Humphrey Polepole abishana Vikali na Waandishi wa BBC kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Mkuu kwa ukongwe ulioa nao kwani waandishi wa hapa kwetu mnakwama wap? Yaani maswali ya msingi kama haya hadi wa bbc wawaulizie?
Njaa,uoga,kuishi kwa matumaini ya kutegemea uteuzi kama u DC.
Hapo ndipo walipokwama.
Kwa kifupi waandishi wengi wa Tanzania ni takataka.
 
Lazima atetee ugali wake maana vinginevyo njaa itamuua, Polepole huyu toka ameanza kuvaa Suti za Kijani amebadilika sana.
 
Mdogo wangu Polepole, unasaliti wananchi nakwambia utahukumiwa vibaya, wewe ni watu walio haribu hii nchi sana
 
Polepole ni mtu mnafiki na mwenye low IQ anayeamini kuwa blabla kwa swali inaweza kuwa jibu.
 
Back
Top Bottom