Baadhi ya waandishi wa habari wamedai kuzuiliwa kuingia eneo la Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi zinazomkabiki Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, leo AprilI 23, 2025.
Chanzo cha kuaminika kutoka eneo hilo kimeeleza kuwa wamezuiliwa kuingia Mahakamani na Askari ambao wanazunguka eneo la...
Hili kundi la G55 likiongozwa na John Mrema wanakwepakwepa kujibu maswali ya waandishi hawayajibu kama walivyouliza, kituko zaidi kilichodhihirisha kuwa wanaogopa maswali magumu :AAAA: :AAAA: wamemzuia kwa nguvu zote Chief Odemba kuuliza swali ambalo lazima wamejua ni jiwe lingewapiga utosini...
https://www.youtube.com/live/H2WF6FYA97Q
GOLUGWA: HATUJAWAHI KUSEMA TUNATAKA KUPINDUA SERIKALI
Naibu Katibu Mkuu Bara – CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza na Wanahabari leo, Aprili 11, 2025 katika Makao Makuu ya Chama Mikocheni, amesema Chama chake hakijawahi kutoa tishio la kutaka...
Waandishi wa habari wameendelea kulengwa na kupoteza maisha katika mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza, hali inayozidi kuzua hofu na maswali kuhusu usalama wa vyombo vya habari kwenye maeneo ya vita.
Katika tukio la hivi karibuni mwandishi wa habari Ahmed...
SERIKALI KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA WAANDISHI WA HABARI MITANDAONI
"Je, Serikali imejipangaje kuhakikisha ongezeko la vyombo vya habari mtandaoni haliathiri maadili na utamaduni wa Taifa letu" - Mhe. Toufiq Salim Turky, Mbunge wa Jimbo la Mpendae
"Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano...
https://m.youtube.com/watch?v=8X9aksS1quw
Baada ya press conference, kundi la G55 waulizwa maswali magumu na waandishi wa habari juu ya wao G55 kupinga No Reforms No Election 2025 wakati uamuzi huo ni wa chama:
Chief Odema wa Star TV , John Marwa wa Jambo TV maswali 5 magumu , Humphrey wa...
"Nyie waandishi, hivi mmewahi kumfuata mwenyekiti wa chama mkamuuliza nia yake ya kugombea Urais aliyoandika barua ameshaituma kwa katibu mkuu? Mlishawahi kuuliza hilo swali? kwahiyo na sisi ni watia nia kama yeye alivyo mtia nia wa Urais na sisi tupo hapo hapo."
1. Hivi Yanga SC ingekuwa inaongoza Alama kati ya Sita (6) au Saba (7) hizi Kelele zao za Bodi ya Ligi tungezisikia leo?
2. Bodi ya Ligi ambayo Yanga SC ilikuwa Bingwa kwa Misimu Mitatu mfululizo leo ghafla inaweza kuwa mbovu?
3. Wamesema na kutwa Wanatudanganya wameenda CAS je, wanaweza...
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imeweka bayana msimamo wa kisheria wa Sheria ya Huduma za Habari kuwa kipaji pekee hakitoshi kumfanya mtu afanye kazi za kihabari kama hajapitia katika taaluma ya Uandishi wa Habari na kukidhi vigezo.
Msimamo huo umebainishwa na Kaimu Mkurugenzi...
Katika kipindi cha hivi karibuni, kauli tata na malalamiko ya wapiga kura wa Moshi Manispaa yameibuka, yakihusiana na ujenzi wa soko la Mbuyuni.
Wapiga kura wamekuwa wakilalamika kuhusu thamani halisi ya soko hili, wakionyesha wasiwasi wao juu ya ufisadi na wizi ambao umekuwa ukiripotiwa...
https://www.youtube.com/watch?v=Oasgj4g9Yvc
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa anazungumza na Waandishi wa Habari kutoka Bandari Kavu ya Kwala, Mkoani Pwani
Akizungumzia miradi iliyosajiliwa kati ya mwaka 2021 Machi hadi Februari 2025...
Baada ya Bodi ya Ligi kuu Tanzania TPLB Kutangaza kuahirishwa kwa mechi ya watani wa Jadi Yanga vs Simba waandishi wa habari na wachambuzi wa maswala ya Kabumbu wameendelea kuukosea adabu mpira wa nchi hii kwa kuchambua kwa kutumia hisia zitokanazo na mapenzi yao juu ya Yanga badala ya kuwa...
WATANZANIA
Pamoja na kushikwa na taharuki ya mliyoyafanya
Basi NENDEN kwenye press
Ombeen radhi kwa wananchi wote kwa upuuzi wenu
Hakuna aliefurahia hata mmojaa
Tulitarajia pamoja na mliyoyafanya mngeita waandishi WA habari Muombe radhi
Msiwe kimya kiasi hicho KUSHINDWA KUOMBA radhi
Na Mwandishi Wetu.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari ( Journalists Accreditation Board- JAB) Bw. Tido Mhando, akiongoza kikao cha kwanza cha Wajumbe wa Bodi hiyo ikiwa ni siku moja baada ya kuzinduliwa rasmi na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba...
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imeanzishwa kwa mujibu wa Kifungu cha 12 cha Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229, ikiwa na jukumu kuu la kutoa ithibati kwa waandishi wa habari hapa nchini.
Bodi hii ni chombo muhimu katika kusimamia viwango vya taaluma ya Uandishi wa Habari...
Zama zile wakati Yanga wanaishia kwenye hatua ya makundi mashindano ya CAF, waandishi wa habari za michezo Tanzania waliipachika Yanga jina la "wa kimataifa".
Leo Simba imeingia robo fainali nne za mashindano ya CAF na kusababisha Tanzania kuongezewa timu mbili kwenye mashindano ya CAF, huoni...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Palamagamba Kabudi, Wiki ijayo anatarajiwa kuzindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB).
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa imeeleza kuwa uzinduzi huo...
Kila siku tunalalamika kuhusu waandishi wa habari za michezo nchini kukosa weledi wa kuuliza maswali
Jana baada ya mechi Kocha wa KMC aliulizwa swali ambalo kocha huyo alijibu sawa sawa na muulizaji alivyo uliza.
Kesi inayomkabili Dkt. Abdi Warsame, anayeshutumiwa kwa kujipatia mamilioni ya shilingi kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa kampuni ya bima ya afya AAR (sasa Assemble), imesikilizwa kwa siri katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Waandishi wa habari na umma wamezuiwa kuhudhuria vikao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.