao zinakataa? Je, wao wanathamani sana kuliko sisi weusi? Je, dini walotuletea...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Wanabodi, Katika karibu kila jambo, kuna mazuri na mabaya yake, kama ilivyo kwa ukoloni, japo wakoloni walitunyonya, pia kuna mazuri, walituachia, ikiwepo elimu ya kisasa, walileta maendeleo mbambali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii vikiwemo viwanda, miundombinu, maendeleo ya kilimo, ila pia...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

    Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu, ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile, iliwezekanaje? Watumwa ndani ya...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

    Wanabodi, Nafuatia makala maalum kuhusu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 1964, zinazorushwa mfululizo na Idhaa ya KIswahili ya BBC kila siku kuanzia 1:00-1:30. Katika kipindi cha leo, Mmoja wa askari aliyekuwa zamu ikulu ya Sultani, kwa jina maarufu la Mzee Sukari, anasimulia first...
Back
Top Bottom