waandamanaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Jeshi la Polisi Kenya lashutumiwa kutumia nguvu kubwa kudhibiti Waandamanaji

    Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu ya Kenya, (KNCHR) imeitaka Serikali kuchunguza Vitendo vya Ukiukwaji wa Haki za Binadamu vilivyofanyw ana Polisi kupitia Uharibifu, Ukamataji, Kujeruhi na Matumizi ya Risasi za Moto dhidi ya Waandamanaji. Taasisi ya KNCHR inayofadhiliwa na Serikali imesema...
  2. JanguKamaJangu

    Kinachoendelea Maandamano Nchini Kenya, Machi 20, 2023

    VIONGOZI WA UPINZANI WAKAMATWA, RAIA APIGWA RISASI Seneta wa Kilifi, Stewart Madzayo pamoja na Wabunge Amina Mnyazi na Ken Chonga, wanaripotiwa kushikiliwa na Polisi kwa kushiriki maandamano ya kuipinga Serikali katika Mji Mkuu, Nairobi Hadi hivi sasa Raia kadhaa wanaripotiwa kushikiliwa huku...
  3. JanguKamaJangu

    Kenya: Waandamanaji Kisumu wabeba masufuria na mfano wa jeneza

    Baadhi ya wafuasi wa Azimio wameshiriki katika maandamano yaliyofanyika katika Mji wa Kisumu wakipinga gharama ya maisha kuwa juu na kushinikiza Serikali ya Rais William Ruto kuchukua hatua. Baadhi yao wakiwa wakiwa na masufuria, miko mabango yaliyoandikwa ‘Njaaaa!’ huku wakisikika wakiimba...
  4. BARD AI

    Eric Omondi na waandamanaji wenzake waachiwa kwa dhamana

    Mchekeshaji huyo maarufu alikamatwa Februari 21, 2023 nje ya maeneo ya Bunge akiwa na kundi la waandamanaji waliokuwa na mabango yenye jumbe za kuionesha Serikali kuwa Wananchi wana hali ngumu ya maisha. Omondi na waandamanaji wengine 17 wameshtakiwa kwa makosa ya kukusanyika kinyume cha Sheria...
  5. JanguKamaJangu

    Brazil: Waandamanaji 1500 wakamatwa, aliyekataa matokeo ya Urais amelazwa Marekani

    Waliokamatwa ni wafuasi wa Rais aliyepita, Jair Bolsonaro ambao walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu Jijini Brasilia ikiwa ni wiki moja baada ya Luiz Inacio Lula da Silva kuapishwa kuwa Rais. Rais da Silva amelaani maandamano hayo na kuita ni ghasia za kigaidi na kuahidi kuwashughulikia...
  6. JanguKamaJangu

    Iran: Waandamanaji wawili wanyongwa wakituhumiwa kumuua afisa usalama

    Mohammad Mahdi Karami na Seyed Mohammad Hosseini walihukumiwa kunyongwa wakakata rufaa wakidai wakiteswa na kulazimishwa kukiri makosa. Baada ya tukio hilo, hukumu za walionyongwa kutokana na kushiriki maandamano sasa imefika watu wanne. Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty...
  7. JanguKamaJangu

    Iran: Waandamanaji 100 wadaiwa kukabiliwa na hukumu ya kifo

    Taarifa ya Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Norway (IHR) lenye makazi yake Nchini #Iran ni kuwa idadi hiyo ya watu wanakabiliwa na hukumu hiyo [amoja na kesi za mauaji. Wanawake watano ni kati ya waliopo kwenye hukumu hiyo na inadaiwa idadi ya watuhumiwa inaweza kuwa kubwa zaidi kwa kuwa...
  8. JanguKamaJangu

    Chad: Waandamanaji 260 wahukumiwa kwenda jela

    Mahakama imetoa hukumu ya hadi miaka mitatu kwa waandamanaji hao ambao walishikiliwa katika maandamano ya Oktoba 2022 ambao wanasheria waligomea mchakato wa kesi wakiamini haukuwa wa haki. Zaidi ya watu 400 walikabiliwa na mashtaka, ikiwa ni pamoja na kushiriki katika mkusanyiko usioidhinishwa...
  9. sanalii

    Waandamanaji Iran waanza kutumia silaha za moto

    Kama ni mipango iliopangwa basi imepangika kweli kweli, vita ya Syria ilianza kwa mwanafunzi kuchora kwenye bweni la shule akimtuhumu Asad, polisi wakamkamata, watu wakaandamana aachiliwe, maandamano yakageuka vita. Sasa ni zamu ya Iran
  10. MK254

    Iran: Waandamanaji watia kiberiti iliyokua nyumba ya Khomeini, wanapinga dhuluma kutoka kwa dini ya kiislamu

    Wananchi wamechachamaa....hadi kieleweke, wamechoka unyanyasaji wa kidini, kila mtu aachiwe huru kwenye masuala ya kiimani, Iran ilikosea sana kumuua mwanamke kisa kipande cha nywele kilichomoza kichwani, serikali inaendelea kuwaua ili kumpigania "mungu" wa waislamu ila wananchi wameamua hata...
  11. YEHODAYA

    Polisi wanaosimamia Sharia za kiislamu waondoka mitaani Iran baada ya waandamanaji kuchachamaa hawataki

    Sasa hivi wameondolewa mitaani sababu waandamanaji wasiotaka kuvaa ajabu wanawafanyia Fujo na kupigwa mawe nk Sasa hivi hawapo mitaani kabisa .Wako tu Askari wa kawaida wa dini hawajulikani wamepotelea wapi!! Watu sasa wanawake wengi wanatembea bila hijab mchana kweupe Source: Aljazeera
  12. beth

    Sri Lanka: Vikosi vya Usalama vyafukuza waandamanaji

    Siku moja baada ya Rais Ranil Wickremesinghe kusema hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wanaoandamana, Vikosi vya Usalama vimevamia kambi ya Waandamanaji katika Mji Mkuu wa Colombo, na kuwafukuza waliokuwa nje ya Ofisi ya Rais. Mara baada ya kuapishwa, Rais Wickremesinghe aliweka wazi kuwa...
  13. JanguKamaJangu

    Hatimaye Rais wa Sri Lanka akimbia Nchi kufuatia shinikizo la waandamanaji

    Rais wa Sri Lanka Gotabaya Rajapaksa ameondoka nchini mapema Jumatano kuelekea kisiwa jirani cha Maldives, maafisa wamesema. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 73, mke wake na mlinzi wake ni miongoni mwa abiria wanne waliokuwa ndani ya ndege ya kijeshi ya Sri Lanka aina ya Antonov 32 ambayo...
  14. beth

    Sri Lanka: Waandamanaji kutoondoka kwa Rais hadi ajiuzulu rasmi

    Waandamanaji wamesema wataendelea kubaki katika Makazi ya Rais na Waziri Mkuu hadi Viongozi hao watakapojiuzulu rasmi. Kwa mujibu wa Spika wa Bunge la Nchi hiyo, Rais Gotabaya Rajapaksa atajiuzulu Julai 13, 2022. Rais Rajapaksa hajaonekana na hakutoa kauli ya kujiuzulu mwenyewe moja kwa moja...
  15. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Sri Lanka waandamanaji wajipa raha ndani ya vyumba vya Ikulu

    Waandamanaji nchini Sri Lanka wamefanikiwa kuingia Ikulu na kufika mpaka chumbani kwa Rais. Waandamanaji hao wamerusha picha kwenye mitandao zikiwaonyesha wakiwa wamelala kitandani kwa Rais huku wengine wakiwa sebuleni wakiangalia 'breaking news' ya maandamano yao.
  16. HIMARS

    Sri Lanka: Waandamanaji wavamia makazi ya Rais kushinikiza aachie madaraka

    Rais wa Sri Lanka kakimbia baada ya kutangaza nchi yake imefirisika Maelfu ya Waandamaji katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo wamevamia Makazi rasmi ya Rais Gotabaya Rajapaksa. Maandamano hayo kushinikiza Kiongozi huyo aachie madaraka yanatajwa kuwa makubwa zaidi mwaka huu Inaripotiwa kuwa...
  17. beth

    Libya: Waandamanaji wadaiwa kuchoma sehemu ya jengo la Bunge

    Waandamanaji wamevamia Bunge la Nchi hiyo ikidaiwa wamechoma moto sehemu ya jengo hilo. Maandamano yamekuwa yakifanyika katika Miji mbalimbali ya Libya kupinga ukatikaji umeme, ongezeko la bei na mkwamo wa kisiasa Libya imekuwa katika machafuko tangu mwaka 2011 baada ya Muammar Gaddafi...
  18. Magonjwa Mtambuka

    Polisi yauwa waandamanaji wanne

    Demokrasia inavyofanya kazi kwenye jamhuri ya ndizi (banana republic).
  19. econonist

    Halima Mdee na Wenzake walikosea kwenda na waandamanaji

    Wakati akina Halima Mdee wanakuja ukumbini, walisindikizwa na wanawake Kama 30 ambao sio wajumbe wa mkutano, wakawa wanaimba tunamtaka Halima wetu. Hilo lilikuwa dosari kubwa Sana. Hata Kama Kuna wajumbe wa baraza kuu walikuwa na lengo la kuwasamehe baada ya kuona kile kitendo, wakaamua...
  20. Analogia Malenga

    Sudan: Idadi ya waliouawa na polisi wakati wa maandamano yafikia 80

    Maafisa wa usalama wa Sudan wamewaua kwa risasi waandamanaji wawili walipokuwa wanajaribu kuwatawanya maelfu ya waadamanaji, kwa kutumia gesi ya kutoa machozi kwenye mji mkuu wa Khartoum pamoja na mji pacha wa Omdurman siku ya Jumatatu. Kamati ya Madaktari wa Sudan inasema mwandamanaji huyo...
Back
Top Bottom