Majaji na Waendesha Mashtaka kadhaa Nchini humo wamekemea mauaji ya zaidi ya Waandamanaji wapatao 70 tangu Jeshi lililofanya Mapinduzi na kuchukua Madaraka.
Sudan imeshuhudia mfululizo wa maandamano tangu Oktoba 25, 2021 ambapo waandamanaji wamekuwa wakidhibitiwa kwa mabomu ya machozi na silaha...
Waandamanaji wameweka vizuizi barabarani katika Mji Mkuu wa Sudan, Khartoum wakati baadhi ya maduka na Ofisi yakifungwa kutokana na mgomo wa siku mbili uliochochewa na vifo vya waandamanaji.
Mgomo umeitishwa baada ya watu saba kuuawa Januari 17, ikiwa ni siku iliyotajwa kuwa mbaya zaidi tangu...
Polisi wametumia Mabomu ya Machozi kutawanya Waandamanaji waliokusanyika karibu na Makazi ya Rais Jijini Khartoum, kuonesha hasira zao dhidi ya Makubaliano yaliyomrejesha Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok Madarakani.
Licha ya Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan kumrejesha Hamdok na...
Maelfu ya waandamanaji wakiwa na magari na baiskeli walikusanyika leo kwenye mji mkuu wa Thailand, Bangkok kumtaka waziri mkuu Prayut Chan-O-Cha kujizulu kutokana na jinsi alivyolishughulikia jana la virusi vya corona.
Waandamanaji hao wamejitokeza kwa wingi na kufanya mikusanyiko mikubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.