Waandishi wa hathi/simulizi kwa Kiingereza wanatafutwa

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
464
500
Kwema wana JF? Narudi tena na hili jambo ambalo nimeliandika humu kwa muda mrefu lakini nashangaa ni watu wawili tu wamenitafuta. Kama kuna mtu yeyote wakiwemo wanafunzi anayeweza kuandika au amekwishaandika hadithi za kubuni au za kweli na angependa ziuzwe kama kitabu duniani pote tafadhali tuwasiliane kwa namba 0758040586. Mimi nafanya fasiri ya vitabu vya kiingerza kwenda kijerumani. Nimekwisha tafsiri vitabu kadhaa vya waandishi wa nchi za nje. Nasikitika kwamba watanzania hawaoni kama hii ni fursa. Si lazima uwe umeshachapisha kitabu. Kampuni ya Babelcube ambayo ninafanya nayo kazi itakuwezesha kuuza maandishi yako. Muhimu kwangu ili niweze kukusaidia ni lazima maandiko yako yawe katika lugha ya kiingereza. Karibuni walimu, wanafunzi na wengine wote hii ni fursa yenu. I hope this time you wont let me down.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom