Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,545
- 7,941
Baada ya Magaidi wa Hamas kushindwa kwenye vita waliyoianzisha wao wenyewe Oct 07,2023 sasa hivi wamewageukia raia wasio na hatia kwa kuwapiga na kuwaua kwa njia za kutisha kabisa.
Ukiondoa ukatili walio wafanye a wayahudi Oct 07,2023 sasa hivi magaidi hao wanawafanyia watu wao wenyewe kwa kuwavunja Mikono na Miguu kutumia chuma. Kama magaidi hao wanaweza kufanyiana ukatili mkubwa namna hiyo je mtu mwingine itakuwaje?
Napiga picha ya waliomfanyia Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel waliamua kikatili kabisa na ingekuwa Serikali zingine hata ilikuwa sawa kuvunja uhu siano na magaidi hao.